Je, kuna maisha mengine baada ya hapa duniani?

Mkuu naona unaturudisha palepale tulipotoka kwenye hadithi za alinacha
 
Kwa mujibu wa Quran ndiyo kuna maisha mengine baada ya hapa na ninaamini hivyo.
 
Yapo,Tena ndio ya milele!.sio nadharia!
Note: ni Bora uamini yapo hata usipoyakuta hutapoteza kitu,kuliko kuamini hayapo halafu ukayakuta hutakua na option .
Kwahiyo unaamini wewe ulitokana na yesu jristu pia?
 
Reference za bible hapana, ni za kuandikwa na watu waliotumia zaidi ya miaka 500 wakiiandaa Bible ila waitumie kwa manufaa yao.

Kama kungekua na mbingu, maisha mapya, kula asali na maziwa basi wazungu wangeficha Bible zisifike africa, hakuna mzungu anatupenda watu weusi.

Kama mungu angekua na mpango wa binadamu kuishi milele, basi asingeshindwa kumzuia shetani asilete madhara kwenye mpango wake kwani yeye ni ndio mwenye ngunvu.

MAMBO YOTE YA BIBLE NI MAJIBU KWA AKILI ILIYOFIKA MWISHO KUFIKIRI. NI SILAHA KWA WAJANJA
 
Yaan mm mtu akianza ku quote Bible tu naona walewale wasoma kitabu kimoja na kukariri. Amka wewe hicho kitabu kimetungwa na watu kwa manufaa yao
 
Yaan mm mtu akianza ku quote Bible tu naona walewale wasoma kitabu kimoja na kukariri. Amka wewe hicho kitabu kimetungwa na watu kwa manufaa yao

Sawa hivyo vitabu vingine unavyosoma wewe vimeandikwa na Malaika sio[emoji28] The Bible is the most sold book duniani. Watu wana kiu ya kupata Hekima iliyomo ndani ya kitabu hicho. Hakuna Mwanadamu anayeweza kuandika kitabu kikaendelea kuhitajika na mamilioni ya watu kwa karne na karne. HAKUNA!
 

Unahoji kitoto sana mkuu. Dhamira ya Mungu haiwezi kushinda dhamira ya Mwanadamu. Hakuna anayeweza kuzuia neno la Mungu lisifike mahali popote. Soma historia uone namna gani injili imepigwa vita mahali pengi lakini bado imepenya. Tafuta kitabu kinaitwa BREAKTHROUGH (kinazungumzia safari ya kusambaza Injili)
 
Uongo Tu, yule jamaa si alimuamsha kutoka usingizini

Watu wakisinzia wanalala makaburini sio?[emoji28] maana historia inajieleza Wakati Yesu anaelekea kumfufua Lazaro, alikua kaburini tayari yapata siku tatu.
 
Yan mungu alete Dini, watu Fulani Tu 😂, alafu wengine wabaki kupokea mapokeo Tu,
Huyo mungu ni mchoyo Sana wa elimu, halafu ni mbaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…