Je, kuna maisha mengine baada ya hapa duniani?

πŸ‘πŸ‘πŸ™
 
πŸ‘
Mkuu kubali kufikiri nje ya imani yako, mbali na biblia tafuta vitabu vya apocalypse vipitie hatimaye chunguza jinsi wanyama, mimea na maumbile ya asili kwa ujumla yanavyofanya kazi utaongeza ufahamu wa huu ulimwengu!
 
Mkuu mbona ulikuwa unatirika vizuri, ghafula tena umechanganya Habari, sio wote tunaosoma andiko lako ni wakristo! Umenegate hoja mwishoni.
 
Mkuu unachanganya hoja, Kiasi kwamba sio hoja tena inakuwa matango pori, simama na tetea hoja yako mpaka mwisho. Achana na changanya changanya hii!

Mkuu usijifiche kwenye biblia ambayo nayo kwenye hoja hii ni questionable na sio kilachangiaji ni mumini wayo.

Kukuongezea kidogo, there is nothing without a cause, even the nothingness has a cause!
 
Mkuu unachanganya hoja, Kiasi kwamba sio hoja tena imekuwa matango pori, simama na tetea hoja yako mpaka mwisho. Achana na changanya changanya hii!

Mkuu usijifiche kwenye biblia ambayo nayo kwenye hoja hii ni very questionable na sio kila mchangiaji ni mumini wayo.

Kukuongezea kidogo there is nothing without a cause, even the nothingness has a cause!
Mkuu your explanation is simple and clear kuwa hakuna maisha once ukiwa mautini. Hayo maisha baada ya kufa yatakuwepo only based on the probability ya kufufuliwa in a time ambayo no body knows!
 
Je viumbe vingine vyenye uhai vinaenda huko pia vikifa?na je vinapitia mafundisho yapi ili kujiandaa?

Hao WAASISI wetu walipitia mafundisho yapi ambayo yaliwaelekeza jinsi wanaenda kuishi tena?
πŸ‘πŸ‘πŸ™πŸŽ–οΈ
 
Je viumbe vingine vyenye uhai vinaenda huko pia vikifa?na je vinapitia mafundisho yapi ili kujiandaa?

Hao WAASISI wetu walipitia mafundisho yapi ambayo yaliwaelekeza jinsi wanaenda kuishi tena?
πŸ‘πŸ‘
πŸ‘πŸ‘πŸ™πŸ’πŸŽ–οΈ
 
Wewe umeelewa. Big up

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Kwa mtazamo wangu naona yapo maisha baada ya haya.

Kitakacho kufa ni mwili.

"Mtu unasema"
Mwili wangu unaumwa, je wewe ni Nani?
"Mguu wangu umevunjika"

Huyo anayeongea hafi ila hivyo anavyo vitaja vitakufa.

Je mwili wangu anao umwa si unaweza kufa ?

Ila Nafsi inashindwa kusema
"Mwili wangu umekufa" kwakuwa mwili ndio kama spika inayoongea, mwili ukifa spika inazima.

Mwili ndio unaokufa.

Nafsi haifi kwakuwa haiumwi wala haizeeki.
 
Maisha ni fumbo kubwa sana siku umekufa ndio utaujua ukweli. Kwamba hao wanaosali wameingia chaka ama wapo sahihi. Alafu huwezi kurudi uwaambie.

Ndio maana nasema aliyekufa anayajua mengi kuliko anayeishi.

All in all tuwe watu wema tutende mema yanayompendeza Mungu
 
wewe umeelewa.

watu wanafuata hizi dini lakini hawafuatilii nje ya yale wanayoambiwa na kasisi.

wamekuwa km makasuku. shida kubwa ipo hapo.
 
Nikileta andiko utaamini?
Boss mimi sio mfuasi wa Biblia na sikua na nia ya kuchangia uzi ila nimeona ume Missread hii Verse ya Biblia
Mhubiri 9:5&6
"Walio hai wanajua kuwa watakufa lakini waliokufa hawajui jambo lolote kamwe. Ikimaanisha no life after death, kunakuwa hakuna utendaji wowote.
Hapa andiko halimaanishi kua hakuna maisha baada ya kifo bila linaeleza kitachotokea baada ya mtu kufa hii hata kwenye uislam kawaida kuona maandiko yake kuwa ukifa haujui lolote, hauna sense/akili, unakua ni pande la nyama tu lisilo na kazi Yes.

Hapo vesrse haizungumzii maisha baada ya kifo maisha baada ya kifo maanayake baada ya kufufuliwa ndio huko kina maisha, so hio verse in short inazungumzia "Maisha ndani ya kifo na sio baada ya kifo*
Mhubiri 9:10
"Jambo lolote unalofanya kwa mkono wako, lifanye kwa nguvu zako zote, kwa maana hakuna kazi, mipango, ujuzi wala hekima huko uendako(kaburini/kuzimu)
Hapa bado ni vikevile ndani ya kifo hatutumii yote haya na hata baada ya kifo yaani kufufuliwa hatutumii yote haya, kumbuka ujizi, mipango nk ni vitu vya kidunia sehemu Kama peponi hakuna Mipango kwasababu kilakitu kipo smoothly without uncertainty, hakuna ujuzi maana mahitaji yote yapo full available nk

Bottom Line
Hili kuthibitisha Kama Kuna maisha au hakuna baada ya kufa tunahitaji njia mbili tu
1) mtu aliyekufa arudi kutueleza ambacho kitu haliwezekani
2)Kutumia Imani zilizopo main (Islam, Chirstian) au yoyete uliyonayo hii ndio njia inayowezekana Sasa kwenye mada watu wanaotumia Imani kuto hoja zao mtu anapinga bila ya kutumia Imani wala kitu kinacho Backup hoja yake...kimsingi Kama hautumii imani ya Dini katika jambo hili unakua mowayukaji tu unaeaneikaandika tu.
 
Mkuu haya maswali ni muhimu sana katika harakati za kujitambua. πŸ‘πŸ‘πŸ™
Kabisa mkuu.

Ukijiuliza maswali haya utafahamu kwamba Mungu anayedaiwa kwamba ni Mungu muweza wa vyote, mkamilifu na mwema hayupo.

Human beings created God through assumptions, Based on things beyond their imaginations.
 
Asee hutakiwi ata kutumia akili ya juu sana kuelewa hili..ukifa ndio imeisha imefurika hiyo..watabaki n kumbukumbu ukiowaacha tu kuwa ulikuwepo .hakuna maisha ya kitu kimeshakufa ..wake up dude .,[emoji41] mengine haya mnatiana moyo tu na hofu maisha yaendelee...
 
Kulala ni kufa...acheni kujitoa ufahamu kulala unapumnzisha sehemu baadhi tu za mwili kufanya kazi...
 
Kabisa mkuu.

Ukijiuliza maswali haya utafahamu kwamba Mungu anayedaiwa kwamba ni Mungu muweza wa vyote, mkamilifu na mwema hayupo.

Human beings created God through assumptions, Based on things beyond their imaginations.
πŸ‘πŸ‘πŸ™πŸ’πŸŽπŸŽ–οΈπŸ†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…