Je, inafaa kunyonyana kisheria ya dini

Je, inafaa kunyonyana kisheria ya dini

Wakati Abel alipomuua Kaini..
Akashindwa cha kufanya kuhusu mwili ...
Mungu akaleta kunguru wawili ..mbele yake ..wakapigana....Hadi mmoja akafa...Yule Kunguru mwingine akachimba shimo na kumfukia Kunguru mwenzie alie muua...

Hapo Abel akajifunza kuhusu mazishi na yeye akamzika ndugu yake ...

Sasa Mungu alipotuletea mbwa wakafanya doggy style mbele yetu?
Na ndege wakalishana mbele yetu?
Na paka na mbwa wakilambana sehemu za Siri ..... umeelewaje?

Note sijasema Mungu kasema tufanye...nimeuliza Tu swali😅
Hii story tunaipata wapi ? tupe uthibitisho.
 
Warumi 1:26-27​

Neno: Bibilia Takatifu​

26 Kwa hiyo, Mungu aliwaachia wafuate tamaa zao za aibu. Hata wanawake wao waliacha matumizi ya asili ya maumbile yao wakatumia miili yao isivyokusudiwa.

27 Hali kadhalika wanaume waliacha uhusiano wa asili kati ya waume na wake wakawakiana tamaa wao kwa wao. Wanaume walifanyiana mambo ya aibu, nao waka pata katika miili yao adhabu waliyostahili kama matokeo ya uovu wao.

Kula kwa mpalange Biblia inashutumu sana hapo mstari wa 26 inawataja wanawake waliokuwa wanafirwa, Mungu alichukia sana. Kunyonyana hakuna shida

wapi pameruhusiwa huko kunyonya?
 
Nilishawahi kusikia huo mjadala mpaka leo sijapata hitimisho kamili ,nimekuta ukinzani kila pande inatetea msimamo wake .

Ila naona kama haifai vile kwani asilimia ya kuyaepuka madhara ya kiafya ni madogo mno kutokana na uchambuzi wa madaktari.

Ngoja tuone wajuzi humu watakuja na hitimisho lipi .....

Updates : Ni haramu kutokana na kauli za wanazuoni wakubwa wa Alhus-Sunnah katika uislamu miongoni mwao ni Sheikh Ibn Baaz,Ibn Uthaymeen na Albani (Allah awarehemu)
 
Nilishawahi kusikia huo mjadala mpaka leo sijapata hitimisho kamili ,nimekuta ukinzani kila pande inatetea msimamo wake .

Ila naona kama haifai vile kwani asilimia ya kuyaepuka madhara ya kiafya ni madogo mno kutokana na uchambuzi wa madaktari.

Ngoja tuone wajuzi humu watakuja na hitimisho lipi .....

Hata hapa naona kuna pande mbili tofauti wapo wanaosema inafaa wapo wanaokataa kabsa so nafikiri kila mtu afate njia anayoiamini tu
 
Sasa mapenzi na dini wapi na wapi jamani, Kwenye bibilia nimekutana na neno Adam akamjua Hawa akamzaa Kaini na Habili, sasa alimjuaje hapo jiongeze wewe, kwani Kuna anayekupangia muwapo chumbani? Na Bibilia imekataza uzinzi tu ilahaijaelekeza muwapo ndani na mkeo mtumie staili gani, au mmfanyaje haijasema zaidi tu mtume Paulo anasema msinyimane. Kwahiyo mengine ni maoni ya wachungaji, napadri na mashehe
Aiseeee
 
💯🤝

Nilitaka niseme hili jambo.

Biblia imekataza mume asimwingilie mke wake kinyume na maumbile tu.

Mambo mengine kama kunyonyana Mungu katuachia tujiburudishe ili mradi wote mmekubaliana na hakuna anayemkwaza mwingine
Ukisema bible inakataza kumwingilia Mkeo kinyume na maumbile nakataa, bible imekataza ass fvck, tafsiri ya kumuingilia mtu kinyume na maumbile Hata ukiingiza mdomoni ni kinyume na maumbile, pakuingiza panajulikana,blowjob,licking,sucking,ni kufanya sex kinyume na maumbile, but sio kulawiti
 
Wacha kupotosha wewe.
 
Wakati Abel alipomuua Kaini..
Akashindwa cha kufanya kuhusu mwili ...
Mungu akaleta kunguru wawili ..mbele yake ..wakapigana....Hadi mmoja akafa...Yule Kunguru mwingine akachimba shimo na kumfukia Kunguru mwenzie alie muua...

Hapo Abel akajifunza kuhusu mazishi na yeye akamzika ndugu yake ...

Sasa Mungu alipotuletea mbwa wakafanya doggy style mbele yetu?
Na ndege wakalishana mbele yetu?
Na paka na mbwa wakilambana sehemu za Siri ..... umeelewaje?

Note sijasema Mungu kasema tufanye...nimeuliza Tu swali[emoji28]

Bossing it…. Mzee umetisha
 
Hakuna maandiko moja kwa moja ndani Qur-an wala Hadithi yaliyokataza japo pia hakuna dalili yoyote ya kuruhusiwa, Ila kwa makubaliano ya maulamaa wamelibainisha hilo jambo kuwa halifai, japo kuwa wapo wachache ambao wamesapoti.

Na kwa upande wa ulimwengu wa afya, hilo jambo lilisha bainishwa wazi kabisa kuwa ni baya na halitakiw akufanywa linaweza mletea madhara mengi mwanamme na hata mwanamke.
Il kwa mwanamke kumnyonya mwanamme hilo halina shida kiafya.
 
Warumi 1:26-27​

Neno: Bibilia Takatifu​

26 Kwa hiyo, Mungu aliwaachia wafuate tamaa zao za aibu. Hata wanawake wao waliacha matumizi ya asili ya maumbile yao wakatumia miili yao isivyokusudiwa.

27 Hali kadhalika wanaume waliacha uhusiano wa asili kati ya waume na wake wakawakiana tamaa wao kwa wao. Wanaume walifanyiana mambo ya aibu, nao waka pata katika miili yao adhabu waliyostahili kama matokeo ya uovu wao.

Kula kwa mpalange Biblia inashutumu sana hapo mstari wa 26 inawataja wanawake waliokuwa wanafirwa, Mungu alichukia sana. Kunyonyana hakuna shida
"Malazi na yawe safi" kimsingi mambo mengi yanayohusu rohoni

Warumi 1:26-27​

Neno: Bibilia Takatifu​

26 Kwa hiyo, Mungu aliwaachia wafuate tamaa zao za aibu. Hata wanawake wao waliacha matumizi ya asili ya maumbile yao wakatumia miili yao isivyokusudiwa.

27 Hali kadhalika wanaume waliacha uhusiano wa asili kati ya waume na wake wakawakiana tamaa wao kwa wao. Wanaume walifanyiana mambo ya aibu, nao waka pata katika miili yao adhabu waliyostahili kama matokeo ya uovu wao.

Kula kwa mpalange Biblia inashutumu sana hapo mstari wa 26 inawataja wanawake waliokuwa wanafirwa, Mungu alichukia sana. Kunyonyana hakuna shida
Kwani matumizi ya kawaida ni yapi? Si kujamiiana kwa ajili ya kupata watoto? Halafu mtindo wa kujamiiana kwa binadamu ni mwanamke chali mwanaume juu yake. Uume kuingia mdomoni kwa mwanamke hayo ni ziada ya mwanadamu sina hakika kama ni sawa kwa sababu kadha wa kadha kama vile majimaji kuingia mdomoni wakati sehemu husika ni ukeni. Baadhi ya mitindo mingine inapelekea mashambulizi kama tamaa ya kuingia kinyume na maumbile.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom