Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

Haina ubishi, wakristo wote huamini Jerusalem ndio mji muhimu kuliko yote katika imani yao na ni mji mtakatifu sana. Kila mkristo hutamani kufika huko kuhiji na kuyatembelea matukufu ya Mungu yenye utajiri wa maisha ya Kristo Yesu.

Waislamu pia wote, huamini kuwa Makka ni mahali patakatifu na ni moja ya nguzo tano za muislamu halisi kufika huko walau mara moja kuhiji. Mamilioni hufika huko kila mwaka.

Tujiulize, kwa nini mji wa Jerusalem una mavurugu makubwa kuliko mji wa Makka? Je, waislam ni wastaarabu kuliko wakristo? Je, wakristo wameshindwa kuulinda mji wa Jerusalemu?

Pia ni kwa nini Makka haugombewi na wakristo, ila waislamu hugombea tena kisheria mji wa Yerusalemu ulio na matakatifu ya wakristo?
Mkuu wakristo na Jerusalem ni vitu viwili tofauti..

Wakristo makao yao makuu ni Vatican,, huko Jerusalem ni ktk kuvuruga dunia na kujihusisha na yasio ya haki..

Utatafuta kote Jerusalem hutopata ukweli kuhusu ukristo zaidi ya kumbukumbu za mazingaombwe..na kutengeneza.
 
Mmiliki halali ni MKAANANI then AKAJA MYAHUDI then Akakimbia baada ya vita na Roma..THEN NDIO WAKAJA HAO WAPALESTINA ....SO wayahudi Wenyewe wakirudi inabidi waondoke wawaachie na hao waya hudi pia WAKAANANI wakirudi itabidi nao waondoke
Hakuna watu wanaitwa wapalestina hizi ni propaganda za wenzetu hawa

Wapalestina ni waarab tu kutoka misri Na nchi nyingi e za waarabu

Hakuna watu wapalestina !!!

Na kama wapo MTU aje hapa aseme wanaongea lugha gani? Ataje culture zao ?

Palestinians sio ethnicity ni umbrella name tu ya walowezi wakiarabu waliolowea Israel wakiletwa Na warumi.
 
Kawafufue sasa maana wamekufa wote
 
@mtanganyikawakweli

hakuwapa,bali ni hekaya tu hawa watu walibuni kipindi wako uhamishoni babel,
na hii ilitokana na utaifa,nationalism ndo wakabuni habari sijui wameteuliwa na mungu blah blah.
Ili kuendeleza spirit ya utaifa.

Soma kwa makini wakati Anrahamu anambiwa ,"nitakubariki na yeyote atakae kulaani,nitamlaani"

japo siamini hizi habari kama siyo hekaya,lakini ukisoma kwa open mind na kuweka ukereketwa wa dini pembeni,

alieambiwa hayo maneno ni Abrahamu,na huyu kwa mjibu wa maandiko ni baba wa mataifa mengi ambayo kwake hizo baraka ndo zilitoka,
lakini sasa waandishi akina isaya,samweli,ezekiel etc wakafanya editing,
na sasa kumbe hayo maneno yanamhusu yakobo mjukuu wa abraham alezaliwa miaka mingi baada ya abraham kufa.

Ikawa sasa haya maneno yanawahusu uzao wa yakobo tu,yaani waisrael,

fastforward miaka iliyofuata baada ya waisrael kujitenga,
ghafla bin vuu ikawa kumbe hizo baraka ziliwahusu wana wa yuda tu,yaani wayahudi,

kwamba eti yale makabila kumi ya israel hayakumsikiliza mungu nae akaamuwa kuwapotoza na hawatapatikana tena,

kwahiyo waliobaki ni wale watu wa yuda tu na hao ndo taifa teule.

Unajiuliza kwani lini watu wa yuda walimsikiliza huyo mungu wao kuzidi watu wa israel mpaka israel ipotezwe na ibaki yuda.

Baadae unagundua tu hizi ni hekaya tu,hakuna cha taifa teule wala nini
Jamaa you are clueless
 
conection ni kubwa yesu alimpa petro ambae alikua moja ya watumishi wake mamlaka ya kujenga kanisa lake na baada ya yesu kufariki watumishi wake walisakamwa na wengie kuuwawa petro alifanikiwa kukimbilia italy na uko ndipo kanisa la kwanza likajengwa la roman 'st peter' na petro ndio papa wa kwanza.
Hadithi za uongo hizi
 
mpka leo hujui hilo pole mnoo

muhhamad hakuja kuleta uislam Bali alikuja kuongeza nguvu ya Kile kilichoachwa nawakubwa wake waliomtangulia...kina sumeimani..yusuph .Mussa..issa.(yesu) ..nuhu .adamu ..yacobo ..lutu..isaya ..e.t.c
Hehehehe huwa nawashangaa sana watu Kama wewe historia mnaijua vizuri halafu mnajidai kupingapinga hapa

Nakuambiaje kabla ya muddy hskukuwa na kitu kinaitwa uislam

Maka ,Madina na kote huko arabuni walikuwa wapagani tu na waabudu miungu

Kataa bisha Muhammad ndio kaleta uislamu dunia

Na stori ilianza kule mapangoni

Hebu nisijichoshe sana
 
Hakuna watu wanaitwa wapalestina hizi ni propaganda za wenzetu hawa

Wapalestina ni waarab tu kutoka misri Na nchi nyingi e za waarabu

Hakuna watu wapalestina !!!

Na kama wapo MTU aje hapa aseme wanaongea lugha gani? Ataje culture zao ?

Palestinians sio ethnicity ni umbrella name tu ya walowezi wakiarabu waliolowea Israel wakiletwa Na warumi.
Israel iko middle east ujue,tena katikati,,use your common sense...
 
Hamna kitu hapo ni kuokoteza, Mohammad ndiye mwanzilishi wa uislam period
It is True, Muhammad ndo mwanzilishi wa Uislam, kilichofanyika Sasa ni kumanipulate minds za wafuasi Ili waamini beyond Muhammad eti Uislam ni Dini ilokuwepo kabla ya Muhammad
 
It is True, Muhammad ndo mwanzilishi wa Uislam, kilichofanyika Sasa ni kumanipulate minds za wafuasi Ili waamini beyond Muhammad eti Uislam ni Dini ilokuwepo kabla ya Muhammad
Sawa na wewe uanzishe dini yako ya ushoga halafu ulete a kitabu ambacho kinasema mitume wote wa kiyahudi na kikristo walikuwa mashoga na proof ni hicho kitabu.
 
Israel iko middle east ujue,tena katikati,,use your common sense...
Broo u seem well informed, waeza nisaidia PDF original ya Quran ile kaandika Allah kabisa akamteremshia Mtume wake Muhammad!? Hata tupicha picha please nione kitu original kutoka Ahera!
 
Sawa na wewe uanzishe dini yako ya ushoga halafu ulete a kitabu ambacho kinasema mitume wote wa kiyahudi na kikristo walikuwa mashoga na proof ni hicho kitabu.
Sina interest ya kuanzisha Dini na sio hobby yangu kabisa.

Kama Ni your interest na wewe anzisha Dini ya wabakaji na wanaolawiti waumini wako wawe wanaoa vibinti vya miaka 8!!
 
Broo u seem well informed, waeza nisaidia PDF original ya Quran ile kaandika Allah kabisa akamteremshia Mtume wake Muhammad!? Hata tupicha picha please nione kitu original kutoka Ahera!
Haipo...Hizi story za Quran na mtume zilitungwa na waarabu wafanyabiashara miaka ya 800-900AD ila wakasingizia eti alikuwepo nabii miaka ya 600..Ndomana hadith nyingi zimeandikwa miaka ya 900 na Hakuna Quran ya miaka ya 600
 
Sina interest ya kuanzisha Dini na sio hobby yangu kabisa.

Kama Ni your interest na wewe anzisha Dini ya wabakaji na wanaolawiti waumini wako wawe wanaoa vibinti vya miaka 8!!
Hiyo mbona tayari ipo na waumini wamaruhusiwa kuoa vitoto vya miaka6
 
Haipo...Hizi story za Quran na mtume zilitungwa na waarabu wafanyabiashara miaka ya 800-900AD ila wakasingizia eti alikuwepo nabii miaka ya 600..Ndomana hadith nyingi zimeandikwa miaka ya 900 na Hakuna Quran ya miaka ya 600
Ngoja Maulamaa atuletee tujiridhishe!
 
Kuijadili historia kuna tija kubwa sana.
Sijaona tija ya hii kitu yako.
Unataka watu wotoe maneno mabaya juu ya imani za wenzao?
Kivuruge[emoji188][emoji188]
Hiyo miji haifanyi mtu akapata chochote,kama imani yako ni haba usitegemee kwenda moja ya hyo miji ili ukawe bora
Kugombea miji ni uhaba wa maarifa,none of them can do wonders excpt u n ur faith
Maisha ya funza ni mafupi sana,chunga usiwe na hyo akil
 
Back
Top Bottom