Je, kuna maisha mengine baada ya hapa duniani?

Je, kuna maisha mengine baada ya hapa duniani?

Mtafute mchungaji mmoja wa kanisa linalojiita!...la ufufuo na uzima...

Gwajima... Akusaidie namba za watu aliowafufua wakupe mrejesho wa huko...

Dini is the biggest scam ever...!(UONGO ULIOSUKWA KWA USTADI WA HALI YA JUU!!) Na watu magenius kwelikweli!

You only live ones in this world... And that's the anthem!....

Kama hakuna aliewahi kufa na akafufuka.....kuja kuhadithia.... Then the rest is the story!!! Kama story zingine! Za Netflix!!!
👍👏🙏
 
👍
Muumbaji. Nafsi. Mtakatifu. Yeye ni upendo. Ni mwenye huruma na mwingi wa fadhili. Haki, kweli, mamlaka na ukuu, ndizo sifa Zake.

Ni mweza yote. Anajua yote. Mkamilifu na mtimilifu katika kila namna. Hana dosari wala upungufu wowote ule katika asili Yake.

Alikuwepo milele, yupo, na anaishi milele kwa uweza wa nafasi Yake Mwenyewe.

Anaichukia dhambi kuliko, ila anampenda mdhambi upeo. Yohana 3:16.

^Bwana asema hivi, Mbingu ni kiti Changu cha enzi, na dunia ni mahali pa kuweka miguu Yangu.^ ~ Isaya 66:1

Zaburi 139:
7. Niende wapi nijiepushe na Roho Yako? Niende wapi niukimbie uso Wako?

8. Kama ningepanda mbinguni, Wewe uko; Ningefanya kuzimu kitanda changu, Wewe uko.

9. Ningezitwaa mbawa za asubuhi, Na kukaa pande za mwisho za bahari;

10. Huko nako mkono Wako utaniongoza, Na mkono Wako wa kuume utanishika.

11. Kama nikisema, Hakika giza litanifunika, Na nuru inizungukayo ingekuwa usiku;

12. Giza nalo halikufichi kitu, Bali usiku huangaza kama mchana; Giza na mwanga kwako ni sawasawa. ~ Zaburi 139.

^Mimi ni mzabibu; ninyi ni matawi, akaaye ndani Yangu nami ndani yake, huyo huzaa sana; maana pasipo Mimi ninyi hamwezi kufanya neno lolote.^ ~Yohana 15:5

Weka kiunganisho (link)
Mkuu kubali kufikiri nje ya imani yako, mbali na biblia tafuta vitabu vya apocalypse vipitie hatimaye chunguza jinsi wanyama, mimea na maumbile ya asili kwa ujumla yanavyofanya kazi utaongeza ufahamu wa huu ulimwengu!
 
Uthibitisho mkuu wa uwepo wa uhai baada ya kifo unatokana na ukweli kwamba uhai wenyewe ni kitu halisi chenye chanzo na kusudi.

Uhai ni kitu halisi; ulimwengu ni kitu halisi; dunia ni kitu halisi.

Dutu, viasili na nishati, viumbe hai, wanyama, mimea na wanadamu, vyote ni halisi. Hata fikra na mawazo ni halisi.

Uhalisia huu una chanzo. Mimi na wewe tupo leo kwa sababu tumezaliwa na wazazi wetu.

Huo ni ukweli usiopingika katu. Kwa upande mwingine, wazazi wetu nao wamezaliwa na wazazi wao.

Na hivyo, ni wazi kwamba uhalisia ni matokeo ya Chanzo – Chanzo Fahili chenye kusudi fahili (the Ultimate Cause with ultimate purpose).

^Mfanyieni BWANA shangwe, dunia yote; Mtumikieni BWANA kwa furaha;
Njoni mbele Yake kwa kuimba;
Jueni kwamba BWANA ndiye Mungu;
Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu Wake;
Tu watu Wake, na kondoo wa malisho Yake.

Ingieni malangoni Mwake kwa kushukuru; Nyuani Mwake kwa kusifu;
Mshukuruni, lihimidini jina Lake;
Kwa kuwa BWANA ndiye mwema;
Rehema Zake ni za milele;
Na uaminifu Wake vizazi na vizazi.^ ~ Zaburi 100
Mkuu mbona ulikuwa unatirika vizuri, ghafula tena umechanganya Habari, sio wote tunaosoma andiko lako ni wakristo! Umenegate hoja mwishoni.
 
Weka andiko hilo tulisome.

Mantiki kwamba kila chanzo lazima nacho kiwe na chanzo chake, umeitoa wapi?

Mungu ni Chanzo asiye na chanzo. He is the uncaused Cause!

Ndivyo afanyavyo Mungu 100%. Wanadamu huzaliwa na usalihi wa asili (natural innocence).

Siyo tu kwamba mtu huzaliwa na kukua huku akimjua Mungu kihulka, lakini pia ana sifa ileile ya Mungu ya upendo tangu utotoni.

Mtoto anapozaliwa, huwa hajui dhambi wala hana mtima wa kiburi, chuki na hila (Mithali 6:16-19), ambavyo ni viwakilishi vikuu vitatu vya dhambi zote.

Swali hili anapaswa kuulizwa mwanadamu mwenyewe; Mungu hausiki hapo kamwe.

Kwa nini mwanadamu ajitumbukize kimakusudi kutenda maovu wakati akijua fika kwamba ni mambo mabaya, na kwamba ataadhibiwa kwayo?

^Waambie, Kama Mimi niishivyo, asema Bwana MUNGU, sikufurahii kufa kwake mtu mwovu; bali aghairi mtu mwovu, na kuiacha njia yake mbaya, akaishi. Ghairini, ghairini, mkaache njia zenu mbaya; mbona mnataka kufa, Enyi nyumba ya Israeli?^ ~Ezekieli 33:11
Mkuu unachanganya hoja, Kiasi kwamba sio hoja tena inakuwa matango pori, simama na tetea hoja yako mpaka mwisho. Achana na changanya changanya hii!

Mkuu usijifiche kwenye biblia ambayo nayo kwenye hoja hii ni questionable na sio kilachangiaji ni mumini wayo.

Kukuongezea kidogo, there is nothing without a cause, even the nothingness has a cause!
 
Mkuu unachanganya hoja, Kiasi kwamba sio hoja tena imekuwa matango pori, simama na tetea hoja yako mpaka mwisho. Achana na changanya changanya hii!

Mkuu usijifiche kwenye biblia ambayo nayo kwenye hoja hii ni very questionable na sio kila mchangiaji ni mumini wayo.

Kukuongezea kidogo there is nothing without a cause, even the nothingness has a cause!
Hapa kuna maswali mawili yanachanganywa na kupewa majibu tofauti kama mtoa mada mlinzi mlalafofofo alivyouliza. Swali lake lilikuwa Je kuna sehemu nyingine tunaenda na maisha kuendelea tukizikwa au Je tukizkwa maisha yanaendelea huko twendako? Jibu ni hapana kulingana na Biblia. Tukizikwa hakuna maisha yanayoendelea kama maneno ya mhubiri 9:5 na 9: 10 na iko kama Molodekai alivyosema kuwa ukifa ndio mwisho wa yote hakuna utendaji unaondelea kama alivyoambiwa ingawa hakuendelea kuwauliza maswali waliomwambia maana hawaishi hapo tu

Baada ya kifo inakuwa kama mtu aliyelala usingizi ambapo kunakuwa hakuna utendaji wowote wa mtu huyu ni mpaka atakapoamshwa ndio anaendelea kutenda.

Swali la pili linalochanganywa na la kwanza ni je, kuna maisha baada ya kifo au tumaini lolote? Kwa mujibu wa Biblia jibu ni ndiyo. Watu wote walio makabuirini wanasubiri ufufuo. Ukisoma maneno ya Yesu kwenye Luka 20:37, na barua mbili za Paulo, 1
Wakorintho 15:52, 1 Wathesalonike 4: 16 yote yanataja juu ya tumaini ambalo wanadamu wanalo baada ya kufa. Vinginevyo kama hakuna tumaini lolote la wakati ujao basi kumtumikia Mungu kwetu ni bure.

Hivyo kwa mtazamo wa Biblia
1. Je tukifa tunaendelea kuishi? Jibu ni Hapana tunaendelea kusubiri ufufuo

2. Je kuna maisha baada ya kifo? Jibu ni NDIYO kwa kuwa kuna ufufuo mbele yetu wa wote waliolala makabuirini.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Mkuu your explanation is simple and clear kuwa hakuna maisha once ukiwa mautini. Hayo maisha baada ya kufa yatakuwepo only based on the probability ya kufufuliwa in a time ambayo no body knows!
 
Je viumbe vingine vyenye uhai vinaenda huko pia vikifa?na je vinapitia mafundisho yapi ili kujiandaa?

Hao WAASISI wetu walipitia mafundisho yapi ambayo yaliwaelekeza jinsi wanaenda kuishi tena?
👍👏🙏🎖️
 
Je viumbe vingine vyenye uhai vinaenda huko pia vikifa?na je vinapitia mafundisho yapi ili kujiandaa?

Hao WAASISI wetu walipitia mafundisho yapi ambayo yaliwaelekeza jinsi wanaenda kuishi tena?
👍👏
Mbwa,miti,samaki,mawe,n k pia vitakuwa na maisha mapya?

Kitu ambacho hakijawahi kutokea hapa duniani hakitokaa kitokee ndani ya maisha na kufa.

Hakuna maisha baada ya kufa viumbe vyote viliumbiwa hapa duniani hivyo vitafia hapa dunia ilipo roho na nafsi ya MUNGU aliyeviumba.

Ujinga huo umezidi kipimo.
👍👏🙏💐🎖️
 
Mkuu unachanganya hoja, Kiasi kwamba sio hoja tena inakuwa matango pori, SIMAMA na tetea hoja mpaka mwisho. Achana na changan ya hii!

Usijifiche kwenye biblia ambayo nayo kwenye hoja hii ni questionable na sio kilachangiaji ni mumini wayo.

Kukuongezea kidogo there is nothing without a cause, even the nothingness has a cause!

Mkuu your explanation is simple and clear kuwa hakuna maisha once ukiwa mautini. Hayo maisha baada ya kufa yatakuwepo only based on the probability ya kufufuliwa in a time ambayo no body knows!
Wewe umeelewa. Big up

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Kwa mtazamo wangu naona yapo maisha baada ya haya.

Kitakacho kufa ni mwili.

"Mtu unasema"
Mwili wangu unaumwa, je wewe ni Nani?
"Mguu wangu umevunjika"

Huyo anayeongea hafi ila hivyo anavyo vitaja vitakufa.

Je mwili wangu anao umwa si unaweza kufa ?

Ila Nafsi inashindwa kusema
"Mwili wangu umekufa" kwakuwa mwili ndio kama spika inayoongea, mwili ukifa spika inazima.

Mwili ndio unaokufa.

Nafsi haifi kwakuwa haiumwi wala haizeeki.
 
Maisha ni fumbo kubwa sana siku umekufa ndio utaujua ukweli. Kwamba hao wanaosali wameingia chaka ama wapo sahihi. Alafu huwezi kurudi uwaambie.

Ndio maana nasema aliyekufa anayajua mengi kuliko anayeishi.

All in all tuwe watu wema tutende mema yanayompendeza Mungu
 
Mkuu unachanganya hoja, Kiasi kwamba sio hoja tena inakuwa matango pori, simama na tetea hoja yako mpaka mwisho. Achana na changanya changanya hii!

Mkuu usijifiche kwenye biblia ambayo nayo kwenye hoja hii ni questionable na sio kilachangiaji ni mumini wayo.

Kukuongezea kidogo, there is nothing without a cause, even the nothingness has a cause!
wewe umeelewa.

watu wanafuata hizi dini lakini hawafuatilii nje ya yale wanayoambiwa na kasisi.

wamekuwa km makasuku. shida kubwa ipo hapo.
 
Nikileta andiko utaamini?
Boss mimi sio mfuasi wa Biblia na sikua na nia ya kuchangia uzi ila nimeona ume Missread hii Verse ya Biblia
Mhubiri 9:5&6
"Walio hai wanajua kuwa watakufa lakini waliokufa hawajui jambo lolote kamwe. Ikimaanisha no life after death, kunakuwa hakuna utendaji wowote.
Hapa andiko halimaanishi kua hakuna maisha baada ya kifo bila linaeleza kitachotokea baada ya mtu kufa hii hata kwenye uislam kawaida kuona maandiko yake kuwa ukifa haujui lolote, hauna sense/akili, unakua ni pande la nyama tu lisilo na kazi Yes.

Hapo vesrse haizungumzii maisha baada ya kifo maisha baada ya kifo maanayake baada ya kufufuliwa ndio huko kina maisha, so hio verse in short inazungumzia "Maisha ndani ya kifo na sio baada ya kifo*
Mhubiri 9:10
"Jambo lolote unalofanya kwa mkono wako, lifanye kwa nguvu zako zote, kwa maana hakuna kazi, mipango, ujuzi wala hekima huko uendako(kaburini/kuzimu)
Hapa bado ni vikevile ndani ya kifo hatutumii yote haya na hata baada ya kifo yaani kufufuliwa hatutumii yote haya, kumbuka ujizi, mipango nk ni vitu vya kidunia sehemu Kama peponi hakuna Mipango kwasababu kilakitu kipo smoothly without uncertainty, hakuna ujuzi maana mahitaji yote yapo full available nk

Bottom Line
Hili kuthibitisha Kama Kuna maisha au hakuna baada ya kufa tunahitaji njia mbili tu
1) mtu aliyekufa arudi kutueleza ambacho kitu haliwezekani
2)Kutumia Imani zilizopo main (Islam, Chirstian) au yoyete uliyonayo hii ndio njia inayowezekana Sasa kwenye mada watu wanaotumia Imani kuto hoja zao mtu anapinga bila ya kutumia Imani wala kitu kinacho Backup hoja yake...kimsingi Kama hautumii imani ya Dini katika jambo hili unakua mowayukaji tu unaeaneikaandika tu.
 
Mkuu haya maswali ni muhimu sana katika harakati za kujitambua. 👍👏🙏
Kabisa mkuu.

Ukijiuliza maswali haya utafahamu kwamba Mungu anayedaiwa kwamba ni Mungu muweza wa vyote, mkamilifu na mwema hayupo.

Human beings created God through assumptions, Based on things beyond their imaginations.
 
Asee hutakiwi ata kutumia akili ya juu sana kuelewa hili..ukifa ndio imeisha imefurika hiyo..watabaki n kumbukumbu ukiowaacha tu kuwa ulikuwepo .hakuna maisha ya kitu kimeshakufa ..wake up dude ., mengine haya mnatiana moyo tu na hofu maisha yaendelee...
 
yah!!!,,,,angalia unavolala[zoezi la kufa},,,,kama ni msaarab,unaoga,unasali,unaingia kitandani,unajifunika shuka{kama sanda] alaf unapoteza fahamu!!!!!!!!!!!!!!!!,,,,,,,,,,,,,,,,,,then unaota mambo yalokutokea mchana,mambo ya kale,,,,na kamauna kaunabii flan,unaota mambo yajayo,,then asubui au wakati flan unaamka,,,unaona,,,,,,,,,,,,!!!!!!!!!!!!!!!!!!maajabu hayo?????so jitahidi kuwa msafi kadri uwezavyo!!!
Kulala ni kufa...acheni kujitoa ufahamu kulala unapumnzisha sehemu baadhi tu za mwili kufanya kazi...
 
Kabisa mkuu.

Ukijiuliza maswali haya utafahamu kwamba Mungu anayedaiwa kwamba ni Mungu muweza wa vyote, mkamilifu na mwema hayupo.

Human beings created God through assumptions, Based on things beyond their imaginations.
👍👏🙏💐🎁🎖️🏆
 
Back
Top Bottom