Je, inafaa kunyonyana kisheria ya dini

Je, inafaa kunyonyana kisheria ya dini

Katika baadhi ya dini zinapinga hilo tendo na madhehebu katika dini hizo hizo zinatofautiana, waalimu wengine wadini wanasema inafaa wengine wanapinga haifai

Hapa naongelea dini? Zote tuambie kulingana na mafundisho ya dini yako je? Inafaa wanandoa kunyonyana sehemu za siri , Kwa mwanaume kumlamba au kumnyonya mwanamke wake? Na mwanamke kumnyonya au kumlamba mwanaume wake sehemu ya siri kulingana na mafundisho na maelekezo ya dini yako hili jambo lipo vipi?

Tunaharibiwa sana na sinema zinazorushwa mitandaoni ndio maana hili jambo hali pati muhafaka

Imekuwa tabia sasa na hili jambo linaonekana kawaida sanaa kwenye jamii zetu

Maelekezo ya imani ya dini yako inasemaje? Na kama una vifungu au hayaa utupe hapa tupate jibu sahihi najua dini hazijaacha kitu katika kuelezea mambo yote ulimwenguni
Dini ziko nyingi, dini Gani?

Islam, Christianity, Buddhism, confusianism, Hinduism, Judaism

???
 
Katika baadhi ya dini zinapinga hilo tendo na madhehebu katika dini hizo hizo zinatofautiana, waalimu wengine wadini wanasema inafaa wengine wanapinga haifai

Hapa naongelea dini? Zote tuambie kulingana na mafundisho ya dini yako je? Inafaa wanandoa kunyonyana sehemu za siri , Kwa mwanaume kumlamba au kumnyonya mwanamke wake? Na mwanamke kumnyonya au kumlamba mwanaume wake sehemu ya siri kulingana na mafundisho na maelekezo ya dini yako hili jambo lipo vipi?

Tunaharibiwa sana na sinema zinazorushwa mitandaoni ndio maana hili jambo hali pati muhafaka

Imekuwa tabia sasa na hili jambo linaonekana kawaida sanaa kwenye jamii zetu

Maelekezo ya imani ya dini yako inasemaje? Na kama una vifungu au hayaa utupe hapa tupate jibu sahihi najua dini hazijaacha kitu katika kuelezea mambo yote ulimwenguni
Kwangu ni haram na itabaki kuwa haram
labda kama mkojo usingekuwa najsi basi ningejaribu lakini panapotoka madhii na wadii ndipo hapo hapo panapotoka mkojo na manii...

Na Allah Anajua zaidi
 
Wakati Abel alipomuua Kaini..
Akashindwa cha kufanya kuhusu mwili ...
Mungu akaleta kunguru wawili ..mbele yake ..wakapigana....Hadi mmoja akafa...Yule Kunguru mwingine akachimba shimo na kumfukia Kunguru mwenzie alie muua...

Hapo Abel akajifunza kuhusu mazishi na yeye akamzika ndugu yake ...

Sasa Mungu alipotuletea mbwa wakafanya doggy style mbele yetu?
Na ndege wakalishana mbele yetu?
Na paka na mbwa wakilambana sehemu za Siri ..... umeelewaje?

Note sijasema Mungu kasema tufanye...nimeuliza Tu swali[emoji28]
Kaaahhh
 
Kwangu ni haram na itabaki kuwa haram
labda kama mkojo usingekuwa najsi basi ningejaribu lakini panapotoka madhii na wadii ndipo hapo hapo panapotoka mkojo na manii...

Na Allah Anajua zaidi

Na ndio njia ambayo mtoto anatokea mpaka kufika duniani
 
Kunyonya matiti ni tofauti na kutumia uume kwenye matiti kama mbadala wa uke mkuu. Huoni kama unafanya kinyume na matumizi ya asili? Au wewe unaonaje?

Inawezekana tunakosea vingi kwenye sita Kwa sita
 
Sasa mapenzi na dini wapi na wapi jamani, Kwenye bibilia nimekutana na neno Adam akamjua Hawa akamzaa Kaini na Habili, sasa alimjuaje hapo jiongeze wewe, kwani Kuna anayekupangia muwapo chumbani? Na Bibilia imekataza uzinzi tu ilahaijaelekeza muwapo ndani na mkeo mtumie staili gani, au mmfanyaje haijasema zaidi tu mtume Paulo anasema msinyimane. Kwahiyo mengine ni maoni ya wachungaji, napadri na mashehe
Ndoa na iheshimiwe na malazi yawe safi ... (Waebrania 13:4)
 
Sasa mapenzi na dini wapi na wapi jamani, Kwenye bibilia nimekutana na neno Adam akamjua Hawa akamzaa Kaini na Habili, sasa alimjuaje hapo jiongeze wewe, kwani Kuna anayekupangia muwapo chumbani? Na Bibilia imekataza uzinzi tu ilahaijaelekeza muwapo ndani na mkeo mtumie staili gani, au mmfanyaje haijasema zaidi tu mtume Paulo anasema msinyimane. Kwahiyo mengine ni maoni ya wachungaji, napadri na mashehe

huyu paulo ndie aliyeandika hii biblia kaivurugavuruga
 
IMG_1140.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom