Je, ile 'confidence' ya Kuongea Kiingereza 'fluently' bila kuandikiwa au kusoma akina Nyerere na Mkapa waliitoa wapi nami nikajifunze?

Kwa kukusaidia nenda Youtube na Umsikilize Nyerere na pia umsikilize Mahiga, Hata Mkapa was better in English than Nyerere.

Mahaba yenu kwa nyerere kama baba wa taifa yasiwapofue mkadhani kuwa yeye alikuwa pia ni baba wa English Tz.
 
Natamani sana nami GENTAMYCINE nijue Kuongea Kiingereza kizuri kama cha akina Nyerere na Mkapa na siyo nije nikijue vizuri baada ya Kustaafu Majukumu yangu au niwe nakiongea kwa kutegemea Kuandikiwa kisha kila nikiwa nahutubia niwe 'nazuga' kwa Kukiongea kwa Sekunde Tano, nakunywa Maji na nakohoa ili kuwaonyesha wanaonisikiliza kuwa nakijua kisha narejea tena Kusoma huku nikiwa natetemeka na kila mara.

ANGALIZO
Kujua Kiingereza si lazima kwani Kiswahili, Kizanaki na Kinyarwanda kinatosha na wala kujua Kiingereza si kipimo cha ama Mtu kuwa Msomi (Intellectual) au Mwerevu (Brainiac) katika Jamii ila katka Uga wa Kimataifa na kwa Heshima ya Lugha ya Kiingereza tokea enzi na enzi kutokujua Kiingereza (Kiswahili cha duniani kama alivyowahi kusema Mwalimu Nyerere) wakati hata 'Mitaala' yetu ya Elimu ni ya Kiingereza kunaweza Kutafsiriwa ni Uwendawazimu na Unafiki usiovumilika.
wale walisoma shule za mission kuanzia la kwanza mpaka chuo kikuu
 
Daah nimecheka kinoma, sawa uwezo wa mtu haupimwi kwa kuongea kingereza lakinii huyu si professor jamani huko kote alikopita lugha si ni kingereza.
Hapana jama hii si sawa mh. Waziri ajifunze kingereza sasa kwa namna hiyo ataongea vipi na wahisani??
Yani kama shishi bebi aisee
 
Sababu moja kubwa ya Waganda kumpenda Idd Amin hata kama alikua katili, hakubadilisha kabisa mfumo wa Elimu ulioachwa na Wakoloni. Mpaka sasa hivi Uganda ni moja ya makoloni ya Uingereza yanayoongea Kiingereza kwa ufasaha mkubwa.
Hakika kabisaaah.
 
Kuna stori zilizowahi kuvuma kuwa alipokuwa Chancellor wa UDSM wakati anatunuku digrii kwenye mahafali fulani kati ya mwaka 1986 na 1989, alipewa kadi imeandikwa "kwa mamlaka niliyopewa nawatunuku wale wote miliotajwa shahada ya B.Sc(Eng)." Mheshimiwa akaisoma vizuri tu kuwa "kwa mamlaka niliyopewa nawatunuku wale wote miliotajwa shahada ya Bachelor of Science in English"
 
Kwa kukusaidia nenda Youtube na Umsikilize Nyerere na pia umsikilize Mahiga, Hata Mkapa was better in English than Nyerere.

Mahaba yenu kwa nyerere kama baba wa taifa yasiwapofue mkadhani kuwa yeye alikuwa pia ni baba wa English Tz.
Nakubaliana nawe.
 
Mkapa ana bachelor ya English Kama sikosei

Mchonga yule Ni genius kwa level zake alikuwa ticha kasoma enzi za mitaala ya kikoloni .ALikuwa msomaji na debator mzuri.

Wengine walikuwa wachimbachumvi tu wazee wa kukariri.

Rudi SAUT ukapigwe brash lugha
 
Mahiga yupo fluent na grammatic licha ya kuongea a slight accent ya wazungu lakini hiyo ni added merit.

Nyerere hivyo vyote hana.

That's my take.
Wazungu!!!!?
Umewahi wasikia Wataliano, waspenishi au wafaransa wakiongea?
Au unadhani Wazungu wote wa accent moja?
Ukisikiliza Spanish wanavyoongea unaweza ukatofautisha accent yao na lugha ya Kinyakyusa?
Hebu Sky Eclat Bujibuji , masopakyindi mje mtusaidie kidogo
 
kuna wakata fulani ktk pitapita zangu ktk maofisi nili kuta baadhi ya watumishi wakimzodoa mwenzao eti hajui kuandika kizungu!!! nilishangaa sana, nilijihisi kutapika!
yaaani wewe mswahili wa kitanzania ambaye asili yako ni lugha ya Kiswahili, sasa unaanzanje kumuona mwenzio ambaye kiingereza sio kivilee uanza kumkashifu?!
tulifika pabaya sana, isinge kuwa Hayati JPM kukipa msukumo kiswahili sidhani hata Mahakama zetu kama zinge kitumia, si dhani hata kwenye bunge la Afrika mashariki n.k
Tuipe kipau mbele lugha yetu, lkn sio vibaya pia tukajifunza kiingereza.
 
Wazungu!!!!?
Umewahi wasikia Wataliano, waspenishi au wafaransa wakiongea?
Au unadhani Wazungu wote wa accent moja?
Ukisikiliza Spanish wanavyoongea unaweza ukatofautisha accent yao na lugha ya Kinyakyusa?
Hebu Sky Eclat Bujibuji , masopakyindi mje mtusaidie kidogo

Hiyo slight accent ya kizungu sio muhimu sana na ndio maana nikasema hiyo ni "added merit." au huoni nilivyoandika??
 
Natamani sana nami GENTAMYCINE nijue Kuongea Kiingereza kizuri kama cha akina Nyerere na Mkapa na siyo nije nikijue vizuri baada ya Kustaafu Majukumu yangu au niwe nakiongea kwa kutegemea Kuandikiwa kisha kila nikiwa nahutubia niwe 'nazuga' kwa Kukiongea kwa Sekunde Tano, nakunywa Maji na nakohoa ili kuwaonyesha wanaonisikiliza kuwa nakijua kisha narejea tena Kusoma huku nikiwa natetemeka na kila mara.

ANGALIZO
Kujua Kiingereza si lazima kwani Kiswahili, Kizanaki na Kinyarwanda kinatosha na wala kujua Kiingereza si kipimo cha ama Mtu kuwa Msomi (Intellectual) au Mwerevu (Brainiac) katika Jamii ila katka Uga wa Kimataifa na kwa Heshima ya Lugha ya Kiingereza tokea enzi na enzi kutokujua Kiingereza (Kiswahili cha duniani kama alivyowahi kusema Mwalimu Nyerere) wakati hata 'Mitaala' yetu ya Elimu ni ya Kiingereza kunaweza Kutafsiriwa ni Uwendawazimu na Unafiki usiovumilika.
Kati ya makosa Julius aliyouyanya Ni kufanya Kiswahili kiwe ni lugha ya kufundishia.Yeye katika kusoma kwake hakukutana na lugha hii tangu preparatory school mpaka university level
 
Wazungu!!!!?
Umewahi wasikia Wataliano, waspenishi au wafaransa wakiongea?
Au unadhani Wazungu wote wa accent moja?
Ukisikiliza Spanish wanavyoongea unaweza ukatofautisha accent yao na lugha ya Kinyakyusa?
Hebu Sky Eclat Bujibuji , masopakyindi mje mtusaidie kidogo
Ulaya yote English ni business language ninadhani pamoja na kuwa Ujerumani wanauchumi mzuri lakini Uingereza kutawala 3/4 hasa Marekani imesaidia kuifanya lugha yao kuwa na nguvu.

Spain, France, Italy, Portugal ect kusoma English kama lugha ya pili ni lazima kwa watoto wote.
 
Huu wote ni kuonyesha ujinga tu, (hapana, neno sahihi hapa ni upumbavu), unapoandika kwamba tunamwabudu sana Nyerere, umeona wapi tukimwabudu kama siyo mwendelezo wa kuonyesha ujuha wako.
Sasa hata neno "kuabudu" unashindwa kujuwa maana yake?

Kwa nini sasa utoke kwenye kuandika uwezo wake wa kujuwa kiingereza na uishie kwenye 'kuabudu'; kwa hiyo wewe hapo unamwabudu Mahiga kwa kusifu alivyojuwa lugha hiyo?

All in all, you have proved beyond doubt that your reasoning ability is abnormal, and that is just stating it mildly.

Yours are mere ravings of a madman whose foul mouth stinks of insults and expletives like smells exiting from a swine ass hole.

I can't pursue a mad man who stole my clothes while I was bathing .

Look, another meaning of "abudu" you poor mswahili.
Screenshot_20210716-135502.png
 
Juzi kulikuwa na kumbukumbu ya hayati Mkapa wazungumzaji waliotangulia waliongea kizungu ila Cha kushangaza waheshimiwa Marais wa jamhuri na mapinduzi waliwasilisha hotuba zao kwa lugha ya kiswahili nilibaki na mshangao sababu zilizowapelekea Kufanya hivyo kwani toka mwanzo lugha iliyotumika ilikuwa kiingereza
 
Yours are mere ravings of a madman whose foul mouth stinks of insults and expletives like smells exiting from a swine ass hole.

I can't pursue a mad man who stole my clothes while I was bathing .
How is this any different from the previous rantings you have used to describe your own illusional mind?
 
Back
Top Bottom