Je, inafaa kunyonyana kisheria ya dini

Je, inafaa kunyonyana kisheria ya dini

Katika baadhi ya dini zinapinga hilo tendo na madhehebu katika dini hizo hizo zinatofautiana, waalimu wengine wadini wanasema inafaa wengine wanapinga haifai

Hapa naongelea dini? Zote tuambie kulingana na mafundisho ya dini yako je? Inafaa wanandoa kunyonyana sehemu za siri , Kwa mwanaume kumlamba au kumnyonya mwanamke wake? Na mwanamke kumnyonya au kumlamba mwanaume wake sehemu ya siri kulingana na mafundisho na maelekezo ya dini yako hili jambo lipo vipi?

Tunaharibiwa sana na sinema zinazorushwa mitandaoni ndio maana hili jambo hali pati muhafaka

Imekuwa tabia sasa na hili jambo linaonekana kawaida sanaa kwenye jamii zetu

Maelekezo ya imani ya dini yako inasemaje? Na kama una vifungu au hayaa utupe hapa tupate jibu sahihi najua dini hazijaacha kitu katika kuelezea mambo yote ulimwenguni
Nadhani we ni mtu mzima na kwa akili ya kawaida unajua ila unapenda mambo yahusuyo ngono, kitabu cha Mwenyezi Mungu hakiwezi kuwa na maneno hayo.
 
Kitu kitamu sio lazima kiwe na sukari

Hebu tupe mstari wa biblia au quran uliokataza kuingiza kidole au kupapasa🤪
Leo unaingiza kidole tigoni, kesho utaingiza dushe kabisa.

Mistari ya Bible au Quran sina kwa kweli.
 
Kwa nifahamucho, Lengo la Mungu kuweka mwanamke na mwanaume pia na uwepo wa tendo la ndoa ni kuzaliana. Ukisoma Mwanzo 1:28-30 utaona Mungu anawapa Adam na Hawa Agano lenye baraka kwa lengo la kuzaliana na kuijaza nchi. Pia ukisoma Mwanzo 2:21-23 kuna Agano la mwanamke/mwanaume kumuacha Baba yake na mama yake then ataambatana na mmewe/mkewe nawe watakuwa mwili mmoja. Hili pia ni Agano.

Lengo la Mungu kuhusu kujamiiana ni kuzaliana kama wanyama wa asili wafanyavyo ila DHAMBI ndio ilisababisha mwanadamu achukuliwe tendo la ndoa kama starehe (Entertainment). Dhambi hii ndio imesababisha sasa kuanza kwa hayo masuala ya kunyonyana sehemu za siri.

Kimsingi, Mungu amekataza kuingiliana kinyume na utaratibu wa asili (Rumi 1:26-27) na hapa matumizi yasiyo ya asili yanahusishwa Mkund...., mdomo, pua, ulimi, mikono, matiti n.k. na matumizi ya asili ni UKE pekee ambao ukipitia huko, unapata uzao kama wanyama wa asili wafanyavyo.

Ni ukweli usiopingika, kwa mwanadamu wa kawaida kuingia kwenye kunyonyana au matumizi yasiyo ya asili ni lazima kuwepo kuna Roho nyuma yake inayokulazimisha kufanya hivyo kwani ni kinyaa cha hali ya juu kufanya hivyo. Lazima kuwe na Mapepo nyuma yake.

Binafsi kabla sijaamini, nilikuwa nafanya umalaya na nilikuwa napenda sana kunyonywa uume na pumb...... Nakumbuka kuna Dada mmoja alininyonyaga pale Moro wakati nasoma SUA nikataka kumuonga Dunia na ndio aliniingiza huko na nikawa addicted na hata nilipooa Mke wangu akawa ananifanyia hivyo.

Baada ya kuamini, Katika kitu ambacho Mungu aliikataza ni hiko na toka 2010's todate sijawahi fanya hivyo kwani Mungu aliikataa na kwa uwepo wa Roho wake mwema, amenitiisha dhidi ya hiyo tamaa ya mwili. So binafsi, hilo ni chukizo mbele ya Mungu na hivi vyote vimeandikwa na Baba wa Uongo Ibilisi ikiratibiwa vizuri na Mama wa Makahaba na Machukizo Roho ya Yezebeli na hii inawaangusha Yamkini waamini (Ufunuo wa Yohana 17:5)
 
Katika baadhi ya dini zinapinga hilo tendo na madhehebu katika dini hizo hizo zinatofautiana, waalimu wengine wadini wanasema inafaa wengine wanapinga haifai

Hapa naongelea dini? Zote tuambie kulingana na mafundisho ya dini yako je? Inafaa wanandoa kunyonyana sehemu za siri , Kwa mwanaume kumlamba au kumnyonya mwanamke wake? Na mwanamke kumnyonya au kumlamba mwanaume wake sehemu ya siri kulingana na mafundisho na maelekezo ya dini yako hili jambo lipo vipi?

Tunaharibiwa sana na sinema zinazorushwa mitandaoni ndio maana hili jambo hali pati muhafaka

Imekuwa tabia sasa na hili jambo linaonekana kawaida sanaa kwenye jamii zetu

Maelekezo ya imani ya dini yako inasemaje? Na kama una vifungu au hayaa utupe hapa tupate jibu sahihi najua dini hazijaacha kitu katika kuelezea mambo yote ulimwenguni
INAFAA.....kunyonya.
Kinyume na maumbile ndio HAIFAI..
 
"Malazi na yawe safi" kimsingi mambo mengi yanayohusu rohoni

Kwani matumizi ya kawaida ni yapi? Si kujamiiana kwa ajili ya kupata watoto? Halafu mtindo wa kujamiiana kwa binadamu ni mwanamke chali mwanaume juu yake. Uume kuingia mdomoni kwa mwanamke hayo ni ziada ya mwanadamu sina hakika kama ni sawa kwa sababu kadha wa kadha kama vile majimaji kuingia mdomoni wakati sehemu husika ni ukeni. Baadhi ya mitindo mingine inapelekea mashambulizi kama tamaa ya kuingia kinyume na maumbile.
Hapa kaisari na Mungu watengane.Kisha watu wasubirie hukumu kwa mujibu wa makatazo.Vitamu vitafunwe kwa kadri watafunaji watakavyoridhiana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom