Je, huu ni ukweli uliofichwa kwa miaka mingi?

Je, huu ni ukweli uliofichwa kwa miaka mingi?

1. Mkuu nimekuelewa kuhusu Cain kutohesabiwa lakini kama hoja ni kwamba alilaaniwa hivyo kutengwa je sababu ya Abeli nayo kutokutambuliwa kama MTU ni ipi ???
Mkuu fahamu kwamba Abeli anatambuliwa sana tu, hata YESU alimtaja kama Nabii wa kwanza kabisa kuuawa, soma LUKA 11:50-51. Abeli anatambulika kama Nabii wa kwanza duniani.
2. Kuhusu NJT umesema huwezi kusema ni halali au lah ila vipi kuhusu hiyo tafsiri mpya ya KUMJUA iliyowekwa na theolojia inayopinga kuwa Adam hakulala na Hawa ila ALITAMBUA tu kuwa ana mimba?? Je wapo sawa au lah
Hii tafsiri pia imekaa kiupotoshaji sana, hivyo kutokana na tafsiri hizi inatosha kabisa kui-disqualify hii NJT bible, its not credible!
3. Mkuu apocalypse of Moses kwa maoni yako tusikisome maana ni apocrypha je vipi kuhusu kitabu cha Biblia kama WAEBRANIA ambacho muandishi wake mpaka leo hajulikani ila kimewekwa kwenye biblia?? Kwanini tukitambue waebrania ila sio apocalypse of moses na apocrypha zingine??
Kitabu cha Waebrania kinaaminiwa kuwa kiliandikwa na Paulo ingawa haijathibitishwa. Hata hivyo kutokumjua "author" pekee haikifanyi kitabu fulani kuwa kwenye kundi la "Apocryphal Books". Sababu muhimu sana ni "content" ya kitabu husika, maudhui yake. Maudhui ya The Apocalypse of Moses yamejaa "upotoshaji mkubwa" sana na hayaendani na NENO la MUNGU tofauti na kitabu cha Waebrania hichi kinaendana vizuri kabisa na NENO la MUNGU.

Mkuu fahamu kwamba vitabu hivi ambavyo viko kwenye mjumuisho unaoitwa "BIBLIA", vilijumuishwa siyo kwa akili za Wanadamu, bali kwa UWEZO wa MUNGU ambao ni ROHO MTAKATIFU. Polycarp of Smyrna ambaye alikuwa ni mwanafunzi wa YOHANA aliyeandika kitabu cha UFUNUO ndiye alikuwa mtu wa kwanza kutengeneza mkusanyiko unaoitwa BIBLIA leo hii tangu karne ya 1.

Mtu huyu alikuwa amejazwa Roho Mtakatifu na kitabu cha mwisho kukijumuisha ni UFUNUO ambacho alikipokea toka kwa Yohana mwenyewe! Watu wengi hawaujui ukweli huu sababu ya kudanganywa na Kanisa Katoliki kuwa wao eti ndio walifanya canonization ya Biblia wakati siyo kweli.
kupitia mstari huu kaongelea maswala mawili TAMAA ya ngono na KUZAA KWA UCHUNGU ambayo kwa namna moja au nyingine yanahusiana moja kwa moja na ngono hivyo basi ni sawa mtu akiuliza kwanini basi kama hakuna ngono iliyohusika amuadhibu Hawa kwa adhabu zenye asili ya ngono??
Mkuu ni lazima ufahamu kuwa kitendo cha kula tunda walilokatazwa kilikuwa kinaharibu kabisa vizazi vijavyo na kilikuwa hakiishii kwao tu. Ndiyo maana utaona MUNGU analaani uzazi na kusema atazaa kwa uchungu na kula chakula kwa taabu. Kuzaa kwa uchungu haina maana kwamba eti ngono ndiyo ilifanyika kwanza, hapana, hii ina maana kwamba vizazi vyote vinavyofuatia baada ya Eva vimelaaniwa kwa sababu ya tunda hili.

Laana nyingine ni tamaa yake kuwa kwa mumewe, hii ina maana kwamba mwanamke atakuwa anatawaliwa na mwanaume sababu alishindwa kujitawala mwenyewe akiwa bustanini na kuishia kula matunda ambayo alikatazwa. Hii nayo haina uhusiano wowote ule na ngono kama wanavyofikiria baadhi ya watu.

Kama nilivyosema hapo kwanza, kuna upotoshaji mkubwa sana na wamakusudi kabisa unaofanywa na Shetani kuhusu NENO la MUNGU. Shetani anatumia vifungu vya kwenye Biblia na kuvi-manipulate, na kuvi-fabricate na kuvipa maana nyingine ili tu vionekane kama ni kweli wakati siyo. Narudia tena kusema, NENO la MUNGU halisemi uongo kamwe!
 
Leo naomba nikuulize ili wengine pia tujifunze kutoka kwako

Kama watu hawajakuthibitishia uwepo wa mungu,ina maana kwamba hoja yako itakuwa imepita kwamba mungu hayupo!!

Hivyo naomba kwa uchche tu nisadie kujua ulimwengu na viumbe wake walivyopatikana
Sijui. Kwa sababu Mungu wa kunipa majibu kirahisi rahisi hayupo.

Kwa hiyo ni kazi yangu kutafuta majibu. Ni kazi yetu sote kutafuta majibu.

Na njia moja ya kutafuta majibu ni "elimination method". Unaondoa majibu yote yanayoonekana hayawezi kuwa kweli.

Na Mungu ni jibu ambalo si la kweli. Kwa sababu lina contradictions nyingi.

Kwa hiyo tutafute majibu. Tusome. Tuulize maswali.

Tusirahisishe mambo kwa kusema tu "Mungu kaumba".

Tatizo kubwa ni kwamba, ubongo wa mtu hautaki kusema "sijui jibu hapa, ngoja nilitafute mpaka nijue jibu la kweli".

Ukifika sehemu ambapo haujui jibu, unaanza kutengeneza hadithi za Mungu.

It's OK to say you don't know.

In fact. If you don't know, if you don't say you don't know, you will never know.

So I don't know.

But I intend to find out.

Sitaki kikubali stories au kutengeneza stories kwa sababu sijui jibu.

Nakubali sijui jibu. Nakataa majibu ya uongo.

Najua kukubali sijui jibu ndiyo hatua ya kwanza kwenda kwenye jibu la kweli.
 
Mimi siamini Mungu yupo.

Kuendelea mazungumzo ya Mungu kama yupo, unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Unajua kusoma Kiingereza?

Maswali yako mengine uliyouliza ninkama hujasoma nilichoweka hapa kwa sababu hujui kusima Kiingereza.

Maana yana majibu mazuri tu katika habari nikizoweka.

Unaniuliza kwa nini namsoma professor wa Hebrew aliyefundisha mpaka Harvard ambaye ni mtaalam wa mambo ya Biblia kuhusu kusoma Biblia?

Unasoma ninachoweka hapa au unauliza tu bila kusoma?

Unajua kusoma Kiingereza au Kiingereza ndiyo tatizo hata nikiweka maelezo hapa yanakuwa mgogoro kusoma?
Tatizo lako huwa hujibu ulicholizwa,huwa unapropoganda nyingi sana ndugu
Napenda kusoma na kujifunza hivyo nitasoma badae kidogo ila nimetaka mtazamo wako tu sasa wewe unaingiza kingereza mara sijui vitu gani jibu tu hayo mengine hayatakusaidia
 
Sijui. Kwa sababu Mungu wa kunipa majibu kirahisi rahisi hayupo.

Kwa hiyo ni kazi yangu kutafuta majibu. Ni kazi yetu sote kutafuta majibu.

Na njia moja ya kutafuta majibu ni "elimination method". Unaondoa majibu yote yanayoonekana hayawezi kuwa kweli.

Na Mungu ni jibu ambalo si la kweli. Kwa sababu lina contradictions nyingi.

Kwa hiyo tutafute majibu. Tusome. Tuulize maswali.

Tusirahisishe mambo kwa kusema tu "Mungu kaumba".

Tatizo kubwa ni kwamba, ubongo wa mtu hautaki kusema "sijui jibu hapa, ngoja nilitafute mpaka nijue jibu la kweli".

Ukifika sehemu ambapo haujui jibu, unaanza kutengeneza hadithi za Mungu.

It's OK to say you don't know.

In fact. If you don't know, if you don't say you don't know, you will never know.

So I don't know.

But I intend to find out.

Sitaki kikubali stories au kutengeneza stories kwa sababu sijui jibu.

Nakubali sijui jibu. Nakataa majibu ya uongo.

Najua kukubali sijui jibu ndiyo hatua ya kwanza kwenda kwenye jibu la kweli.
Sawa sasa haya ndio majibu na nimekuelewa pia
So tuendelee na hoja ya Zitto
 
Tatizo lako huwa hujibu ulicholizwa,huwa unapropoganda nyingi sana ndugu
Napenda kusoma na kujifunza hivyo nitasoma badae kidogo ila nimetaka mtazamo wako tu sasa wewe unaingiza kingereza mara sijui vitu gani jibu tu hayo mengine hayatakusaidia
Kipi ambacho nimeulizwa sijajibu?

Unataka ukiniuliza maisha yameanzaje, mimi sijui jibu la swali lako, nikudanganye kwamba najua?

Ndipo utakapofurahi na kusema kwamba nimekujibu?

Unaelewa kwamba ukimuuliza mtu kitu ambacho hakijui, akakwambia hakijui, hilo ni jibu zuri sana na huyo mtu kakuheshimu sana, kwa sababu kakwambia ukweli kwamba hajui jibu, ukweli ambao watu wengi huwa wanaushindwa na kujitutumua kusema wanajua mambo wasiyojua?

Sasa kwa nini unamdhalilisha mtu aliyekuheshimu sana na kukataa kukudanganya kwamba anajua kitu ambacho hajui?

Yani mimi kukataa kukudanganya wewe ni jambo baya?
 
Ila Biblia inamtambua Seth pekee kama mtoto wa kwanza wa Adam..... Ila seth ni mtoto wa 3 wa Hawa!!! Ikimaanisha abel na cain hawakuwa watoto wa Adam labda kama una chanzo tofauti unaweza kutuelimisha zaidi
Ukifuatilia mlolongo wa uandishi wa kitabu cha mwanzo kizazi cha adam na hawa Kain na Abel ndio uzao wa kwanza.

Kumekuwa na tafsiri tofauti kuhusu tunda lililoliwa na Hawa katika vitabu mbalimbali lakini ukweli umefichwa na ni ngumu kuelewa ukweli kwa sababu uandishi katika biblia na vitabu vingi unakang'anya katika hili.

27 Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
Mwanzo 1 :27


21 Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake,
Mwanzo 2 :21


1 Adamu akamjua Hawa mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Kaini, akasema, Nimepata mtoto mwanamume kwa Bwana.
Mwanzo 4 :1

2 Akaongeza akamzaa ndugu yake, Habili. Habili alikuwa mchunga kondoo, na Kaini alikuwa mkulima ardhi.
Mwanzo 4 :2


25 Adamu akamjua mke wake tena; akazaa mwana mwanamume, akamwita jina lake Sethi; maana alisema, Mungu ameniwekea uzao mwingine mahali pa Habili; kwa sababu Kaini alimwua.
Mwanzo 4 :25

3 Adamu akaishi miaka mia na thelathini, akazaa mwana kwa sura yake, kwa mfano wake, akamwita jina lake Sethi.
Mwanzo 5 :3

4 Siku za Adamu baada ya kumzaa Sethi zilikuwa miaka mia nane, akazaa wana, waume na wake.
Mwanzo 5 :4
 
Sawa sasa haya ndio majibu na nimekuelewa pia
So tuendelee na hoja ya Zitto
Hoja ya Zitto imejikita katika uwepo wa Mungu na habari za vitabu vyake.

Wwasomi wa biblia wanakuja na kutuonesha kwamba, Biblia ni hadithi, si mambo yaliyotokea kweli.

Nimeweka juu hapo blurb ya "How To Read The Bible".

Sasa sijui tatizo ni Kiingereza au vipi, maana jamaa kaandika hoja nzito, naona watu wanaziruka tu.

Kuna mtu amesoma hi summary tu na kuielewa?

How to Read the Bible
A Guide to Scripture, Then and Now
READ AN EXCERPT

Scholars from different fields have joined forces to reexamine every aspect of the Hebrew Bible. Their research, carried out in universities and seminaries in Europe and America, has revolutionized our understanding of almost every chapter and verse. But have they killed the Bible in the process?

In How to Read the Bible, Harvard professor James Kugel leads the reader chapter by chapter through the “quiet revolution” of recent biblical scholarship, showing time and again how radically the interpretations of today’s researchers differ from what people have always thought. The story of Adam and Eve, it turns out, was not originally about the “Fall of Man,” but about the move from a primitive, hunter-gatherer society to a settled, agricultural one. As for the stories of Cain and Abel, Abraham and Sarah, and Jacob and Esau, these narratives were not, at their origin, about individual people at all but, rather, explanations of some feature of Israelite society as it existed centuries after these figures were said to have lived. Dinah was never raped — her story was created by an editor to solve a certain problem in Genesis. In the earliest version of the Exodus story, Moses probably did not divide the Red Sea in half; instead, the Egyptians perished in a storm at sea. Whatever the original Ten Commandments might have been, scholars are quite sure they were different from the ones we have today. What’s more, the people long supposed to have written various books of the Bible were not, in the current consensus, their real authors: David did not write the Psalms, Solomon did not write Proverbs or Ecclesiastes; indeed, there is scarcely a book in the Bible that is not the product of different, anonymous authors and editors working in different periods.

Such findings pose a serious problem for adherents of traditional, Bible-based faiths. Hiding from the discoveries of modern scholars seems dishonest, but accepting them means undermining much of the Bible’s reliability and authority as the word of God. What to do? In his search for a solution, Kugel leads the reader back to a group of ancient biblical interpreters who flourished at the end of the biblical period. Far from naïve, these interpreters consciously set out to depart from the original meaning of the Bible’s various stories, laws, and prophecies — and they, Kugel argues, hold the key to solving the dilemma of reading the Bible today.

How to Read the Bible is, quite simply, the best, most original book about the Bible in decades. It offers an unflinching, insider’s look at the work of today’s scholars, together with a sustained consideration of what the Bible was for most of its history — before the rise of modern scholarship. Readable, clear, often funny but deeply serious in its purpose, this is a book for Christians and Jews, believers and secularists alike. It offers nothing less than a whole new way of thinking about sacred Scripture.
 
Mkuu hao watu wapo, amini usiamini hao watu wapo hai mpaka leo. Wewe kutowajua haina maana kuwa hawapo. Nitakuja na uzi humu JF na kuelezea kwa kirefu hao watu ni akina nani na hapo ndipo mtatambua UWEZA wa MUNGU. NENO la MUNGU halisemi uongo hata siku moja!

Nikiweka huo "uzi" nitaku-tag mkuu.
nausubiri
 
Kwa hiyo unakubaliana na hoja kwamba Cain hakuwa mtoto wa Adam?? Nafkiri hapa ndio nataka kuelewa
Binafsi huwa sikubaliani ingawa nimepitia hisitoria nyingi zinazo eleza hili la Cain kuwa si mtoto wa Adam
Cain ni mtoto wa Adam tukubaliane amezaliwa katika mazingira ambayo yalikuwa ya Utandawazi kuamua unavyotaka kulikuwa hakuna nuru tena inayomuongoza kuishi vile ilitakiwa aishi akiwa edeni katika nuru.

Laana ya Cain ilisababishwa na Mungu huenda kuna mipango ambayo Mungu mwenyewe anafahamu kuhusu hili alilofanya ndio maana aliweka matunda ya kutamanika Eden huku akifahamu anamuweka bustanini kiumbe dhaifu


9 Bwana Mungu akachipusha katika ardhi kila mti unaotamanika kwa macho na kufaa kwa kuliwa; na mti wa uzima katikati ya bustani, na mti wa ujuzi wa mema na mabaya.
Mwanzo 2 :9
 
Hayo matukio yote uliyoyaeleza hapo juu yalitokea ingawa yaliandikwa kwa namna tofauti. Uongo ni kitu ambacho hakikutokea kabisa. Hivyo NENO la MUNGU halisemi uongo!

Mkuu unapaswa kuelewa kuwa NENO la MUNGU ni kama jiwe likwazalo, yeye atakaye jikwaa juu yake atavunjika vipande vipande na yule litakayemwangukia litamsaga teke teke! MATHAYO 21:42-44

Kuna watu wengi sana kama wewe sababu ya kuupenda sana "uovu" hawataki kuamini, wanatafuta visingizio na matokeo yake NENO la MUNGU linakuwa kikwazo kwao. Na wote watakaokwazika na NENO maana yake watavunjika vipande vipande na wengine kusagwa teketeke.

Tena unatakiwa kujua kuwa Biblia iliandikwa hivyo kwa makusudi kabisa ili wale waovu, wasioipenda KWELI ya MUNGU, wapate "kukwazika" vizuri, soma MATHAYO 13:10-15
Mwenye masikio na asikie!
najizuia kucheka
kwa leo naishia hapa,ila nitaomba debate na wewe kuhusu biblia
 
Nakubaliana na wewe kwamba mzao wa kwanza wa Adam ni Abel. Ila nijuavyo hakuwa na uzao kwa sababu maisha yake yalikatishwa ghafla kwa hila ya kaka yake Cain.
Cain ndiye wa kwanza wa Adam haya mengine ni yakusadikika zaidi
 
mpendwa zitto junior uzi wako fikirishi sana hasa unapotoka nje ya bible na kuna moja ya kitu umekielezea ambacho ni moja ya sababu iliopelekea kutokukubalika kwa baadhi ya vitabu hasa vya agano la kale (kutokukidhi canon ya palestina,kwa biblia ya kiebrania na canon ya aleksandria, kwa septuangita)

pia inazusha swali kwamba ni kwa nini vitabu vingine viliachwa havikujumuishwa ktk biblia ???
Mimi najiuliza kama wewe,halafu pia huwa nasema kama hiki kitabu ni cha Mungu mbona kila karne hufanyiwa mabadiliko ili kuendana na usasa na kwanini wahusika waliokileta kwetu wao kwa sasa wanakikimbia bila shaka kuna vitu tunaficha Sisi wenye kipilipili
 
Ivi unaanza vipi kuwapa wahusika wa icho kitabu lawama(Kama shetani na wengineo)

Wakati kitabu chenyewe kinaeleza kila kitu ni mpango wa Mungu

Mtu unatoa msuli wa shingo kumtakatisha Mungu wakati mwenyewe kataka.!_Ajabu kweli
 
Kosa la Adam na hawa ni kula tunda walilo katazwa! Hata baada ya kula Mungu alisema “huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala akaishi milele “
 
Huu wimbo wa Bob unafikirisha sana.
Bob Marley – Adam And Eve Lyrics
The lord named Adam and Eve,
To live a happy life.
In the garden of Eden,
But they disobeyed.

I wanna know,
Why they sin,
In the garden of Eden.

It's a devilman's affair,
In the shake of a surfband.

And they broke the fruit of life
And everyone of us is living in sin.

Any anywhere you go,
Woman is the root of all evil.

He was the first one to break a fruit
And everyone of us is living in sin.

The lord named Adam and Eve,
To live a happy life.
In the garden of Eden,
But they disobeyed.

I wanna know,
Why they sin,
In the garden of Eden.

It's a devilman's affair,
In the shake of a surfband.

And they broke the fruit of life
And everyone of us is living in sin.

Any anywhere you go,
Woman is the root of all evil.

He was the first one to break a fruit
And everyone of us is living in sin.
 
Back
Top Bottom