Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,146
- 34,190
hapo kwenye quote yake ondoa 'much' weka 'many'...Wewe ulipata bahati ya kumuona Marehemu Yona Kazibure??--- huyo hakuwa Mwalimu wa kiingereza, alikuwa mwalimu wa Physics A level, huyo alisoma uingereza Engineer (msc ) na kanifundisha Physics,--- Mimi so far sijapata kumsikia Mtanzania yeyote anayetema Kiingereza grammatical na chenye flow nzuri na hata pronounciation yake ya "kiafrika-kizungu" na mipachiko ya maneno fasaha ya kiingereza katika maongezi kama huyo teacher, utapenda uongeaji wake soft, sasa hujajaja katika uandishi wake; utapenda anavyoshuka ubaoni kuandika notes zake kwa lugha fasaha ya kiingereza bila kunukuu hizo notes kibao na Calculations za Physics.
Nakumbuka kauli yake moja ya kuchekesha kipindi anatufundisha topic ya "SEISMIC WAVES" alipokuwa anaondoka alipomaliza kipindi alisema; "-----there are so much dangerous things within the earth crust the less we know about them the better"--- kwasababu topic yenyewe ina involve the earth crust na earthquakes ilibidi darasa zima tuangue kicheko.🤣
RIP Yona Kazibure.