Je, kuna maisha mengine baada ya hapa duniani?

kwanini hizo biblia na misafu zisimtaje MUASISI wetu hata mmoja tu aliyetoa ushuhuda wa neno la MUNGU woooote ni wazungu na waarabu tu?
Historia ya Biblia inaenda mbali zaidi ya Uarabu na Uzungu na hata ubinadamu wenyewe.

Ni document ambayo wameandika wanadamu kwa uongozi wa Mungu. Hii inaitwa ufunuo wenye uvuvio.

Je viumbe vingine vyenye uhai vinaenda huko pia vikifa?na je vinapitia mafundisho yapi ili kujiandaa?
Viumbe vikishakufa, vimekufa. Viasili vyake hurejea katika hali yake husika kabla huyo kiumbe hajawepo.

You may call it reverse creation -- going back to the original state.

Tofauti pekee ni kumbukumbu yake iliyopo kwa watu ambao wangali hai.

Hiyo ni kusema kwamba walio hai ndio wanajua kuwa fulani na fulani aliwahi kuwepo.

Otherwise, yeye hayupo tena kwa kipindi hicho cha umauti.

Hao WAASISI wetu walipitia mafundisho yapi ambayo yaliwaelekeza jinsi wanaenda kuishi tena?
Hauko mbali na jibu halisi. Original man, Adamu na Hawa walifundishwa moja kwa moja na Mungu.

Maisha mapya yapo kwakuwa umeelekezwa kupitia biblia au msahafu? na je waliokuwepo kabla ya dini inakuwaaje.
Kwani dini ilianza lini? Baada tu ya mwanadamu kuumbwa, hapohapo na dini nayo ikazaliwa.

Unaelewaje maana ya dini? Dini simply, ni elimu juu ya Mungu.
Hizi dini zenu za michongo zilianzishwa na kuletwa na wazungu hawa hapa chini:
Hao uliowataja wote wameikuta dini, kama ambavyo mimi na wewe tumezaliwa tukaikuta. Don't be so naive.

Halafu, unachodharau kwa Wazungu ni dini tu? Vipi kuhusu elimu yao, sayansi, sanaa, lugha, teknolojia?

Unaonekana wazi umejaa nahaba na nishaha (bias and prejudice) dhidi ya dini. Sorry for you.

Lazaro ni mzungu na Yesu ni Mzungu, je kuna Mwafrika aliyewahi kufufuliwa na Yesu?
Kwa hiyo Mwafrika angetajwa kufufuliwa kwenye Biblia ndipo ungeamini?

Sisi wengine hatuoni tofauti ya Uzungu, Uarabu, Uafrika.

Mwanadamu ni yuleyule tu -- ukoo mmoja wenye vinasaba sawia vya Adamu na Hawa.

Mbwa,miti,samaki,mawe,n k pia vitakuwa na maisha mapya?
Katika Mbingu na Nchi mpya watakuwepo wanyama, mimea, na viumbe mbalimbali.

Binadamu ni ngazi ya juu ya uumbaji wa Mungu duniani. Ameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu Mwenyewe.

Ndiye kiumbe pekee miongoni mwao wote mwenye utashi. Umeona tofauti?

Mwanadamu ndiye mgeni rasmi duniani, ndiyo sababu alitokezwa baada ya viumbe vingine vyote kuandaliwa ili kumpokea katika siku ya sita.

Dunia yote na vilivyomo iliumbwa kwa kusudi la kumtegemeza mwanadamu, ambaye ndiye mtawala wa vyote.

Kitu ambacho hakijawahi kutokea hapa duniani hakitokaa kitokee ndani ya maisha na kufa.
Unatabiri au? Maana kuna kiama na hukumu, watakatifu kubadilishwa na kutwaliwa mbinguni na maisha ya milele.

By the way, ufufuo siyo suala geni duniani.

Hakuna maisha baada ya kufa viumbe vyote viliumbiwa hapa duniani hivyo vitafia hapa dunia ilipo roho na nafsi ya MUNGU aliyeviumba.
Kila alichoumba Mungu kina kusudi lake. Kila chema atendacho Mungu kimekusudiwa kudumu milele. He's a perfect God.

kama kungekua na ufufuo basi hayo mabaki yangekuwa yameshafufuka kwa awamu ya kwanza na ya pili au hata ya tatu.
Mungu akiamua leo ufufuo utokee, hilo halina ubishi, kama alivyofanya kwa Musa na Lazaro na hata Yesu Mwenyewe, na wengine wengi.

Tangu lini mwanadamu akampangia Muumbaji wake ratiba?

Momi naamini hakuna mwisho wa dunia
Yes. 100%

Kinachoweza kutokea labda ni dunia kuelemewa kwa idadi ya uzito wa viumbe vinavyozaliana na kwa uwezo wa MUNGU kukatoa muujiza wowote wa mabadiliko ya uwepo wa binadamu,hilo tu!!
The end is coming. Make no mistake about it.

Mabadiliko hayo ya kimuujiza unayozungumzia ndiyo Kiama yenyewe. Your preposterous inspiration really sucks!

Ndiyo kabisa,hali hiyo yaweza kuwa ni kujaa kwa dunia na kuelemewa kwa idadi ya watu kuwa kubwa na kupungua kwa viumbe wengine kama wanyama na mimea kutokana na overpopulation tukio ambalo linawezatokea baada ya miaka mingi saaaana siyo UFUFUKO !!!
Hili neno ufufuo inaonekana unaliogopa sana.

Halafu siyo ufufuko (reincarnation), bali ni ufufuo (resurrection).

It's only fools who fight away truth by denying it.

Swali lako ulitakiwa uwaulize waliowai kufa, sisi tulio hai tutajuaje?
But we fully believe there's Andromeda Galaxy and millions others, yet no one has ever been there!

Scientists even know how much is the temperature of our sun at its very core -- 15,000,000⁰C!

They can even tell with their manipulative, detailed, geological shrewdness how the universe came into being 13.8 billion years ago through the infamous Big Bang.

Mkuu huwezi kutetea hoja yako kwa kutumia kitabu chenye maneno yanayotiliwa shaka na mtoa hoja!
What if mimi pia natilia shaka mawazo yako ya kuitilia shaka Biblia?

Kama kweli Biblia ni kitabu cha Mungu kwanini kisiwepo baada ya uumbaji kama manual book?
Kwani Biblia ina umri gani? Hujui kwamba Musa amehusika katika uandishi wa Biblia? Ayubu naye?

Mkuu kubali kufikiri nje ya imani yako, mbali na biblia tafuta vitabu vya apocalypse vipitie hatimaye chunguza jinsi wanyama, mimea na maumbile ya asili kwa ujumla yanavyofanya kazi utaongeza ufahamu wa huu ulimwengu!
What's your point?

sio wote tunaosoma andiko lako ni Wakristo!
Kama unataka kusikia tu yale unayojua wewe, kuna maana gani tena ya kudadisi?

If I quoted something (from Scripture, especially), that means it perfectly captures and represents my own worldview so much so that I couldn't have said it better.

That said, consider my quoting of the Bible as my very thoughts and thinking process.

Kukuongezea kidogo, there is nothing without a cause, even the nothingness has a cause!
This is preposterous. How in the world does anything that has been caused be otherwise regarded as nothingness? You sound gibberish.

Hayo maisha baada ya kufa yatakuwepo only based on the probability ya kufufuliwa in a time ambayo no body knows!
It's not based on probability. It's undisputed fact. We know it, you do too -- the only difference is your denial.

Mwili ndio unaokufa.
Nafsi haifi kwakuwa haiumwi wala haizeeki.
Define ^nafsi^

Ndio maana nasema aliyekufa anayajua mengi kuliko anayeishi.
Aliyekufa hajui lolote, hadi ufufuo. There are in unconscious sleep -- no thoughts, feelings, brain activity, no nothing.

Ukijiuliza maswali haya utafahamu kwamba Mungu anayedaiwa kwamba ni Mungu muweza wa vyote, mkamilifu na mwema hayupo.

Human beings created God through assumptions, Based on things beyond their imaginations.
It's rather the opposite. You seem to have mentally created your own god, so you may annihilate it by the same reasoning.

The God I believe in wouldn't be God if He ceased to be mysterious in His nature.

Hujathibitisha Mungu yupo, umetoa kauli ya imani tu.

Thibitisha Mungu yupo.
Or, you can help him by doing the exact opposite: prove that He doesn't exist.
 
Nimesema uliza swali moja ujibiwe hoja kwa hoja. Hapa unaonyesha upunguani wako kwa kuandika sana uonekane unajua wakati hujui kitu na hujui nasimamia wapi unachojua ni matusi

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Imani tuuuu!! Haiwezekani. Utaaminije kitu usichokiona? Utaaminije vitu usivyoviona?

Labda mngejenga hoja ya kuelezea uwepo wake na sababu, siyo tu hamuamini.
1. Wewe una sababu zako binafsi za kuamini kiza.
2. Mtu mwingine hana haja ya kuamini huo utapeli na ujinga.
Sasa,zoezi la kupiga vita na kuwachimba mikwara wasiomuamini huyo Mungu wenu, bila kutoa vigezo elekezi,halisaidii. Kwa akili zako,uliona yupo ukaamini hivyo. Lakini kuweza kutuaminisha uwepo wake,umeferi.

Pitia hapa chini,utaniambia kipi tumeongopa, na wewe ujiongeze.

Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee uliodumu kwa muda mrefu ni huu:

Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea

Ameumba dunia kwa ajili yetu na ataiangamiza dunia kwa ajili yetu

Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza(kama vile hajielewi),

Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na uwezo wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie pepo tu tukale bata

Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyotaka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje

Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini,umalaya,ukahaba, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani (magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani( inaelekea huyu hajiwezi mpaka awe na msaidizi mhuni,amuache tu amchanganyie habari)

Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake

Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair

Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima

Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu

Yaani kuna mtoto wa fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously ?

Akaitwa neno. Neno huyo alikua Mungu, mtoto wa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani na akapatikana. Shetani aliemuumba mwenyewe.

Mtoto huyu wa fundi kampenta, hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu dogo huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”

Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk

Hebu fikiria huko Arabia kuna maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kukata vichwa watu wote watakaopinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mabikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu.

Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa mwezi kila mwaka ili wakale naye bata Peponi

Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa

Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoagiza ili ukale bata sana baada ya kufa
 
Historia ya Biblia inaenda mbali zaidi ya Uarabu na Uzungu na hata ubinadamu wenyewe.

Ni document ambayo wameandika wanadamu kwa uongozi wa Mungu. Hii inaitwa ufunuo wenye uvuvio.

Viumbe vikishakufa, vimekufa. Viasili vyake hurejea katika hali yake husika kabla huyo kiumbe hajawepo.

You may call it reverse creation -- going back to the original state.

Tofauti pekee ni kumbukumbu yake iliyopo kwa watu ambao wangali hai.

Hiyo ni kusema kwamba walio hai ndio wanajua kuwa fulani na fulani aliwahi kuwepo.

Otherwise, yeye hayupo tena kwa kipindi hicho cha umauti.

Hauko mbali na jibu halisi. Original man, Adamu na Hawa walifundishwa moja kwa moja na Mungu.

Kwani dini ilianza lini? Baada tu ya mwanadamu kuumbwa, hapohapo na dini nayo ikazaliwa.

Unaelewaje maana ya dini? Dini simply, ni elimu juu ya Mungu.

Hao uliowataja wote wameikuta dini, kama ambavyo mimi na wewe tumezaliwa tukaikuta. Don't be so naive.

Halafu, unachodharau kwa Wazungu ni dini tu? Vipi kuhusu elimu yao, sayansi, sanaa, lugha, teknolojia?

Unaonekana wazi umejaa nahaba na nishaha (bias and prejudice) dhidi ya dini. Sorry for you.

Kwa hiyo Mwafrika angetajwa kufufuliwa kwenye Biblia ndipo ungeamini?

Sisi wengine hatuoni tofauti ya Uzungu, Uarabu, Uafrika.

Mwanadamu ni yuleyule tu -- ukoo mmoja wenye vinasaba sawia vya Adamu na Hawa.

Katika Mbingu na Nchi mpya watakuwepo wanyama, mimea, na viumbe mbalimbali.

Binadamu ni ngazi ya juu ya uumbaji wa Mungu duniani. Ameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu Mwenyewe.

Ndiye kiumbe pekee miongoni mwao wote mwenye utashi. Umeona tofauti?

Mwanadamu ndiye mgeni rasmi duniani, ndiyo sababu alitokezwa baada ya viumbe vingine vyote kuandaliwa ili kumpokea katika siku ya sita.

Dunia yote na vilivyomo iliumbwa kwa kusudi la kumtegemeza mwanadamu, ambaye ndiye mtawala wa vyote.

Unatabiri au? Maana kuna kiama na hukumu, watakatifu kubadilishwa na kutwaliwa mbinguni na maisha ya milele.

By the way, ufufuo siyo suala geni duniani.

Kila alichoumba Mungu kina kusudi lake. Kila chema atendacho Mungu kimekusudiwa kudumu milele. He's a perfect God.

Mungu akiamua leo ufufuo utokee, hilo halina ubishi, kama alivyofanya kwa Musa na Lazaro na hata Yesu Mwenyewe, na wengine wengi.

Tangu lini mwanadamu akampangia Muumbaji wake ratiba?

Yes. 100%

The end is coming. Make no mistake about it.

Mabadiliko hayo ya kimuujiza unayozungumzia ndiyo Kiama yenyewe. Your preposterous inspiration really sucks!

Hili neno ufufuo inaonekana unaliogopa sana.

Halafu siyo ufufuko (reincarnation), bali ni ufufuo (resurrection).

It's only fools who fight away truth by denying it.

But we fully believe there's Andromeda Galaxy and millions others, yet no one has ever been there!

Scientists even know how much is the temperature of our sun at its very core -- 15,000,000⁰C!

They can even tell with their manipulative, detailed, geological shrewdness how the universe came into being 13.8 billion years ago through the infamous Big Bang.

What if mimi pia natilia shaka mawazo yako ya kuitilia shaka Biblia?

Kwani Biblia ina umri gani? Hujui kwamba Musa amehusika katika uandishi wa Biblia? Ayubu naye?

What's your point?

Kama unataka kusikia tu yale unayojua wewe, kuna maana gani tena ya kudadisi?

If I quoted something (from Scripture, especially), that means it clearly and perfectly captures and represents my own worldview so much so that I couldn't have said it better.

That said, consider my quoting of the Bible as my very thoughts and thinking process.

This is preposterous. How in the world does anything that has been caused be regarded as nothingness? You sound gibberish.

It's not based on probability. It's undisputed fact. We know it, you it -- regardless of your denial.

Define ^nafsi^

Aliyekufa hajui lolote, hadi ufufuo. There are in unconscious sleep -- no thoughts, feelings, brain activity, no nothing.

It's rather the opposite. You mentally created your own god, so that you annihilate it by the same reasoning.

The God I believe wouldn't be God if He ceased to be mysterious in His nature.

Or, you can help him by doing the exact opposite: prove that He doesn't exist.
You are just meandering.

God doesn't exist.

Kisicho kuwepo hakihitaji uthibitisho wa kutokuwepo kwake, Kwa vile hakipo kwa namna yoyote.

Wewe unaye sema Mungu yupo, Eleza na thibitisha Mungu huyo yupo kwa namna gani?

Sio kuzunguka zunguka.
 
Mimi naamini kuna Mungu na maandiko matakatifu pamoja, matukio na uumbaji ndio vinatusaidia kuamini uwepo wa Mungu na ufufuo kwa wakati ujao. Kama huna imani kuwa Mungu yupo na ana nguvu basi hata haya mengine kuzungumza nawe ni kujisumbua tu

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Mungu yupo lakini ufufu na maandiko ni ujinga wa kufikirika.

Hao ambapo hawana au hawafuati hayo maandiko yako hawatafufuka?
 
Acheni upotoshaji yaani bila kutishana apa duniani pangekuwa hapatoshi, kwahiyo Kuna mawili ama mungu kaleta huo utaratibu ili tuishi tuwe wapole au ni wanadamu wamebuni njia salama za kuweza kuishi kama walivyofanya wazungu ili kututawala. Mwisho ni kwamba ni Bora ukaamini kuwa Kuna maisha baada ya kufa ili ata ukikutana nayo ujue umejiandaa kukabiliana nayo kuliko kutokuamini alafu ukutane nayo utakuwa kwenye wakati mgumu sana na utatamani picha lirudi nyuma kidgo ili uescape, ko ushauri wangu ndugu zanguni tubebe maji kabisa maana tunakoelekea yaeza ikawa ni jangwani.
 
Kama unaamini kuna hayo maisha baada ya kifo na mazuri kwanini usitangulie kwa hiari na kwanini mtu akijaribu kujitoa roho ashitakiwe wakati anaenda kwenye maisha mengine?
 
You are just meandering.

God doesn't exist.

Kisicho kuwepo hakihitaji uthibitisho wa kutokuwepo kwake, Kwa vile hakipo kwa namna yoyote.

Wewe unaye sema Mungu yupo, Eleza na thibitisha Mungu huyo yupo kwa namna gani?

Sio kuzunguka zunguka.
Mungu yupo kwa sababu mimi nimekuwa nikimuomba kupitia Babu na Bibi zangu ktk matatizo na mahitaji yangu na ninafanikiwa pasipo mdhuru mtu yeyote.

Pia wapo wanaonikosea au kunionea tu pasipo kosa lolote pia nimekuwa nikiwashitakia wanajibu kwa kuwaadhibu.
 
Ila wasomi mnachekesha sanaa, nyie ndio mnaojifariji katika maovu yenu na mnataka uhuru zaidi wa kufanya dhambi ndio maana akitokea mtu anakemea dhambi ndio mnaamka kutafuta hali zenu! ni sawa na mashoga tu
 
Ukifa hauna tofauti na ng'ombe aliye kufa

Iwe kimwili au kiroho..
Hii ni kweli na cha kujiuliza ni vipi Mungu ampendelee mtu na aache viumbe wengine wasifufuke wakati vyote viko na thamani sawa mbele yake i.e:ngome,mbwa,miti,samaki n.k. na vinategemeana na watu?
 
Imani tuuuu!! Haiwezekani. Utaaminije kitu usichokiona? Utaaminije vitu usivyoviona?

Labda mngejenga hoja ya kuelezea uwepo wake na sababu, siyo tu hamuamini.
1. Wewe una sababu zako binafsi za kuamini kiza.
2. Mtu mwingine hana haja ya kuamini huo utapeli na ujinga.
Sasa,zoezi la kupiga vita na kuwachimba mikwara wasiomuamini huyo Mungu wenu, bila kutoa vigezo elekezi,halisaidii. Kwa akili zako,uliona yupo ukaamini hivyo. Lakini kuweza kutuaminisha uwepo wake,umeferi.

Pitia hapa chini,utaniambia kipi tumeongopa, na wewe ujiongeze.

Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee uliodumu kwa muda mrefu ni huu:

Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea

Ameumba dunia kwa ajili yetu na ataiangamiza dunia kwa ajili yetu

Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza(kama vile hajielewi),

Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na uwezo wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie pepo tu tukale bata

Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyotaka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje

Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini,umalaya,ukahaba, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani (magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani( inaelekea huyu hajiwezi mpaka awe na msaidizi mhuni,amuache tu amchanganyie habari)

Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake

Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair

Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima

Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu

Yaani kuna mtoto wa fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously ?

Akaitwa neno. Neno huyo alikua Mungu, mtoto wa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani na akapatikana. Shetani aliemuumba mwenyewe.

Mtoto huyu wa fundi kampenta, hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu dogo huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”

Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk

Hebu fikiria huko Arabia kuna maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kukata vichwa watu wote watakaopinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mabikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu.

Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa mwezi kila mwaka ili wakale naye bata Peponi

Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa

Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoagiza ili ukale bata sana baada ya kufa
Someni hii kitu iko na mwamsho fulani ati!!!!
 
Kuna wengine wanatamani ata leo wafe ili wakaenjoy maisha kule majuu! kama huamini fanya toba uwe msafi kiroho uone kama utaogopa kifoo
 
You are just meandering.

God doesn't exist.

Kisicho kuwepo hakihitaji uthibitisho wa kutokuwepo kwake, Kwa vile hakipo kwa namna yoyote.

Wewe unaye sema Mungu yupo, Eleza na thibitisha Mungu huyo yupo kwa namna gani?

Sio kuzunguka zunguka.
Jibu utakalopewa hapa,ni wewe tena kuulizwa kwa nini hayupo?! Hawajibu,wanataka kuaminisha watu wanayoyaamini wao. Hatujawazuia kutoza sadaka na mafungu ya 10,hamjamkaba mtu, mnamtapeli aliejileta mwenyewe, wakijitambua siku moja watasitisha.
Hata sisi ilikuwaga hivo. Tutapungua taratibu tu
 
Mkuu huwezi kutetea hoja yako kwa kutumia kitabu chenye maneno yanayotiliwa shaka na mtoa hoja!

Kama kweli Biblia ni kitabu cha Mungu kwanini kisiwepo baada ya uumbaji kama manual book?
Si ni yule Mungu asiyeweza. Hajui kusoma na kuandika,alisubili waja wake wamuandikie na wamtangazie.
Ila watu weusi bwana eh. Hii mijadala wanaotambua uhuni waloufanya hawanaga
 
Mkuu unachanganya hoja, Kiasi kwamba sio hoja tena imekuwa matango pori, simama na tetea hoja yako mpaka mwisho. Achana na changanya changanya hii!

Mkuu usijifiche kwenye biblia ambayo nayo kwenye hoja hii ni very questionable na sio kila mchangiaji ni mumini wayo.

Kukuongezea kidogo there is nothing without a cause, even the nothingness has a cause!

Mkuu your explanation is simple and clear kuwa hakuna maisha once ukiwa mautini. Hayo maisha baada ya kufa yatakuwepo only based on the probability ya kufufuliwa in a time ambayo no body knows!
Kufufuliwa? Na nani? Au from nowhere!
 
Biblia ni historia halisi. Imebainisha ukweli mwingi sana unaojibu maswali makuu yote kuhusu maisha ya mwanadamu yaliyopita, ya sasa na baadaye.

Mtu anayeamini uwepo wa Mungu, anashindwaje kuwa na hakika ya maisha ya baadaye? Anashindwaje kutambua kwamba maisha ya dunia na kaburi siyo mwisho wa mambo?

Mungu aliumba kwa kusudi la kudumu milele kwa viumbe Wake.

Pamoja na kwamba mpango Wake umevurugwa na dhambi, lakini bado ameandaa njia ambayo kwayo mwanadamu anaweza kurejesha mahusiano yake kwa Muumba wake.

Iwapo Mungu ndiye msingi, basi mauti kamwe haiwezi kuwa ukuta wala ukingo. Kuna maisha baada ya Kiama.

Ni muhimu pia kujikumbusha kwamba si kila mtu ataonja mauti. Kuna watu watakaokuwa wangali hai wakati wa kuja kwa Kristu Yesu. 1 Thesalonike 4:16, 17

Usemi mashuhuri kwamba ^kila nafsi itaonja mauti^ unaenezwa na Shetani kupitia malaika wake, kwa lengo kuu la kuwapotezea tumaini watu ambao wamechagua kumpenda na kumtii Mungu.

^Amin, amin, nawaambia, yule alisikiaye neno Langu na kumwamini Yule aliyenipeleka, yuna uzima wa milele; wala haingii hukumuni, bali amepita kutoka mautini kuingia uzimani.^ ~Yohana 5:24
Naamini katika uwepo wa the so called supernatural power(God) shida ni kwamba dunia imekuwepo kwa bilion of years,sasa huo ufufuo umekuja kuongelewa baada ya yesu kuzaliwa,mimi naungana na wahindi wnaoamini katina kuzaliwa upya,bati sio ufufuo
 
Back
Top Bottom