Je, inafaa kunyonyana kisheria ya dini

Je, inafaa kunyonyana kisheria ya dini

Wakati Abel alipomuua Kaini..
Akashindwa cha kufanya kuhusu mwili ...
Mungu akaleta kunguru wawili ..mbele yake ..wakapigana....Hadi mmoja akafa...Yule Kunguru mwingine akachimba shimo na kumfukia Kunguru mwenzie alie muua...

Hapo Abel akajifunza kuhusu mazishi na yeye akamzika ndugu yake ...

Sasa Mungu alipotuletea mbwa wakafanya doggy style mbele yetu?
Na ndege wakalishana mbele yetu?
Na paka na mbwa wakilambana sehemu za Siri ..... umeelewaje?

Note sijasema Mungu kasema tufanye...nimeuliza Tu swali[emoji28]
Umemaliza mkuu, acha wanandoa wafurahishane,

Sasa huu mtindo wa kuingiliana kinyume na maumbile sijui waliona mfano wapi,

Kuna watu wachafu sana, anachezea kinyesi cha mwenzake, huku anafurahia,

LAANA MBAYA SANA,
 
Hakuna maandiko moja kwa moja ndani Qur-an wala Hadithi yaliyokataza japo pia hakuna dalili yoyote ya kuruhusiwa, Ila kwa makubaliano ya maulamaa wamelibainisha hilo jambo kuwa halifai, japo kuwa wapo wachache ambao wamesapoti.

Na kwa upande wa ulimwengu wa afya, hilo jambo lilisha bainishwa wazi kabisa kuwa ni baya na halitakiw akufanywa linaweza mletea madhara mengi mwanamme na hata mwanamke.
Il kwa mwanamke kumnyonya mwanamme hilo halina shida kiafya.

Asante chief
 
Wakati Abel alipomuua Kaini..
Akashindwa cha kufanya kuhusu mwili ...
Mungu akaleta kunguru wawili ..mbele yake ..wakapigana....Hadi mmoja akafa...Yule Kunguru mwingine akachimba shimo na kumfukia Kunguru mwenzie alie muua...

Hapo Abel akajifunza kuhusu mazishi na yeye akamzika ndugu yake ...

Sasa Mungu alipotuletea mbwa wakafanya doggy style mbele yetu?
Na ndege wakalishana mbele yetu?
Na paka na mbwa wakilambana sehemu za Siri ..... umeelewaje?

Note sijasema Mungu kasema tufanye...nimeuliza Tu swali[emoji28]
Haya ni maneno ya wapi?

Huko mwanzo Mungu alitoa maelekezo maana alikuwa akiongea nao
 
Hakuna maandiko moja kwa moja ndani Qur-an wala Hadithi yaliyokataza japo pia hakuna dalili yoyote ya kuruhusiwa, Ila kwa makubaliano ya maulamaa wamelibainisha hilo jambo kuwa halifai, japo kuwa wapo wachache ambao wamesapoti.

Na kwa upande wa ulimwengu wa afya, hilo jambo lilisha bainishwa wazi kabisa kuwa ni baya na halitakiw akufanywa linaweza mletea madhara mengi mwanamme na hata mwanamke.
Il kwa mwanamke kumnyonya mwanamme hilo halina shida kiafya.
Yote ni matatizo tu, wakati mwingine ni vizuri kufuata amani ya moyo wako kama hausikii hatia yoyote unaweza kuendelea ila amani yako inaweza isiwe kibali cha kwamba inakubalika.
 
Sioni kama inafaa kuweka d*ck kwa mouth ya mwanamke ni uchafu na udhalilishaji....
 
Ukisema bible inakataza kumwingilia Mkeo kinyume na maumbile nakataa, bible imekataza ass fvck, tafsiri ya kumuingilia mtu kinyume na maumbile Hata ukiingiza mdomoni ni kinyume na maumbile, pakuingiza panajulikana,blowjob,licking,sucking,ni kufanya sex kinyume na maumbile, but sio kulawiti
Sawa Bible imekataza anal sex
 
"Malazi na yawe safi" kimsingi mambo mengi yanayohusu rohoni

Kwani matumizi ya kawaida ni yapi? Si kujamiiana kwa ajili ya kupata watoto? Halafu mtindo wa kujamiiana kwa binadamu ni mwanamke chali mwanaume juu yake. Uume kuingia mdomoni kwa mwanamke hayo ni ziada ya mwanadamu sina hakika kama ni sawa kwa sababu kadha wa kadha kama vile majimaji kuingia mdomoni wakati sehemu husika ni ukeni. Baadhi ya mitindo mingine inapelekea mashambulizi kama tamaa ya kuingia kinyume na maumbile.
Kilichokatzawa ni anal sex tu
 
Wakati Abel alipomuua Kaini..
Akashindwa cha kufanya kuhusu mwili ...
Mungu akaleta kunguru wawili ..mbele yake ..wakapigana....Hadi mmoja akafa...Yule Kunguru mwingine akachimba shimo na kumfukia Kunguru mwenzie alie muua...

Hapo Abel akajifunza kuhusu mazishi na yeye akamzika ndugu yake ...

Sasa Mungu alipotuletea mbwa wakafanya doggy style mbele yetu?
Na ndege wakalishana mbele yetu?
Na paka na mbwa wakilambana sehemu za Siri ..... umeelewaje?

Note sijasema Mungu kasema tufanye...nimeuliza Tu swali[emoji28]
Kati ya watu ambao kwa sasa siachi kupita kwenye comments zao humu jf na always wapo positive, hawapanic hawatumi lugha mbaya Bali kauli laini Hata kama ukimkera basi miongoni mwao ni The Boss , I love you lillah akhy!
 
Sasa mapenzi na dini wapi na wapi jamani, Kwenye bibilia nimekutana na neno Adam akamjua Hawa akamzaa Kaini na Habili, sasa alimjuaje hapo jiongeze wewe, kwani Kuna anayekupangia muwapo chumbani? Na Bibilia imekataza uzinzi tu ilahaijaelekeza muwapo ndani na mkeo mtumie staili gani, au mmfanyaje haijasema zaidi tu mtume Paulo anasema msinyimane. Kwahiyo mengine ni maoni ya wachungaji, napadri na mashehe
Wrong.
Imeandikwa usibadilishe matumizi ya asili.
 
Hakuna maandiko moja kwa moja ndani Qur-an wala Hadithi yaliyokataza japo pia hakuna dalili yoyote ya kuruhusiwa, Ila kwa makubaliano ya maulamaa wamelibainisha hilo jambo kuwa halifai, japo kuwa wapo wachache ambao wamesapoti.

Na kwa upande wa ulimwengu wa afya, hilo jambo lilisha bainishwa wazi kabisa kuwa ni baya na halitakiw akufanywa linaweza mletea madhara mengi mwanamme na hata mwanamke.
Il kwa mwanamke kumnyonya mwanamme hilo halina shida kiafya.
Masheikh wakubwa wa Alhus-Sunnah katika uislamu miongoni mwao ni Sheikh Ibn Baaz Ibn Uthaymeen na Albani (Allah awarehemu) wamesema jambo hilo halifai na wametoa sababu mbalimbali..
 
Sasa mapenzi na dini wapi na wapi jamani, Kwenye bibilia nimekutana na neno Adam akamjua Hawa akamzaa Kaini na Habili, sasa alimjuaje hapo jiongeze wewe, kwani Kuna anayekupangia muwapo chumbani? Na Bibilia imekataza uzinzi tu ilahaijaelekeza muwapo ndani na mkeo mtumie staili gani, au mmfanyaje haijasema zaidi tu mtume Paulo anasema msinyimane. Kwahiyo mengine ni maoni ya wachungaji, napadri na mashehe
Dini zinahusika kwenye mapenzi. Mfano kunyonyana tigo au kumuingiza kidole demu wako tigoni wakati unakula mzigo sidhan kama dini inaruhusu.
 
Mbona asali tamu na sio dhambi [emoji1787][emoji1787]
Kitu kitamu sio lazima kiwe na sukari
Dini zinahusika kwenye mapenzi. Mfano kunyonyana tigo au kumuingiza kidole demu wako tigoni wakati unakula mzigo sidhan kama dini inaruhusu.
Hebu tupe mstari wa biblia au quran uliokataza kuingiza kidole au kupapasa🤪
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom