30P
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,453
- 7,933
Hahahaha aiseeKizazi cha nyoka kinataka sana kujifunza lakini hakielewi.. kwa jinsi mambo yalivyo!!
Hahahaha aiseeKizazi cha nyoka kinataka sana kujifunza lakini hakielewi.. kwa jinsi mambo yalivyo!!
Unaelewa hoja yako haina mantiki?Mkuu ukitaka nijadili na kuthibitisha uwepo wa MUNGU kwanza niambie dunia na viumbe vyote vilivyomo vilitoka wapi. Ukiniambia vilikotokea na mimi nitakuthibitishia kuwa MUNGU yupo.
Basi kama hujui dunia ilitoka wapi na mimi sina haja ya kukuthibitishia kuwa MUNGU yupo. Sababu nitakuwa napoteza muda wangu tu hapa na mtu ambaye anajifanya anajua sana kumbe hamna kitu.Unaelewa kwamba naweza kukuambia sijui, na moja ya saabu kwamba sijui ni kwamba Mungu mjuzi a yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, ambaye angekuwepo angenipa jibu la swali hilo, hayupo?
Umeshindwa kuthibitisha Mungiu yupo.Basi kama hujui dunia ilitoka wapi na mimi sina haja ya kukuthibitishia kuwa MUNGU yupo. Sababu nitakuwa napoteza muda wangu tu hapa na mtu ambaye anajifanya anajua sana kumbe hamna kitu.
If you don't know the origin of the earth and life in it then don't argue the existence of the CREATOR!
Usijichanganye. Kaini (Cain) ndiye mtoto wa kwanza wa Adam. Habili (Abel) ni wa pili. Soma vizuri biblia yako.mtoto wa kwanza wa ADAM anaitwa ABEL.
Duh mpk nmeogopaumechambua vizuri Sana but ukija kwenye uhalisia wenyew kuna mambo mengi sana yamefichwa hasa kwenye biblia takatifu,nchi kama ulaya huko wameamua kuachana kabsa na mambo ya dini hasa dini zenye kutumia biblia kama chanzo cha kujua ukweli...tumebaki sisi Africa kutumia biblia kama reference ya chimbuko la uhai wa human race katika ulimwengu huu...kama ni hivyo kwanini sasa nchi zilizoendelea zimeachana na habari kama hizo za kutumia bible kama reference point ya kukuonesha original ya mwanadamu?? do you think kuna uhalisia hapo,?? kama maandiko menyewe kuyaelewa mpaka uconnect dot flan ndo unaanza kupata ukweli..!! kwanini kama ni uhalisia usiwekwe na mwandishi mmoja ila et ukweli mpaka uanze kugess maandiko ya flani na flani ndo unapata connection..dont we see that we are wrong from point of contradiction...?? unajua kuna point mimi najaribu kujiuliza kwanini mzungu kaachana na mambo ya bible kwenye kutafuta reality that put human being into existance ila kajikita zaidi na evolution ya cosmos ilivyotokea..?? binafsi swala la biblia kama reference ya kunifanya nidig where I evolved nishaanza kuiacha kabsaa make kuna nadhalia nyingi sana zinaelezea jinsi bible ilivyokuja kuvurugwa na mrumi na kupelekea kufanya inversion na edition tofauti za kurasa ,kitu kilichopelekea watu kutokuielewa vizuri bible kwa undani zaidi...kuna documentary moja nimeisoma inagusia jinsi vatcan alivyokuja kuedit baadhi ya verses katika bible na kufanya msomaji kupata difficultness namna ya kuelewa the real chronological order ya bible ilivyokuwa...inasemekana kuwa, the real original bible was written in ascending order of knowlege yani imeanza kuelezea namna how the universe arose,na how cretures got into existance and finally how human races got to evolve in this world( universe) ,lakini kutokana na hao mageniuz wa dunia ambao hawakutaka kuuruhusu msahafu huo kusomwa na kila mtu ndo wakaugawanya into different categories na kuchanganya chapters kias kwamba ukisoma mstari wa matayo pekee huwezi kuuelewa mpaka ukajazilizie kwa marko ndo unaanza kupata picha na badae uende matendo ya mitume mpaka waefeso ndo upate half of its reality and robo ya ukweli (truth),,hatuoni kuwa ukweli kuwa bible was real put under several manipulations and editions za kufa mtu ndo mana tunakesha kuujua ukweli...nanukuu maneno ya papo John Paul the second anasema" The bible under its verses has a meaning inside " ndo mana kumepelekea waumiza vichwa nchi za wenzetu kushitukia mchezo huo make unashangaaa watu wanaumiza vichwa miaka nenda rudi lakini hakuna mtu anayeweza kuconnect dots kwenye bible na kucome up na general consensus juu ya uhalisia wa kilichoandikwa kwenye bible...ila inawezekana kabsaa ni kweli the reality was put through the bible but manipurated to loose its truth to the people but for the sake of few ones to understand how nature is.....lakini ndo tuseme kuwa bible iwe ngumu kueleweka kiasi hicho kuzidi syllubus ya masomo ya engenering na medicine ambayo ni magumu lakini watu wanasoma wanaelewa na wanaput into practise na kuelewa mfumo mzima wa mambo yaliyoelezewa kwenye mitaala hiyo lakini kwanini bible imekuwa kitendawili kuelewa ukweli wa mambo ndani yake.?? kwanini bible imechanganya zaidi!?? inanifanya nianze kuamini documentary inayosema kuwa ni kweli the bible was written explaining everything what happened since bustan ya eden mpaka anguko la dhambi but it was reversed and edited and some points were hidden to make a meaning got lost ....Naumiza kichwa sana juu ya tafsiri ya maneno yaliyomo ndani ya biblia ya sasa inapojaribu kuelezea jinsi uzao uliopo ulipotoka lakini stili inafell kuelezea how different races zilivyokuja kutokea au ndo kusema kwamba shetani aligawanya hizi race katika hali tofauti tofaut kulingana na pendekezo lake...?? ngumu kumeza hii ...sometimes if you stick yourself to get the meaning from the bible you will finally land into errors when comes a matter to understand how the reality is.....ila kuna principle ambayo binafsi naiamini na inasema kuwa ," aliyekuzidi kukutangulia pia ,tukiangalia watu waliokuletea bible ndo kwanza waiweka mbali na upeo wa macho yao and they are busy to open another window to know the reality ,why are we still finding the unknown inside the edited writtings...?? do you think kwamba tutaweza kuupata ukweli namna uzao huu ulipotoka kupitia maneno yalioandikwa ndani ya biblia ya leo..?? najaribu kujiuliza kwa kichwa tu....mwisho nahitimisha kwa kusema kuwa " inasemekana lakini eti kuna kiwango ambacho ukifikia hasa katika mambo ya dini unapewa some real documentary ya mshahafu mzima unavyoelezea how descendant of human race came to arise ...na miongoni mwa watu waliosoma baadhi ya mtiririko huo ni Leonardo DA VINCI na ISAAC NEWTON as one of the former seminarians walioaminika na kuambiwa watunze siri hiyo ,mtu mwingine aliyesoma mtiriko huo ni bwana mdogo Raphael aliyekuwa geniuz wa kudraw huko Basilia,Roma....haya maneno niliambiwa na jamaaa mmoja yupo mwaka wa 6 upadri na alinidokezea sana kwa hiyo ilikuwa ni katika kujaribu kuelezea how the truth is inside the current bible...
Kwann mungu wenu wakristo anahamasisha sana imani kuliko ukwlKuielewa Biblia inahitaji kuwa na Roho Mtakatifu na Kuwa na imani kubwa sana, Kwanza Hapa wenye imani dhaifu umewayumbisha zaidi.. Biblia haisemi hivi hata kidogo ila hii ni tafsiri yako Potofu.. kwa Kiingereza Biblia inasema Adam made love to his wife Eve, and she became pregnant and gave birth to Cain.
She said, “With the help of the Lord I have brought forth a man.”
Hapa Chini ni Maneno ya Mstari Huo Huo Kwa Lugha ya Kiebrania ambayo Ndio Biblia imeandikwa nayo..Tafsiri yake kwa Kiingereza..
![]()
Hakuna Mahali Biblia imeonesha Kama anavyosema mtoa Mada..
Kitu Kibaya sana nilichogudua watu Hupenda sana Kuamini Conspiracies Kuliko Ukweli..Hauwezi kumaliza list za conspiracies zipo nyingii Mno.. hasa kwenye haya Maswala ya imani ambayo sayansi Haiwezi Kuprove..Believe the Bible its Right.. it has No Contradiction..
Architectus
Vp kuhusu dna si tungekuwa swaPia, tafsiri nyingine ni kwamba, Adam na Hawa hawakuwa watu wa kwanza, walikuwa watu wa kwanza katika narrative ya Wwayahudi, inawezekana kulikuwa na watu wengine walikuwepo kabla ya Adam waliishi mbali na walipokuwapo, katika sociologies za mwanzo wa watu za makabila tofauti, watu huwa hawawahesabu watu wasio wa kabila lao kama watu, kwa hivyo, wasomi wameelezea (nimeweka text na link hapa) kwamba inawezekana kabisa kulikuwa na watu tofauti wanaishi pembeni, Cain akaenda huko kuoa.
Kwangu, habari hi ina make sense zaidi.
Kwa sababu.
1. Kama kuna watoto wengine wa Adam waliondoka Eden, kwa nini waliondoka? Mbona haijaandikwa walivyoondoka?
2. Kama kuondoka Eden ilikuwa ni adhabu, hawa wengine waliondoka kwa adhabu gani? Walikosea nini? Mbona haijaandikwa?
Ukisoma kwa makini utaona kwamba, hadithi ya Aadam si ya mwanzo wa watu per se, ni ya mwanzo wa Wayahudi.
Kulikuwa na watu wengine wanaishi mbali na Eden, lakini hawakuhesabiwa kama watu na waandishi wa Kiyahudi, kwa sababu hawakuwa katika mlolongo wao, Cain ndio alienda na kuoa huko.
Habari imeandikwa zaidi na wameangalia kuanzia pande ya Biblia mpaka usomi wa socilogy
Soma zaidi hapa
https://www.biblicalarchaeology.org/daily/biblical-topics/hebrew-bible/who-was-the-wife-of-cain/
Sasa kwann aliumba vifanyio kama hapendi???Mungu ni mtakatifu mno, alimuumba Adamu kuwa chini yake kidogo na yeye alikuwa Mtakatifu. Zinaa Eve alifundishwa na nyoka na baada ya kumnajisi Eve akamshawishi Adamu afanye najisi.
Zinaa mpaka kesho ni dhambi inayomchefua Mungu kupita maelezo.
Adamu alipewa mwili wa milele ambao ulilaaniwa baada ya yeye kuunajisi. Adhabu yake ni kuwa mwili aliona kuwa nao utaonja mauti. Na kila mwanadamu ataonja mauti na kufufuliwa na mwili mpya wa milele. Sasa kama ni wa motoni utaenda motoni milele na wambinguni wataenda mbinguni milele.
Thibitisha wewe kama Mungu hayupoUmeshindwa kuthibitisha Mungiu yupo.
Kwa sababu hayupo.
Naona swali halijakamilika.Vp kuhusu dna si tungekuwa swa
Ndo maana nasema hiv kama adam na hawa ndo source ya human kind kwann kuna utofauti wa dna ????? Na pia kwann kuna race tofauti????Naona swali halijakamilika.
DNA ni mfano mwingine kwa nini Mungu muumba yote, mjuzibwa yote na mwenye uwezo wote hayupo.
Angekuwepo angeweka habari zake zote kwenye DNA tumjue, tumjue tangubtunazaliwa na tumjue bila yabkuweza kuwa na shakankuhusu uwepo wake.
Ukweli kwamba tunategemea misahafu, yenye utata mwingi, yenye tafsiri nyingi, zinazopingana, nyingine tunaambiwa zimechomekwa baadaye, nyingine tunaambiwa ninallegories etc etc unaonesha kwamba Mungu huyo hayupo.
Angekuwepo angejidhihirisha bila utata kwenye DNA.
Hakuna mahali nimeandika adam na hawa walifanya dhambi KABLA shetani hajamnajisi hawa..... Shetani alimnajisi hawa kwanza ndio mengine yakafuata kwenye matukio hayo niliweka NA sio KABLA.4. vitabu vinavyotambuliwa na dini ya kiyahudi kama Zohar Pekudei 21:5 kinakubali hoja hii.
Baada ya adam na mke wake kufanya dhambi, na shetani kumjua Hawa na kumnajisi, Hawa alimzaa Cain.
Dhambi gani waliyoifany Adam na Hawa kabla shetani hajmnajisi Hawa??
1.Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.Thibitisha wewe kama Mungu hayupo
Adam na hawa si source ya humankind,hii ni hadithi ya chanzo cha Wayahudi.Ndo maana nasema hiv kama adam na hawa ndo source ya human kind kwann kuna utofauti wa dna ????? Na pia kwann kuna race tofauti????
Umejua duniani kuna mabaya kwa sababu mazuri yapo, Na sasa unaona tofauti kati ya baya na zuri. Sasa mkuu embu tuambie asili ya ubaya ni wapi? Au uzuri! Vyote vilitoka wapi..?Angekuwepo, dunia isingeweza kuwa na ubaya wowote.
Nmekupa vizuri sasa kwa mtazamo wako haya yte yanatokea kwa manufaa yapi au faidi ipi ??Adam na hawa si source ya humankind,hii ni hadithi ya chanzo cha Wayahudi.
Ni kama wasukuma wa zamani wangekaa kwao,wanajiona wao ndio watu peke yao, hawajui kuna Wakurya na Wajita,au wanajua, lakini hawawahesabu kwamba hao Wakurya na Wajita ni watu.
Halafu hao Wasukuma waandike story ya chanzo cha Wasukuma, waseme kwamba chanzo hicho cha kabilala Wasukuma, ndiyo chanzo cha watu duniani.
Wakati kulikuwa na watu kabla ya huyo mtu wao wa kwanza.
Halafu hadithi hii izunguke sana, kila mtu aanze kuiamini kama ukweli.
Haya si maneno yangu, ni maneno ya wataalamu wasomi wa Biblia ambao hawaishii kusoma Biblia hiiiliyotafsiriwa na kuchakachukliwa.
Hawa ni wataalamu ambao kazi yao ni kuchambua Biblia kwaushahidi, wanaisoma katika lugha iliyoandikwa original, wanachambua mavitabu mengine mengi tu ya nyakati hizo.
Ndiyo wanakwambia hivyo. Somajuu hapo nimeweka links nyingi za maandishi haya.
Tatizo wengi tunataka kujadili mambo bila kusoma.
Adam si mtu wa kwanza, ni hadithi ya Wayahudi kuhusu mtu wa kwanza.
Kulikuwa na watu Afrika wameishi maelfu na maelfu ya miaka kabla ya Adam.
Hesabu za wasomi wa Biblia zinasema Adam anakisiwa kuwa aliishi miaka 6,000 iliyopita kwa mujibu wa vizazi vya Biblia watu wamehesabu kuanzia Adam mpaka gharikala Nuhu, kuanzia gharikala Nuhu mpaka Yesu, kuanziaYesu mpaka sasa, ni miaka takriban 6,000.
Sasa huku Afrika wasomi wanagundua kila siku kwamba kuna watu waliishi miaka 10,000 iliyopita, watu waliishi miaka 30,000 iliyopita na zaidi.
Sasa utasemaje Adam, mtu aliyeishi miaka 6,000 iliyopita, ni mtu wa kwanza, wakati kuna watu waliishi miaka 30,000 iliyopita na zaidi huku Afrika?
Ukifikiri sana kwa mantikiutaona huyu Adam ni hadithi ya Wayahudi tu, simtu wa kwanza.
Umejua duniani kuna mabaya kwa sababu mazuri yapo, Na sasa unaona tofauti kati ya baya na zuri. Sasa mkuu embu tuambie asili ya ubaya ni wapi? Au uzuri! Vyote vilitoka wapi..?
Katika dunia hii mazuri yapo?Asili ya ubaya ni ulimwengu usio na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.
Angekuwepo angezuia ubaya usiwepo.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ameshindwa kuumba ulimwengu ambao ubaya hauwezekani kuwapo?