Hata wanaoeneza uongo huo kwamba kuna maisha Baada ya kifo nao hawajawahi kufa.
Uhakika kwamba hakuna maisha baada ya kifo unatokana na uelewa wa dhana yenyewe kama ilivyo.
Unaelewa maana ya kifo/kufa?
Uthibitisho mkuu wa uwepo wa uhai baada ya kifo unatokana na ukweli kwamba uhai wenyewe ni kitu halisi chenye chanzo na kusudi.Wewe umewahi kufa ukajua kuna maisha baada ya kifo?
Wewe unaona sawa kuwa aminisha wengine kuna maisha baada ya kifo, Na Hujawahi kufa!!
Ila unaona si sahihi wengine kusema hakuna maisha baada ya kifo.
Leta uthibitisho wa kifo chako na thibitisha maisha baada ya kifo.
Weka andiko hilo tulisome.Biblia inasema hakuna maisha baada ya kifo ni unarudi kwenye udongo na kulala huko.
Mantiki kwamba kila chanzo lazima nacho kiwe na chanzo chake, umeitoa wapi?kama binadamu alitokea Kwa Master Planner na huyo Master Planner alitokea wapi? Chanzo hakipaswi kuishia Kwa Master Planner lazima turudi nyuma tujue na huyo Master Planner alitokea wapi! By this logic Chenye chanzo kina chanzo.
Ndivyo afanyavyo Mungu 100%. Wanadamu huzaliwa na usalihi wa asili (natural innocence).Kwanini asiumbe binadamu awe anamjua Mungu by default pale anapozaliwa?
Swali hili anapaswa kuulizwa mwanadamu mwenyewe; Mungu hausiki hapo kamwe.Yeye Mungu anaeijua kesho yetu kwanini aumbe binadamu anaemjua kesho atatenda matendo yasiyompendeza Mungu na Kisha anamuhukumu huyo binadamu?
^Waambie, Kama Mimi niishivyo, asema Bwana MUNGU, sikufurahii kufa kwake mtu mwovu; bali aghairi mtu mwovu, na kuiacha njia yake mbaya, akaishi. Ghairini, ghairini, mkaache njia zenu mbaya; mbona mnataka kufa, Enyi nyumba ya Israeli?^ ~Ezekieli 33:11Hivi wewe unajua mtoto wako kesho atazini na nguvu za kumfanya asizini unazo ila unamuacha azini halafu unampa na adhabu! By the way hata hiyo dhambi ya kuzini muasisi wake sio yeye bali ameikuta!
Haya wakuu kila lakheri na huo mjadala wenu muruwa.Weka andiko hilo tulisome.
Mantiki kwamba lazima kila chenye chanzo na chenyewe kiwe na chanzo umeitoa wapi?
Mungu ni Chanzo asiye na chanzo. He is the uncaused Cause!
Ndivyo afanyavyo Mungu 100%. Wanadamu huzaliwa na usalihi wa asili (natural innocence).
Siyo tu kwamba mtu huzaliwa na kukua huku akimjua Mungu kihulka, lakini pia ana sifa ileile ya Mungu ya upendo tangu utotoni.
Mtoto anapozaliwa, huwa hajui dhambi wala hana mtima wa kiburi, chuki na hila (Mithali 6:16-19), ambavyo ni viwakilishi vikuu vitatu vya dhambi zote.
Swali hili anapaswa kuulizwa mwanadamu mwenyewe; Mungu hausiki hapo kamwe.
Kwa nini mwanadamu ajitumbukize kimakusudi kutenda maovu wakati akijua fika kwamba ni mambo mabaya, na kwamba ataadhibiwa kwayo?
^Waambie, Kama Mimi niishivyo, asema Bwana MUNGU, sikufurahii kufa kwake mtu mwovu; bali aghairi mtu mwovu, na kuiacha njia yake mbaya, akaishi. Ghairini, ghairini, mkaache njia zenu mbaya; mbona mnataka kufa, Enyi nyumba ya Israeli?^ ~Ezekieli 33:11
Dini ujinga Mwingi sana ...anaishi kwa mashaka mwisho anakufa anarudi kuwa mbolea ya mimea iliyopo muda huo...ukifa imeisha hiyo muache kuandanganyana...mifumo inawatesa sana watu....Kwenye hizo ahadi za kwenye vitabu vya dini ,hazifariji chochote zaidi ya kukufanya uishi kwa mashaka, na kulia pilipili gizani unawashwa lakini hausemi.
Kuna fala moja lokole liliruka fensi kidogo lipasuke kichwa kisa alifumwa anakunywa bia.
💯Dini ujinga Mwingi sana ...anaishi kwa mashaka mwisho anakufa anarudi kuwa mbolea ya mimea iliyopo muda huo...ukifa imeisha hiyo muache kuandanganyana...mifumo inawatesa sana watu....
😆😆Sasa ukiongea kiume ndo utapata majibu au, hamna ajuaye!.![]()
Said by who, really? By a person whose mind is full of IllusionDini ujinga Mwingi sana ...anaishi kwa mashaka mwisho anakufa anarudi kuwa mbolea ya mimea iliyopo muda huo...ukifa imeisha hiyo muache kuandanganyana...mifumo inawatesa sana watu....
Haahaa hiyo ni lugha ya kukazia tu mkuuSasa ukiongea kiume ndo utapata majibu au, hamna ajuaye!.![]()
MAANDIKO KWANI YANASEMAJE?Hivi wakuu tukiacha hizi nadharia na dhana zingine za kufikirika kuhusu hatima yetu baada ya kifo.
Nataka tuongee kiume sasa.
Hivi ni kweli tukifa kuna mahali tunaenda au ni siasa na kufarijiana tu ilmradi maisha yasonge?
dhibiti(sha?) - controlHakuna wa kuidhibitisha Hilo,maana hakuna aliyekufa akarudi
.Hivi wakuu tukiacha hizi nadharia na dhana zingine za kufikirika kuhusu hatima yetu baada ya kifo.
Nataka tuongee kiume sasa.
Hivi ni kweli tukifa kuna mahali tunaenda au ni siasa na kufarijiana tu ilmradi maisha yasonge?
Kwanzia kwenye sparm na yai wewe ni matokeo ya nishati kutokea kwenye mimea na wanyama na udongo , pia ukifa unakua nishati ya mimea wanyama na udongo tena , process hii ni endelevu , wewe ni dunia na dunai ilivyo ni wewe .
Mpaka uwaulize wafu, wakujibu vinginevyo tumia imani zilizopo kuamini kulingana na imani uliyochagua kama hutaki Acha ishi bila imani.Hivi wakuu tukiacha hizi nadharia na dhana zingine za kufikirika kuhusu hatima yetu baada ya kifo.
Nataka tuongee kiume sasa.
Hivi ni kweli tukifa kuna mahali tunaenda au ni siasa na kufarijiana tu ilmradi maisha yasonge?
Sio kweli.Hakuna maisha mengine baada ya kufa.
Ukifa unaenda kuwa sehemu ya udongo, underground soil.
Thibitisha ni wakati gani Dunia haikuwepo kisha ikawepo.Sio kweli.
Ukweli ni kwamba kuna maisha baada ya hapa duniani. Maana kabla hatujakuwapo tulikuwako.