Je, inafaa kunyonyana kisheria ya dini

Je, inafaa kunyonyana kisheria ya dini

Bacteria ni wengi sanaa sehemu za siri na side effect zipo wengine wanapata madhara mara tu anapofanya hiyo michezo unakuta mtu anababuka mdomo nk
Nimesoma juu nikaona Hadi Mungu anasingiziwa na maandiko yako wazi.
Angaalia vitu hvy vinne alafu tumia tu akili ya kawaida kuona Kama watu hawabadioishi sheria za asili na kwenda kinyume.
1.Uke
2.Mdomo.
3.Kiganja.
4.Uume.
Wanapinga nyeto ila kunyonyana kwao sio nyeto.
 
Pengine tumemzidi ujanja aliyetuumba, hakufikiria wala kuwaza kitu kama hicho kinawezekana kutokea!
Nafikiri mpango wake ni kuwa, kila kiungo, kina kazi yake. Uume ni kwa uke, mikono inaweza kupapasa, mdomo kwa mdomo au nyonyo, hayo mengine sidhani kama aliyetuumba alipanga yawe hivyo.
Kwenye biblia hakuna kilichoachwa futilia vizuri
 
Wengine wapo wanaona inafaa sio Mashia lakini ,hoja yao ni kwamba hawawezi kusema haramu kwa sababu hakuna katazo katika Qu'ran wala Sunnah bali wao wanaweka katika kitu cha Makuruh .

Sio mambo yote yanapatiwa fatwa kutoka kwenye Qur-an na Sunna sababu kuna mambo mengine haya kue exist kipindi cha mtume au mazingira ya kimaisha yametafautiana sana. na ndio hapo fatwa za maulamaa zinapohitajika.
Na kwa anaesema kuwa ili kiwe haramu lazima apate katazo kutoka kwenye Qur-an na Sunna huyo mtu bila ya shaka kuna sehemu anakwama kiakili. DUnia inatembea kila siku kuna mambo mapya huibuka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom