Je, kuna maisha mengine baada ya hapa duniani?

Je, kuna maisha mengine baada ya hapa duniani?

Hivi wakuu tukiacha hizi nadharia na dhana zingine za kufikirika kuhusu hatima yetu baada ya kifo.

Nataka tuongee kiume sasa.

Hivi ni kweli tukifa kuna mahali tunaenda au ni siasa na kufarijiana tu ilmradi maisha yasonge?
Hakuna tuondako hata Biblia inasema hilo. Mambo yote fanya kwa uwezo wako ukiwa hai
 
Tahadhari tu kwamba hao wanaoharakisha kuwahakikishieni kwa ujasiri wote kwamba hakuna maisha baada ya mauti, hawajawahi kufa kamwe.
Wewe ulishawahi kufa ukathibitisha kuna maisha baada ya kifo?

Yani unatoa tahadhari usiyo ijua wala huna uthibitisho na tahadhari hiyo.

Thibitisha kwamba ulishawahi kufa ukajua kwamba kuna maisha baada ya kufa.
 
Hivi wakuu tukiacha hizi nadharia na dhana zingine za kufikirika kuhusu hatima yetu baada ya kifo.

Nataka tuongee kiume sasa.

Hivi ni kweli tukifa kuna mahali tunaenda au ni siasa na kufarijiana tu ilmradi maisha yasonge?
Hakuna kuongea kiume kwenye hizi ishu..

Kinachobaki ni Imani Yako tu ya kuamini aidha yapo maisha mengine baada ya kifo ama laa..
 
Ulisha wahi kufa ukathibitisha kuna maisha baada ya kifo?

Kama Hujawahi kufa ukathibitisha kuna maisha baada ya kifo ila unajisemea semea tu, Ninyi ndio mazuzu...

Mna ongea "illusions"ambazo ninyi wenyewe hamjawahi thibitisha
🤣, Kwani wewe ni miongoni mwa mazuzu nilio wataja??
 
Hahaha binafsi yangu nina amani kuna maisha baada ya kifo. Hutoishi kama mwanadamu wa nyama bali kama roho isiyo na mwili, hutoweza kula wala kunywa ila nafsi yako ama roho yako itaishi kwenye ulimwengu wa wafu.

Nina ushahidi na hilo ndg zangu. Sema tu wengi wetu huwa wakifa hawatak kurud ila baadh ya koo zetu wamekufa na wanaish na wanarud tunawaona na wanatusimulia nakutuonesha matendo makuu ya ulimwengu wa wafu. Over. Nisitoe siri za kambi.

Naamin nitakufa nitaish hata milele kwenye koo yangu. Honor your ancestors. Choose the right path to live forever after death.

Ukitaka kwenda kwa Yesu haya, ukitaka kwenda kwa majini haya, ukitaka kuwa milik ya shetan haya ukitaka kwenda kwenye koo yoyote after your death, ukitaka kuwa nafs inayotanga tanga haya, Everything is on your Hand. Tafuta maarifa ya siri ujue ulimwengu ipasavyo itakusaidia
 
Asikudanganye mtu,ni kweli kabisa kuna maisha baada ya kifo.Kikubwa tupatane na Mungu kabla ya kifo ili atupokee kwenye maisha hayo mema kuliko haya.
 
Asikudanganye mtu,ni kweli kabisa kuna maisha baada ya kifo.Kikubwa tupatane na Mungu kabla ya kifo ili atupokee kwenye maisha hayo mema kuliko haya.
Hata uongo unaweza kuaminiwa ni ukweli.

Thibitisha kwamba kuna maisha baada ya kifo.

Au ulishawahi kufa ukajua kwamba kuna maisha baada ya kifo?
 
Honestly I don't know if there's life after death or not. If there's that's gonna be good.
But if there's no life after death, it's great great great since after I pass away I will disappear at all, no more problems, no mo pain, nothing will go on......wow Bora tu kusiwe na maisha Tena after death....maana daaah sio kwa maisha haya Pesa stress, mapenzi stress, afya stress, urafiki stress, Yaani Kila kitu taabu, you enjoy a little you suffer more!!!!
F*ck I don't wanna live again after I. Die cuz life's bitch
Yea F*ck it
 
  • Thanks
Reactions: A43
Hakuna tuondako hata Biblia inasema hilo. Mambo yote fanya kwa uwezo wako ukiwa hai
Lete andiko tusome; achana na porojo.

Wewe ulishawahi kufa ukathibitisha kuna maisha baada ya kifo?

Yani unatoa tahadhari usiyo ijua wala huna uthibitisho na tahadhari hiyo.

Thibitisha kwamba ulishawahi kufa ukajua kwamba kuna maisha baada ya kufa.
You're not thinking. Rudia kusoma kauli yangu na maoni yako. It's quite illogical. Sorry for you!

BTW: You don't have to die in order to prove the afterlife. Your logic is interesting.
I exist now.

Not before my birth and when I die.
Can you prove it -- that there is no afterlife?
Hahaha binafsi yangu nina amani kuna maisha baada ya kifo. Hutoishi kama mwanadamu wa nyama bali kama roho isiyo na mwili, hutoweza kula wala kunywa ila nafsi yako ama roho yako itaishi kwenye ulimwengu wa wafu.
Unazungumzia mizimu (mashetani) yanayochukua umbo na sura ya wafu, na kuwazukia watu.

Hiyo ni mada nyingine.
 
Lete andiko tusome; achana na porojo.

You're not thinking. Rudia kusoma kauli yangu na maoni yako. It's quite illogical. Sorry for you!

BTW: You don't have to die in order to prove the afterlife. Your logic is interesting.

Can you prove it -- that there is no afterlife?

Unazungumzia mizimu (mashetani) yanayochukua umbo na sura ya wafu, na kuwazukia watu.

Hiyo ni mada nyingine.
Nikileta andiko utaamini?

Mhubiri 9:5&6
"Walio hai wanajua kuwa watakufa lakini waliokufa hawajui jambo lolote kamwe. Ikimaanisha no life after death, kunakuwa hakuna utendaji wowote.

Mhubiri 9:10
"Jambo lolote unalofanya kwa mkono wako, lifanye kwa nguvu zako zote, kwa maana hakuna kazi, mipango, ujuzi wala hekima huko uendako(kaburini/kuzimu)
 
Nafsi pekee inakiri hilo huku haijijui kama wewe ushahidi mwepesi kama mzee yule kaishi maisha ya kusema Mungu hayupo mpaka uzee wake aling'atwa na mbwa akabatizwa yote ni maandalizi ya aendako kingine usingizi nalo ni jawabu tosha
 
Weka andiko hilo tulisome.

Mantiki kwamba kila chanzo lazima nacho kiwe na chanzo chake, umeitoa wapi?

Mungu ni Chanzo asiye na chanzo. He is the uncaused Cause!

Ndivyo afanyavyo Mungu 100%. Wanadamu huzaliwa na usalihi wa asili (natural innocence).

Siyo tu kwamba mtu huzaliwa na kukua huku akimjua Mungu kihulka, lakini pia ana sifa ileile ya Mungu ya upendo tangu utotoni.

Mtoto anapozaliwa, huwa hajui dhambi wala hana mtima wa kiburi, chuki na hila (Mithali 6:16-19), ambavyo ni viwakilishi vikuu vitatu vya dhambi zote.

Swali hili anapaswa kuulizwa mwanadamu mwenyewe; Mungu hausiki hapo kamwe.

Kwa nini mwanadamu ajitumbukize kimakusudi kutenda maovu wakati akijua fika kwamba ni mambo mabaya, na kwamba ataadhibiwa kwayo?

^Waambie, Kama Mimi niishivyo, asema Bwana MUNGU, sikufurahii kufa kwake mtu mwovu; bali aghairi mtu mwovu, na kuiacha njia yake mbaya, akaishi. Ghairini, ghairini, mkaache njia zenu mbaya; mbona mnataka kufa, Enyi nyumba ya Israeli?^ ~Ezekieli 33:11
Pumbavu
 
Back
Top Bottom