Je, kuna maisha mengine baada ya hapa duniani?

Je, kuna maisha mengine baada ya hapa duniani?

Kwenye hizo ahadi za kwenye vitabu vya dini ,hazifariji chochote zaidi ya kukufanya uishi kwa mashaka, na kulia pilipili gizani unawashwa lakini hausemi.

Kuna fala moja lokole liliruka fensi kidogo lipasuke kichwa kisa alifumwa anakunywa bia.
Sasa jamaa aliamini Mungu hamuoni?

Hapo ndipo utagundua hata hao wanaojinadi ulokole ndani kabisa hawaamini huyo Mungu yupo.
 
Tahadhari tu kwamba hao wanaowahakikishieni kwa ujasiri wote kwamba hakuna maisha baada ya mauti, hawajawahi kufa kamwe.
Wewe umewahi kufa ukajua kuna maisha baada ya kifo?

Wewe unaona sawa kuwa aminisha wengine kuna maisha baada ya kifo, Na Hujawahi kufa!!

Ila unaona si sahihi wengine kusema hakuna maisha baada ya kifo.

Leta uthibitisho wa kifo chako na thibitisha maisha baada ya kifo.
 
Sasa jamaa aliamini Mungu hamuoni?

Hapo ndipo utagundua hata hao wanaojinadi ulokole ndani kabisa hawaamini huyo Mungu yupo.
Akili na hisia zao zipo tofauti nadhani ni hofu tu ya kuogopa wakifa itakuaje.
 
Akili na hisia zao zipo tofauti nadhani ni hofu tu ya kuogopa wakifa itakuaje.
Naam.

Wakifa wataoza na maisha yataendelea, watageuka funza na kurutubisha ardhi kama mbolea, mimea itapata rutuba.

Ila siku hizi, hususan Wakristo, wanazika kwenye mijeneza mikubwa sana, migumu sana, mikaburi inasilibwa kwa simenti na marumaru.

Wanazuia the cycle of life.
 
Wanachelewesha tu mkuu
 
Hivi wakuu tukiacha hizi nadharia na dhana zingine za kufikirika kuhusu hatima yetu baada ya kifo.

Nataka tuongee kiume sasa.

Hivi ni kweli tukifa kuna mahali tunaenda au ni siasa na kufarijiana tu ilmradi maisha yasonge?
Ukishakufa unazikwa ardhini. Baada ya hapo utabakia tu kuwa skeleton. Hakuna maisha mengine baada ya kufa. Huwa tunafarijiwa tu na viongozi wetu wa dini.
 
Back
Top Bottom