makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,459
- 108,552
Utofauti ni nini mkuu?Kuwaandaa na kunyonyana ni vitu viwili tofauti mkuu
Matumizi tu.
Utofauti ni nini mkuu?Kuwaandaa na kunyonyana ni vitu viwili tofauti mkuu
Nnavyokuheshimu kumbe unanyonywa uchi na de libolo unanyonya[emoji119][emoji119]Tutaendelea kunyonyana hata wakataze. Yaani vitu vyote vitamu viwe dhambi, hapana kwa kweli.
Nitawasikiliza madaktari zaidi kuliko watu wa dini
Heshima yako kwangu haijawahi kunisaidia, we endelea kujiheshimu mwenyewe, usio wajua waache na mambo yao.Nnavyokuheshimu kumbe unanyonywa uchi na de libolo unanyonya[emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Braza Paulo alizingua kwa kwelhuyu paulo ndie aliyeandika hii biblia kaivurugavuruga
Hakuna..Unataka useme kuna baadhi ya vitu dini zimesahau kutoa maelekezo?
Haya kasana.Vingine ni vitamu havina kuzeeka.
Baada ya kuamini, Katika kitu ambacho Mungu aliikataza ni hiko na toka 2010's todate sijawahi fanya hivyo kwani Mungu aliikataa na kwa uwepo wa Roho wake mwema,[emoji419][emoji375]Kwa nifahamucho, Lengo la Mungu kuweka mwanamke na mwanaume pia na uwepo wa tendo la ndoa ni kuzaliana. Ukisoma Mwanzo 1:28-30 utaona Mungu anawapa Adam na Hawa Agano lenye baraka kwa lengo la kuzaliana na kuijaza nchi. Pia ukisoma Mwanzo 2:21-23 kuna Agano la mwanamke/mwanaume kumuacha Baba yake na mama yake then ataambatana na mmewe/mkewe nawe watakuwa mwili mmoja. Hili pia ni Agano.
Lengo la Mungu kuhusu kujamiiana ni kuzaliana kama wanyama wa asili wafanyavyo ila DHAMBI ndio ilisababisha mwanadamu achukuliwe tendo la ndoa kama starehe (Entertainment). Dhambi hii ndio imesababisha sasa kuanza kwa hayo masuala ya kunyonyana sehemu za siri.
Kimsingi, Mungu amekataza kuingiliana kinyume na utaratibu wa asili (Rumi 1:26-27) na hapa matumizi yasiyo ya asili yanahusishwa Mkund...., mdomo, pua, ulimi, mikono, matiti n.k. na matumizi ya asili ni UKE pekee ambao ukipitia huko, unapata uzao kama wanyama wa asili wafanyavyo.
Ni ukweli usiopingika, kwa mwanadamu wa kawaida kuingia kwenye kunyonyana au matumizi yasiyo ya asili ni lazima kuwepo kuna Roho nyuma yake inayokulazimisha kufanya hivyo kwani ni kinyaa cha hali ya juu kufanya hivyo. Lazima kuwe na Mapepo nyuma yake.
Binafsi kabla sijaamini, nilikuwa nafanya umalaya na nilikuwa napenda sana kunyonywa uume na pumb...... Nakumbuka kuna Dada mmoja alininyonyaga pale Moro wakati nasoma SUA nikataka kumuonga Dunia na ndio aliniingiza huko na nikawa addicted na hata nilipooa Mke wangu akawa ananifanyia hivyo.
Baada ya kuamini, Katika kitu ambacho Mungu aliikataza ni hiko na toka 2010's todate sijawahi fanya hivyo kwani Mungu aliikataa na kwa uwepo wa Roho wake mwema, amenitiisha dhidi ya hiyo tamaa ya mwili. So binafsi, hilo ni chukizo mbele ya Mungu na hivi vyote vimeandikwa na Baba wa Uongo Ibilisi ikiratibiwa vizuri na Mama wa Makahaba na Machukizo Roho ya Yezebeli na hii inawaangusha Yamkini waamini (Ufunuo wa Yohana 17:5)
🤔Wakati Abel alipomuua Kaini..
Akashindwa cha kufanya kuhusu mwili ...
Mungu akaleta kunguru wawili ..mbele yake ..wakapigana....Hadi mmoja akafa...Yule Kunguru mwingine akachimba shimo na kumfukia Kunguru mwenzie alie muua...
Hapo Abel akajifunza kuhusu mazishi na yeye akamzika ndugu yake ...
Sasa Mungu alipotuletea mbwa wakafanya doggy style mbele yetu?
Na ndege wakalishana mbele yetu?
Na paka na mbwa wakilambana sehemu za Siri ..... umeelewaje?
Note sijasema Mungu kasema tufanye...nimeuliza Tu swali😅
Hata nkiacha ntakufaga.Haya kasana.
Au mizimuism?Dini ziko nyingi, dini Gani?
Islam, Christianity, Buddhism, confusianism, Hinduism, Judaism
???
Ndivyo ilivyo hata Pornography inapigwa marufuku hadharani lakini ndio inaongoza kwa kutazamwa. Imagine Kuna Ustadh wa heshima pale BAKWATA Kila mara ukimchungulia unamkuta yupo JF kwenye uzi wa Riki Boy. 😂😂😂Tulivo binadamu kusema ni kibaya kwakitu tunqchopenda hatutaki tunazunguka wee😀😀😀
😂😂😂Ndivyo ilivyo hata Pornography inapigwa marufuku hadharani lakini ndio inaongoza kwa kutazamwa. Imagine Kuna Ustadh wa heshima pale BAKWATA Kila mara ukimchungulia unamkuta yupo JF kwenye uzi wa Riki Boy. 😂😂😂
Sasa subiri dini yako iseme wenzako wananyonya ukijastuka wamebeba hadi Wife wako. Sasa goli lenyewe moja halafu dakika tatu chali si bora uzuge zuge huko gari ipate moto ukitia gia na yeye kafika.Katika baadhi ya dini zinapinga hilo tendo na madhehebu katika dini hizo hizo zinatofautiana, waalimu wengine wadini wanasema inafaa wengine wanapinga haifai
Hapa naongelea dini? Zote tuambie kulingana na mafundisho ya dini yako je? Inafaa wanandoa kunyonyana sehemu za siri , Kwa mwanaume kumlamba au kumnyonya mwanamke wake? Na mwanamke kumnyonya au kumlamba mwanaume wake sehemu ya siri kulingana na mafundisho na maelekezo ya dini yako hili jambo lipo vipi?
Tunaharibiwa sana na sinema zinazorushwa mitandaoni ndio maana hili jambo hali pati muhafaka
Imekuwa tabia sasa na hili jambo linaonekana kawaida sanaa kwenye jamii zetu
Maelekezo ya imani ya dini yako inasemaje? Na kama una vifungu au hayaa utupe hapa tupate jibu sahihi najua dini hazijaacha kitu katika kuelezea mambo yote ulimwenguni
Sasa subiri dini yako iseme wenzako wananyonya ukijastuka wamebeba hadi Wife wako. Sasa goli lenyewe moja halafu dakika tatu chali si bora uzuge zuge huko gari ipate moto ukitia gia na yeye kafika.
Napinga kwamba umeuliza hili swali. Nilidhani unaongea kuhusu capitalistic exploitation.
Katika dini,katika Srimad Bhagavatam,dini ya Wahindu,kuna katazo la hizo novel forms of sex.
What is sexual misconduct? This is understood by a spiritual practitioner who observes phenomena. Such a person will see that sexual misconduct occurs when one penetrates one’s own wife, or another man’s wife, through an opening other than the vagina, or when one rejoices in others performing such an act, or when one makes others engage in it even while refraining from doing so oneself.
Hiyo nukuu ya Buddha. Ingawa sina hakika kama inaelezea maoni precisely.
Mshana Jr Kaka inamaana wewe kwakua huna kinyaa umeshawahi kutia ulimi wako ulioko mdomoni kwako kulamba Ile sehemu.?Mapenzi ni sanaa na mapenzi hayana kinyaa
Mapenzi ni hisia na mapenzi hayana dini
Mapenzi ni utundu na mapenzi kikiri kakara
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hizo Chips yai aaahaaàWewe sigongi bao moja mimi tafadhali