Masheikh wakubwa wa Alhus-Sunnah katika uislamu miongoni mwao ni Sheikh Ibn Baaz Ibn Uthaymeen na Albani (Allah awarehemu) wamesema jambo hilo halifai na wametoa sababu mbalimbali..
nahuo ndio uhalisia, msimamo wa Ahli Sunnah ni kuwa hilo jambo halifai. sasa sijui wengine wanaweza tumia uchochoro wa mashia labda kujihalalishia.