Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,339
- 1,493
Habari Tanzania !
Ikiwapendeza vijana nawakaribisha kwa hayo mawazo.
Linahitajika wazo la biashara ambalo ni jipya. Ikiwa utakuja na wazo la kufanyika maeneo yafuatayo hapa Tanzania kwa kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja kwenye hilo wazo lako.
Mikoa ifuatayo; Mwanza, Arusha, Dar es Salaam, Mbeya, Dodoma na Tanga.
Karibu kwa wazo lako tafdhali.