kyula
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 698
- 460
Roma ni chimbuko la mpinga kristo take it from meMji wao ni Roma,, italy,, NDY chimbuko LA ukristo na sio jerusalem
Roma ni chimbuko la mpinga kristo take it from meMji wao ni Roma,, italy,, NDY chimbuko LA ukristo na sio jerusalem
Mkuu unaujua uislamu kweli??mpka leo hujui hilo pole mnoo
muhhamad hakuja kuleta uislam Bali alikuja kuongeza nguvu ya Kile kilichoachwa nawakubwa wake waliomtangulia...kina sumeimani..yusuph .Mussa..issa.(yesu) ..nuhu .adamu ..yacobo ..lutu..isaya ..e.t.c
Mm najua saa,tarehe,siku,mwezi na mwaka ambao uislamu ulianzampka leo hujui hilo pole mnoo
muhhamad hakuja kuleta uislam Bali alikuja kuongeza nguvu ya Kile kilichoachwa nawakubwa wake waliomtangulia...kina sumeimani..yusuph .Mussa..issa.(yesu) ..nuhu .adamu ..yacobo ..lutu..isaya ..e.t.c
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Africa is a "shit hole" in Trumps voice, hahahaaa
born and raised ..katk hiyo misingi ..but kwakuwa huwa sipendi kuwakwaza watu wenye imani tofauti na yangu ..so honestly sipendagi hii mijadala cuz huwa inajenga chuki. ..Mkuu unaujua uislamu kweli??
tuachane nahizi habari. maaana huwa sipendi kushiriki ktk hii mijadala ya kidini..najishangaa leo cjui ilikuwaje ..nasababu kuu nineshakueleza ktk comment yko niliyoijibu awali..Mm najua saa,tarehe,siku,mwezi na mwaka ambao uislamu ulianza
Huu sasa uchizi mkubwa aisee,Maria alopalizwa mbinguni??[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Naomba unijuze kabla yaQuran tukufu waisalam walikuwa wanasoma vitabu ganiWakristo wanahaki na huo mji kivipi?Huo mji ni mali ya waislam na wayahudi ndo kipindo chote cha mgogoro huo hutaona wakristo wakiingilia.Huo mji wa Yerusalem au Baytul mukadas ni mji wenye msikiti mkubwa sana na una historia kubwa ya uislam enzi kabla ya mtume Mohammadi(saw)
Peleka udini wako kule pambafuHaina ubishi, wakristo wote huamini Jerusalem ndio mji muhimu kuliko yote katika imani yao na ni mji mtakatifu sana. Kila mkristo hutamani kufika huko kuhiji na kuyatembelea matukufu ya Mungu yenye utajiri wa maisha ya Kristo Yesu.
Waislamu pia wote, huamini kuwa Makka ni mahali patakatifu na ni moja ya nguzo tano za muislamu halisi kufika huko walau mara moja kuhiji. Mamilioni hufika huko kila mwaka.
Tujiulize, kwa nini mji wa Jerusalem una mavurugu makubwa kuliko mji wa Makka? Je, waislam ni wastaarabu kuliko wakristo? Je, wakristo wameshindwa kuulinda mji wa Jerusalemu?
Pia ni kwa nini Makka haugombewi na wakristo, ila waislamu hugombea tena kisheria mji wa Yerusalemu ulio na matakatifu ya wakristo?
labda nami nikufafanulie kidogo.forumyangu Usinichekeshe, unamaanisha uislamu ulikuwepo kabla ya mtume hvyo mtume hakuleta uislamu? Kwa hyo alikuja kufanya nin
Mimi nashangaa sana watu kujitoa fahamu kuwa Uislam ulikuwapo kabla ya MuhamadHAHAHAHA WANAKUAMBIA KUWA UISLAMU ULIKUWEPO KABLA YA MTUME MUHAMAD.HISTORIA NA VITABU VYA DINI VIKO WAZI.UISLAMU ULILETWA NA MUHAMAD.KABLA KULIKUWA HAKUNA KITU KINAITWA UISLAMU
AminaNi kweli mkuu pale kuna kabuli la mariamu mama yake nabii issa LAKINI Pale hakuna kaburi la Mariam mama yake Yesu kristo aliye hai maana alipalizwa mbinguni...
Ndo maana sisi wakatoriki hua tuna sherehe ya Kupalizwa kwa Bikra Maria..
Amen
acha kudanganya watu wazima wewe.Roma ni kwa wakatoliki japo nao wamewekeza sana Jerusalem na wana percentage kubwa ya pesa hutoa kwa ajili ya kuulinda Jerusalemu
Si huyo Trump mwenyewe ni mkristo na ndio mfadhiri mkuu wa Israel?Kauli ya trump ya hivi karibuni nafikiri umeisikia..wakristo(loosers) wanajikomba sana kuwapa nguvu jews ..kabla ya adolfhitler mbona palikuwa shwari..wanachonganishwa.