Je, inafaa kunyonyana kisheria ya dini

Je, inafaa kunyonyana kisheria ya dini

Soma hiyooo
IMG-20230709-WA0005.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Katika baadhi ya dini zinapinga hilo tendo na madhehebu katika dini hizo hizo zinatofautiana, waalimu wengine wadini wanasema inafaa wengine wanapinga haifai

Hapa naongelea dini? Zote tuambie kulingana na mafundisho ya dini yako je? Inafaa wanandoa kunyonyana sehemu za siri , Kwa mwanaume kumlamba au kumnuonya mwanamke wake? Na mwanamke kumnyonya au kumlamba mwanaume wako sehemu ya siri kulingana na mafundisho na maelekezo ya dini yako hili jambo lipo vipi?

Tunaharibiwa sana na sinema zinazorushwa mitandaoni ndio maana hili jambo hali pati muhafaka

Imekuwa tabia sasa na hili jambo linaonekana kawaida sanaa kwenye jamii zetu

Maelekezo y imani ya dini yako inasemaje? Na kama una vifungu au hayaa utupe hapa tupate jibu sahihi najua dini hazijaacha kitu katika kuelezea mambo yote ulimwenguni
kama tuu ngono kwa njia ya mdomo haishairiwi kitaalamu sembuse kwemye dini hib ni dini gani inayoruhusu ngono ya mdomo khaaa
 
Nimecheka kwa nguvu, mbona kama inamake sense... Lkn hayo maandiko ya Mungu yanatuasa tusile vitu vya kuhatarisha afya zetu... Nawaza kunyonya hizo vitu zile [emoji3083][emoji3083] bacteria

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Neisseria gonorrhea
Treponema pallidum
UTI (E.coli)
Bacteria vaginosis
Genital warts
Human papilloma virus (HPV)
Trichomoniasis
Candida ablicans
Yeast
Hapo huchomoki lazima ulambe mojawapo hapo piga ua tena umeze tumbon kabsaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Katika baadhi ya dini zinapinga hilo tendo na madhehebu katika dini hizo hizo zinatofautiana, waalimu wengine wadini wanasema inafaa wengine wanapinga haifai

Hapa naongelea dini? Zote tuambie kulingana na mafundisho ya dini yako je? Inafaa wanandoa kunyonyana sehemu za siri , Kwa mwanaume kumlamba au kumnuonya mwanamke wake? Na mwanamke kumnyonya au kumlamba mwanaume wako sehemu ya siri kulingana na mafundisho na maelekezo ya dini yako hili jambo lipo vipi?

Tunaharibiwa sana na sinema zinazorushwa mitandaoni ndio maana hili jambo hali pati muhafaka

Imekuwa tabia sasa na hili jambo linaonekana kawaida sanaa kwenye jamii zetu

Maelekezo y imani ya dini yako inasemaje? Na kama una vifungu au hayaa utupe hapa tupate jibu sahihi najua dini hazijaacha kitu katika kuelezea mambo yote ulimwenguni
Sasa wew leta dini kwenye sita kwa sita wajuba wazee wa uvinza tutakusaidia tu ....... unakoelekea utasema romance nayo ni dhambi
 
Wakati Abel alipomuua Kaini..
Akashindwa cha kufanya kuhusu mwili ...
Mungu akaleta kunguru wawili ..mbele yake ..wakapigana....Hadi mmoja akafa...Yule Kunguru mwingine akachimba shimo na kumfukia Kunguru mwenzie alie muua...

Hapo Abel akajifunza kuhusu mazishi na yeye akamzika ndugu yake ...

Sasa Mungu alipotuletea mbwa wakafanya doggy style mbele yetu?
Na ndege wakalishana mbele yetu?
Na paka na mbwa wakilambana sehemu za Siri ..... umeelewaje?

Note sijasema Mungu kasema tufanye...nimeuliza Tu swali[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakati Abel alipomuua Kaini..
Akashindwa cha kufanya kuhusu mwili ...
Mungu akaleta kunguru wawili ..mbele yake ..wakapigana....Hadi mmoja akafa...Yule Kunguru mwingine akachimba shimo na kumfukia Kunguru mwenzie alie muua...

Hapo Abel akajifunza kuhusu mazishi na yeye akamzika ndugu yake ...

Sasa Mungu alipotuletea mbwa wakafanya doggy style mbele yetu?
Na ndege wakalishana mbele yetu?
Na paka na mbwa wakilambana sehemu za Siri ..... umeelewaje?

Note sijasema Mungu kasema tufanye...nimeuliza Tu swali😅
😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom