Je, inafaa kunyonyana kisheria ya dini

Je, inafaa kunyonyana kisheria ya dini

Warumi 1:26-27​

Neno: Bibilia Takatifu​

26 Kwa hiyo, Mungu aliwaachia wafuate tamaa zao za aibu. Hata wanawake wao waliacha matumizi ya asili ya maumbile yao wakatumia miili yao isivyokusudiwa.

27 Hali kadhalika wanaume waliacha uhusiano wa asili kati ya waume na wake wakawakiana tamaa wao kwa wao. Wanaume walifanyiana mambo ya aibu, nao waka pata katika miili yao adhabu waliyostahili kama matokeo ya uovu wao.

Kula kwa mpalange Biblia inashutumu sana hapo mstari wa 26 inawataja wanawake waliokuwa wanafirwa, Mungu alichukia sana. Kunyonyana hakuna shida

Navifata hivi vifungu nikapate somo vizur
 
Na hizo za kulambana ndio wanazipenda sanaa miaka hii hakuna mtu atakayesema ni haitakiwi kila mtu atasema michezo iendelee

Na masiku hayaa hali ni mbayaa sanaa wengi wanafanya tu ila hawapendi inakuta mtu wako anakwambia kama haujanifanyia hivi mimi na wewe basi

Na unakuta yeye ndio sponsor so wengi wanafanya tu ili mambo yao yaende wasipofanya sponsorship inatembea Na akitoka akipata anayemfanyia hivyo anamtia pesa

So wengi wanafanya tu yaani Kwa kutaka msaada tu kutoka kwa mtu wake lakini wengi hawapendi
 
Katika baadhi ya dini zinapinga hilo tendo na madhehebu katika dini hizo hizo zinatofautiana, waalimu wengine wadini wanasema inafaa wengine wanapinga haifai

Hapa naongelea dini? Zote tuambie kulingana na mafundisho ya dini yako je? Inafaa wanandoa kunyonyana sehemu za siri , Kwa mwanaume kumlamba au kumnuonya mwanamke wake? Na mwanamke kumnyonya au kumlamba mwanaume wako sehemu ya siri kulingana na mafundisho na maelekezo ya dini yako hili jambo lipo vipi?

Tunaharibiwa sana na sinema zinazorushwa mitandaoni ndio maana hili jambo hali pati muhafaka

Imekuwa tabia sasa na hili jambo linaonekana kawaida sanaa kwenye jamii zetu

Maelekezo y imani ya dini yako inasemaje? Na kama una vifungu au hayaa utupe hapa tupate jibu sahihi najua dini hazijaacha kitu katika kuelezea mambo yote ulimwenguni
... ziendeeni konde zenu mpendavyo! Unataka nini tena?
 
kunyonya sehemu za mwanamke ukiondoa matiti, sidhani kama ni salama kiafya.

Kunyonya K sidhani kama iko poa kiafya, japo upande mwingine mwanamke kunyonya utupu wa mwanaume sio kama kuna complication kama mwanaume amejisafisha vizuri.
 
Wakati Abel alipomuua Kaini..
Akashindwa cha kufanya kuhusu mwili ...
Mungu akaleta kunguru wawili ..mbele yake ..wakapigana....Hadi mmoja akafa...Yule Kunguru mwingine akachimba shimo na kumfukia Kunguru mwenzie alie muua...

Hapo Abel akajifunza kuhusu mazishi na yeye akamzika ndugu yake ...


Sasa Mungu alipotuletea mbwa wakafanya doggy style mbele yetu?
Na ndege wakalishana mbele yetu?
Na paka na mbwa wakilambana sehemu za Siri ..... umeelewaje?

Note sijasema Mungu kasema tufanye...nimeuliza Tu swali
Nimecheka kwa nguvu, mbona kama inamake sense... Lkn hayo maandiko ya Mungu yanatuasa tusile vitu vya kuhatarisha afya zetu... Nawaza kunyonya hizo vitu zile bacteria

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom