Mapenzi ni sanaa na mapenzi hayana kinyaa
Mapenzi ni hisia na mapenzi hayana dini
Mapenzi ni utundu na mapenzi kikiri kakara
Sent using Jamii Forums mobile app
Dini ni project za mwanadamu kumtafuta Mungu sasa inategemea na prorposal ya kila dini na muktadha wakeRuksa?
Dini ni project za mwanadamu kumtafuta Mungu sasa inategemea na prorposal ya kila dini na muktadha wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni za mpito maana hakuna kidumucho mileleSawa chief
Ila jamaa project zao zimekubali sanaa hasa huku Africa
Depends on the purity of that thing and number of users![emoji848]Me I don't think if I can manage to that level.
💯🤝Mapenzi ni sanaa na mapenzi hayana kinyaa
Mapenzi ni hisia na mapenzi hayana dini
Mapenzi ni utundu na mapenzi kikiri kakara
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mapenzi na dini wapi na wapi jamani, Kwenye bibilia nimekutana na neno Adam akamjua Hawa akamzaa Kaini na Habili, sasa alimjuaje hapo jiongeze wewe, kwani Kuna anayekupangia muwapo chumbani? Na Bibilia imekataza uzinzi tu ilahaijaelekeza muwapo ndani na mkeo mtumie staili gani, au mmfanyaje haijasema zaidi tu mtume Paulo anasema msinyimane. Kwahiyo mengine ni maoni ya wachungaji, napadri na mashehe
Hoja imepitaWakati Abel alipomuua Kaini..
Akashindwa cha kufanya kuhusu mwili ...
Mungu akaleta kunguru wawili ..mbele yake ..wakapigana....Hadi mmoja akafa...Yule Kunguru mwingine akachimba shimo na kumfukia Kunguru mwenzie alie muua...
Hapo Abel akajifunza kuhusu mazishi na yeye akamzika ndugu yake ...
Sasa Mungu alipotuletea mbwa wakafanya doggy style mbele yetu?
Na ndege wakalishana mbele yetu?
Na paka na mbwa wakilambana sehemu za Siri ..... umeelewaje?
Note sijasema Mungu kasema tufanye...nimeuliza Tu swali😅
[emoji817][emoji1666]
Nilitaka niseme hili jambo.
Biblia imekataza mume asimwingilie mke wake kinyume na maumbile tu.
Mambo mengine kama kunyonyana Mungu katuachia tujiburudishe ili mradi wote mmekubaliana na hakuna anayemkwaza mwingine
Wakati Abel alipomuua Kaini..
Akashindwa cha kufanya kuhusu mwili ...
Mungu akaleta kunguru wawili ..mbele yake ..wakapigana....Hadi mmoja akafa...Yule Kunguru mwingine akachimba shimo na kumfukia Kunguru mwenzie alie muua...
Hapo Abel akajifunza kuhusu mazishi na yeye akamzika ndugu yake ...
Sasa Mungu alipotuletea mbwa wakafanya doggy style mbele yetu?
Na ndege wakalishana mbele yetu?
Na paka na mbwa wakilambana sehemu za Siri ..... umeelewaje?
Note sijasema Mungu kasema tufanye...nimeuliza Tu swali[emoji28]
Maelekezo y imani ya dini yako inasemaje?
Hapo kwenye utelezi viongozi wa dini zote ndio watakuwa kuni[emoji817][emoji1666]