Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
Yule ni brother kaka wetu sote sema inaonekana bro alizingua sana aisee!kumbe Kaini ni brother wako? Tubu
Yule ni brother kaka wetu sote sema inaonekana bro alizingua sana aisee!kumbe Kaini ni brother wako? Tubu
Yule ni brother kaka wetu sote sema inaonekana bro alizingua sana aisee!
@zito juniorWeka @ kufuatiwa na user name ya huyo mtu mfano @ k29 itageuka kuwa k29 basi utakuwa umemtag
ukiwa mbaya kila mtu anajifanya hakujuiYule ni brother kaka wetu sote sema inaonekana bro alizingua sana aisee!
Mungu ni mtakatifu mno, alimuumba Adamu kuwa chini yake kidogo na yeye alikuwa Mtakatifu. Zinaa Eve alifundishwa na nyoka na baada ya kumnajisi Eve akamshawishi Adamu afanye najisi.Kuna topic moja mtu aliuliza, kwa mapokeo, tunaambiwa yule Cain mtotowa Adam, alipofukuzwa Eden, aliondokana kuoa mbalihuko.
Sasa kama Adam ndiye mtu wa kwanza, huko mbali alioa nani?
Wataalam wakawa na majibu mawili.
Moja wakasema alioa dada yake. Jibu hili linaelezea habari kwamba Adamna Hawa walikuwa na watoto tofauti.
Lakini halijitoshelezi, tunaambiwa Adamna Hawa na uzao wao walikuwa Eden, kama walikuwa na watoto wao kabla ya Cain kufukuzwa, hao wangekuwa Eden nao.
Hao watoto wao waliofika nje ya Eden bila kufukuzwa walikuwa nani? Wlaifikaje huko? Mbona habari zao za kufika huko hazikuandikwa?
Kukatolewa jibu la pili, la kisomi zaidi kuliko kimapokeo. Wanasosholojia wanasemakwamba waandishi wa Kiyahudiwameandika mambo kingano zaidi ya ukweli. Kwamba si ajabu kwa watu wa kabila moja, wanapoandika hadithi za mwanzo wa kabila lao, kuandika mwanzo wa kabila lao kama mwanzo wa watu wote, na si ajabu, katika enzi hizo, watu waliokaa pamoja waliwahesabu watu wengine wa mbali nao kwamba si watu kamili.
Kwa hivyo, kulikuwapo na watu kablaya Adam wanaishi sehemu nyingine mbaona uzao wa Adam, ila watu wa uzao wa Adam haukuwahesabu hawa watu kama watu kamili, na Cain alivyofukuzwa Eden akaenda kuoahuko.
Hili jibu la pili lilinifanya niseme kwamba, hizindizohabari ninazosema mara kwa mara hapa.
Kwamba, hivi vitabu ni mythologies, si fact, watu wengi wanavisoma kama fact.
Habari yenyewe imeandikwa kirefu zaidi hapa
https://www.biblicalarchaeology.org/daily/biblical-topics/hebrew-bible/who-was-the-wife-of-cain/
Wsomi wa Hebrew walioisoma Biblia katika lugha iliyoandikwa originally wanasema Adam hakuumbwa na Mungu, ni habari ya historia ya walivyoanza Wayahudi tu, lakini kulikuwa na watu wengine walikuapo sambamba na Adam na wengine hata walimtangulia, ila waliishi mbali na hapo Eden kwa hvyo hawa waliotoka kwa Aadam hawakuwahesabu kama watu.Mungu ni mtakatifu mno, alimuumba Adamu kuwa chini yake kidogo na yeye alikuwa Mtakatifu. Zinaa Eve alifundishwa na nyoka na baada ya kumnajisi Eve akamshawishi Adamu afanye najisi.
Zinaa mpaka kesho ni dhambi inayomchefua Mungu kupita maelezo day
Ninaona bible lakini nimekuzwa na sala za RC ambazo nyingi ni mapokeo kutoka kwa mapadre na masister waliopewa maono. Kama Padre Pio, Mtakatifu Theresia aliyekuwa sister nae alikufa akiwa na umri wa miaka 24.Wsomi wa Hebrew walioisoma Biblia katika lugha iliyoandikwa originally wanasema Adam hakuumbwa na Mungu, ni habari ya historia ya walivyoanza Wayahudi tu, lakini kulikuwa na watu wengine walikuapo sambamba na Adam na wengine hata walimtangulia, ila waliishi mbali na hapo Eden kwa hvyo hawa waliotoka kwa Aadam hawakuwahesabu kama watu.
Nimeweka hapa habari za kitabu cha James L. Kugel "How To Read The Bible: A Guide To Scriptures, Then And Now" as a starting point.
This guy was a Harvard Profesor of Hebrew and he wrote many acclaimed books, he says what I have been saying for years.
The Bible is not literal, it is not the word of God, and it has been edited so many times.
Ni zitto junior hapo sio @zito junior@zito junior
Unataka kusema mkuu yani hata waarabu tumewazidi kwa kushika dini kuliko wao?Mkuu lifecoded post yako imenifikirisha sana nafikiri ni wakati sahihi waafrika kuanza kutafuta ukweli nje ya hivi vitabu vya dini maana vina mkanganyiko kidogo kutoka kwenye uhalisia wa mambo. Ila ambacho sielewi ni kwanini sisi waafrica tulioletewa dini ndio tumeishika sana kuliko waliotuletea dini??? Na kipi kitatukomboa kutoka vifungo hivi??
Mkuu hao watu wapo, amini usiamini hao watu wapo hai mpaka leo. Wewe kutowajua haina maana kuwa hawapo. Nitakuja na uzi humu JF na kuelezea kwa kirefu hao watu ni akina nani na hapo ndipo mtatambua UWEZA wa MUNGU. NENO la MUNGU halisemi uongo hata siku moja!hapa hakuna uongo wa wazi?
◄ Matthew 16:28
"Truly I tell you, some who are standing here will not taste death before they see the Son of Man coming in his kingdom."
Naongelea dini kubwa kuliko zote duniani yaani Ukristo sisi Africa tumekuwa extremists sana kuliko hata hao wazungu.... Kiasi tunafunga mawazo yetu kwa biblia tu na sio reasoning zozote zile wakati hao wazungu wanastretch akili zao kufikiri hadi nje ya biblia na ndio maana wanafika mbaliUnataka kusema mkuu yani hata waarabu tumewazidi kwa kushika dini kuliko wao?
Asee sikuwahi fahamu hili... Ukiupandisha uzi unishtue pia haya sio madini ya kukosaMkuu hao watu wapo, amini usiamini hao watu wapo hai mpaka leo. Wewe kutowajua haina maana kuwa hawapo. Nitakuja na uzi humu JF na kuelezea kwa kirefu hao watu ni akina nani na hapo ndipo mtatambua UWEZA wa MUNGU. NENO la MUNGU halisemi uongo hata siku moja!
Nikiweka huo "uzi" nitaku-tag mkuu.
Hayo matukio yote uliyoyaeleza hapo juu yalitokea ingawa yaliandikwa kwa namna tofauti. Uongo ni kitu ambacho hakikutokea kabisa. Hivyo NENO la MUNGU halisemi uongo!hapa hakuna uongo?
BIBLE’S CONTRADICTIONS
1. Genesis chapter 1
God created adam and eve together
Genesis chapter 2
God created adam and then eve later
2. Genesis 2:7 and 2:19
God created a man and then the animals
Genesis 1:24-27
God created the animals first and then a man
3. Genesis 32:30 and numbers 14:14
Men have seen god
John 1:18
No man has seen god
4. Jeremiah 3:12
God does not keep anger forever
Jeremiah 17:4
God does keep anger forever
5. Mathew 1:20
Angel appeared to joseph
Luke 1:28
Angel appeared to mary
6. Mathew 8:5
Centurion came to jesus
Luke 7:3
Centurion sent his elders
7. Mathew 4:5-8
Satan took Jesus to temple and then mountain
Luke 4:5-9
Satan took Jesus to mountain and then temple
8. Mathew 20:29
Two blind men were healed on the road
Mark 10:46-47
One blind man was healed on the road
Thibitisha Mungu yupo.Hayo matukio yote uliyoyaeleza hapo juu yalitokea ingawa yaliandikwa kwa namna tofauti. Uongo ni kitu ambacho hakikutokea kabisa. Hivyo NENO la MUNGU halisemi uongo!
Mkuu unapaswa kuelewa kuwa NENO la MUNGU ni kama jiwe likwazalo, yeye atakaye jikwaa juu yake atavunjika vipande vipande na yule litakayemwangukia litamsaga teke teke! MATHAYO 21:42-44
Kuna watu wengi sana kama wewe sababu ya kuupenda sana "uovu" hawataki kuamini, wanatafuta visingizio na matokeo yake NENO la MUNGU linakuwa kikwazo kwao. Na wote watakaokwazika na NENO maana yake watavunjika vipande vipande na wengine kusagwa teketeke.
Tena unatakiwa kujua kuwa Biblia iliandikwa hivyo kwa makusudi kabisa ili wale waovu, wasioipenda KWELI ya MUNGU, wapate "kukwazika" vizuri, soma MATHAYO 13:10-15
Mwenye masikio na asikie!
Kiranga huyo profesor unaemsoma yeye hizo habar kazitoa wapi na kwanini afundishe watu namna ya kusoma Bible?!Wsomi wa Hebrew walioisoma Biblia katika lugha iliyoandikwa originally wanasema Adam hakuumbwa na Mungu, ni habari ya historia ya walivyoanza Wayahudi tu, lakini kulikuwa na watu wengine walikuapo sambamba na Adam na wengine hata walimtangulia, ila waliishi mbali na hapo Eden kwa hvyo hawa waliotoka kwa Aadam hawakuwahesabu kama watu.
Nimeweka hapa habari za kitabu cha James L. Kugel "How To Read The Bible: A Guide To Scriptures, Then And Now" as a starting point.
This guy was a Harvard Profesor of Hebrew and he wrote many acclaimed books, he says what I have been saying for years.
The Bible is not literal, it is not the word of God, and it has been edited so many times.
Leo naomba nikuulize ili wengine pia tujifunze kutoka kwakoThibitisha Mungu yupo.
Mimi siamini Mungu yupo.Kiranga huyo profesor unaemsoma yeye hizo habar kazitoa wapi na kwanini afundishe watu namna ya kusoma Bible?!
Na kwanini unamwamini sana kuliko wengine wanavyowaamini wanaowasoma?
Mfano leo uandike kitabu kuhusu mungu utaandika katika uelekeo gani kuhusu uwepo wa Mungu?