Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,149
- 871,464
Hapana imetumika fasihi na akili kubwa sana kuandika yaliyoandikwaBinafsi naona kama ni waliondika hivi vitabu walipishana kimaandiko/kiuelewa na kiujuaji
Hapana imetumika fasihi na akili kubwa sana kuandika yaliyoandikwaBinafsi naona kama ni waliondika hivi vitabu walipishana kimaandiko/kiuelewa na kiujuaji
Kwa sababu hawajawahi kuwepo watu wanaoitwa Adam na HawaKwanini mkuu.... Tuhabarishe
[emoji23] [emoji23] acha nicheke tu, usiombe ukutane na gubu la mkuu kirangaKwa nini unafikiri wewe ndiye una uwezo na ujuzi wa kunishauri mimi na si vinginevyo?
Kwa nini unafikiri mimi nasoma kwa kunyofoa nyofoa?
Mimi nimesoma si tu Biblia, nimesoma vitabu vya jinsi ya kusoma Biblia, cha mwisho kukisoma ni cha James L. Kugel, a Harvard Professor of Hebrew and Hebrew Bible specialist "How To Read The Bible: A Guide to Scripture, Then and Now" wewe umesoma nini? Utaweza kunifundisha kusoma Biblia kuliko Professor Kugel?
Kitabu kimlezea habari zote hizi, wewe unaweza kuelezea Biblia kuliko Professor Kugel, unajua Kiebrania?
The reviews arehere andhere as a PDF download
The New York Times Review is here
![]()
Kwa nini unafikiri mimi sijui kwamba Adam na Eva walikuwa na watoto zaidi?
Hivi unajua kusoma? Umesoma nilichoandika? Ulichonukuu umekisoma kwa kituo?
Siamini kama umekisoma kwa kituo, ungekisoma kwa kituo usingeuliza maswali haya ambayo nishayajadili katika ulichonukuu
Unajua kusoma wewe?
Umesoma ulichonukuu? Unajua kusoma?
Nilipoandika "Wataalam wakawa na majibu mawili.
Moja wakasema alioa dada yake. Jibu hili linaelezea habari kwamba Adamna Hawa walikuwa na watoto tofauti.
Lakini halijitoshelezi, tunaambiwa Adamna Hawa na uzao wao walikuwa Eden, kama walikuwa na watoto wao kabla ya Cain kufukuzwa, hao wangekuwa Eden nao. "
Ulisoma? Ulielewa? Aau umerukia kunukuu na kujibu vitu ambavyo hujasoma kama mhubiri aliye na kiherehere cha kuhubiria wenye dhambi bila hata kutaka kuwajua?
Kwa nini unanukuu kipande cha biblia ambacho siyo tu sijakikanusaha, bali pia nimeshaelezea kwamba nakielewa kipo?
Unajua kusoma?
Una akili timamu?
Mmh!!!? Ngumu kumeza hii mkuu.. Naomba unitagi mkuu huenda nikatoa tongotongo lililo tanda kwenye mboni zangu hiziMkuu hao watu wapo, amini usiamini hao watu wapo hai mpaka leo. Wewe kutowajua haina maana kuwa hawapo. Nitakuja na uzi humu JF na kuelezea kwa kirefu hao watu ni akina nani na hapo ndipo mtatambua UWEZA wa MUNGU. NENO la MUNGU halisemi uongo hata siku moja!
Nikiweka huo "uzi" nitaku-tag mkuu.
Mkuu,nimekuelewa.Mkuu hoja kuu hapa ni Cain je ni mtoto wa lucifer ama lah....
Kuhusu tunda ni BTW tu na imeelezwa kwenye zohar na apocalypse of moses ambacho kiliandikwa na Seth baadae kutafsiriwa na mfalme suleiman ndio nadharia hii imetolewa huko unless huviamini hivi vitabu vya kiyahudi ila sijafaham kwanni wakristo wengi wanaamini biblia ndio sahihi na vingine ni uongo.... Sijawahi fahamu wakati waandishi ni walewale
Labda unisaidie
Sounds interesting..... Shusha nondo mkuu usisahau kunitag maana hii dunia kila siku jambo jipya la kujifunzaMkuu,nimekuelewa.
Ila kama ulivyosema, kuna alot of ancient scriptures (ukiacha Biblia) zinazokinzana kuhusu hili suala.
Kuna hoja nilikuwa nazifuatilia za scholars wa history wakibishana kuhusu haya maswala.
Nikipata muda nitashusha uzi wa kuzi-present hoja hizi kwenye jukwaa hili. Trust me, they will blow your mind.
Mkuu, nimekuelewa na kufurahi unavyojitahidi kuikiri kwa kina. mkuu, cha kwanza usijenerolize kwamba wazungu wameitupa bible au dini au Mungu, white people know ex actlty what is inside the bible, and they struggle much to obscure the secret from it which they swim in and from it they controll nature. Wafanyacho sasa ni kukufanya wewe udharau hayo, yaani wamejisahihisha kwamba walikosea kujaribu kufunua ukweli wa mambo ulivyo kwa weusi. Hivi mkuu, unafahamu kwamba believing in only impiricism one cannot meet reality anywhere, maana reality hujifunua kwa yasiyo onekana, ila kuna kanuni ya kufanya yasiyo onekana yaonekane, hizo kanuni zimo ndani ya biblia, ni kitabu cha ajabu. Ndo maana hao wagunduzi na magenius uwajuao lazima walikuwa connected na church under biblical doctrines, kumbuka, Kekule, Newton, Da Vinci, Galileo n.k, ingekuwa ni kito cha mang'amung'amu, hawa akili zao zisingekuwa complex hivo.umechambua vizuri Sana but ukija kwenye uhalisia wenyew kuna mambo mengi sana yamefichwa hasa kwenye biblia takatifu,nchi kama ulaya huko wameamua kuachana kabsa na mambo ya dini hasa dini zenye kutumia biblia kama chanzo cha kujua ukweli...tumebaki sisi Africa kutumia biblia kama reference ya chimbuko la uhai wa human race katika ulimwengu huu...kama ni hivyo kwanini sasa nchi zilizoendelea zimeachana na habari kama hizo za kutumia bible kama reference point ya kukuonesha original ya mwanadamu?? do you think kuna uhalisia hapo,?? kama maandiko menyewe kuyaelewa mpaka uconnect dot flan ndo unaanza kupata ukweli..!! kwanini kama ni uhalisia usiwekwe na mwandishi mmoja ila et ukweli mpaka uanze kugess maandiko ya flani na flani ndo unapata connection..dont we see that we are wrong from point of contradiction...?? unajua kuna point mimi najaribu kujiuliza kwanini mzungu kaachana na mambo ya bible kwenye kutafuta reality that put human being into existance ila kajikita zaidi na evolution ya cosmos ilivyotokea..?? binafsi swala la biblia kama reference ya kunifanya nidig where I evolved nishaanza kuiacha kabsaa make kuna nadhalia nyingi sana zinaelezea jinsi bible ilivyokuja kuvurugwa na mrumi na kupelekea kufanya inversion na edition tofauti za kurasa ,kitu kilichopelekea watu kutokuielewa vizuri bible kwa undani zaidi...kuna documentary moja nimeisoma inagusia jinsi vatcan alivyokuja kuedit baadhi ya verses katika bible na kufanya msomaji kupata difficultness namna ya kuelewa the real chronological order ya bible ilivyokuwa...inasemekana kuwa, the real original bible was written in ascending order of knowlege yani imeanza kuelezea namna how the universe arose,na how cretures got into existance and finally how human races got to evolve in this world( universe) ,lakini kutokana na hao mageniuz wa dunia ambao hawakutaka kuuruhusu msahafu huo kusomwa na kila mtu ndo wakaugawanya into different categories na kuchanganya chapters kias kwamba ukisoma mstari wa matayo pekee huwezi kuuelewa mpaka ukajazilizie kwa marko ndo unaanza kupata picha na badae uende matendo ya mitume mpaka waefeso ndo upate half of its reality and robo ya ukweli (truth),,hatuoni kuwa ukweli kuwa bible was real put under several manipulations and editions za kufa mtu ndo mana tunakesha kuujua ukweli...nanukuu maneno ya papo John Paul the second anasema" The bible under its verses has a meaning inside " ndo mana kumepelekea waumiza vichwa nchi za wenzetu kushitukia mchezo huo make unashangaaa watu wanaumiza vichwa miaka nenda rudi lakini hakuna mtu anayeweza kuconnect dots kwenye bible na kucome up na general consensus juu ya uhalisia wa kilichoandikwa kwenye bible...ila inawezekana kabsaa ni kweli the reality was put through the bible but manipurated to loose its truth to the people but for the sake of few ones to understand how nature is.....lakini ndo tuseme kuwa bible iwe ngumu kueleweka kiasi hicho kuzidi syllubus ya masomo ya engenering na medicine ambayo ni magumu lakini watu wanasoma wanaelewa na wanaput into practise na kuelewa mfumo mzima wa mambo yaliyoelezewa kwenye mitaala hiyo lakini kwanini bible imekuwa kitendawili kuelewa ukweli wa mambo ndani yake.?? kwanini bible imechanganya zaidi!?? inanifanya nianze kuamini documentary inayosema kuwa ni kweli the bible was written explaining everything what happened since bustan ya eden mpaka anguko la dhambi but it was reversed and edited and some points were hidden to make a meaning got lost ....Naumiza kichwa sana juu ya tafsiri ya maneno yaliyomo ndani ya biblia ya sasa inapojaribu kuelezea jinsi uzao uliopo ulipotoka lakini stili inafell kuelezea how different races zilivyokuja kutokea au ndo kusema kwamba shetani aligawanya hizi race katika hali tofauti tofaut kulingana na pendekezo lake...?? ngumu kumeza hii ...sometimes if you stick yourself to get the meaning from the bible you will finally land into errors when comes a matter to understand how the reality is.....ila kuna principle ambayo binafsi naiamini na inasema kuwa ," aliyekuzidi kukutangulia pia ,tukiangalia watu waliokuletea bible ndo kwanza waiweka mbali na upeo wa macho yao and they are busy to open another window to know the reality ,why are we still finding the unknown inside the edited writtings...?? do you think kwamba tutaweza kuupata ukweli namna uzao huu ulipotoka kupitia maneno yalioandikwa ndani ya biblia ya leo..?? najaribu kujiuliza kwa kichwa tu....mwisho nahitimisha kwa kusema kuwa " inasemekana lakini eti kuna kiwango ambacho ukifikia hasa katika mambo ya dini unapewa some real documentary ya mshahafu mzima unavyoelezea how descendant of human race came to arise ...na miongoni mwa watu waliosoma baadhi ya mtiririko huo ni Leonardo DA VINCI na ISAAC NEWTON as one of the former seminarians walioaminika na kuambiwa watunze siri hiyo ,mtu mwingine aliyesoma mtiriko huo ni bwana mdogo Raphael aliyekuwa geniuz wa kudraw huko Basilia,Roma....haya maneno niliambiwa na jamaaa mmoja yupo mwaka wa 6 upadri na alinidokezea sana kwa hiyo ilikuwa ni katika kujaribu kuelezea how the truth is inside the current bible...
Unaniuliza mie tena!Namna gani huyo Mungu anaweza kuthibitishwa?
Yani Mungu na Lusifer ndio wenye ujuzi?Hakuna Mwenye ujuzi zaidi ya Mungu na lusifer mwaasi alieasi huko mbinguni yakamkuta ya kumkuta sasa hasira zote tumehamishiwa binadamu
Nikwambie mara ngapi?Unaniuliza mie tena!
Wewe ndio muda wote umekuwa ukidai uthibitisho na kusema hakuna aliyeweza kuthibitisha hadi sasa,mie ndio najaribu kutaka kujua ni vp tunaweza kumthibitisha huyo Mungu.
Asante kwa kuchangia ...japo bado msimamo wangu juu ya hicho tunachohangaika kujua ndani yake ...lakini mkuu naomba nikuambie kitu kimoja,wanasayansi wakubwa kama kina Da vinci ,Tesla ,Newton,Fibonancci,na wengine uwajuawo walipata bahati kubwa sana ya kulink na kanisa na kupewa access ya kusoma hizo hidden doctrines zilizokuwa zinaelezea how nature operates....ndo mana tunawaona kama ni maginiuz wakubwa ,hapana walikuwa watu wa kawaida sana na ni wachache sana kupata chance ambapo walipewa ujuzi namna ya kusoma hizo doctrines kwa kuzifanyia practize ikiwa ni pamoja na kuinterprete hidden codes that link human soul to universal divine matrix ambayo ndo ilikuwa na access ya kukuprogram uwe na uwezo wa hali ya juu sana....kanisa kama kanisa lina mchango mkubwa sana kwenye kuuweka wazi ukweli wa mambo yote..Mkuu, nimekuelewa na kufurahi unavyojitahidi kuikiri kwa kina. mkuu, cha kwanza usijenerolize kwamba wazungu wameitupa bible au dini au Mungu, white people know ex actlty what is inside the bible, and they struggle much to obscure the secret from it which they swim in and from it they controll nature. Wafanyacho sasa ni kukufanya wewe udharau hayo, yaani wamejisahihisha kwamba walikosea kujaribu kufunua ukweli wa mambo ulivyo kwa weusi. Hivi mkuu, unafahamu kwamba believing in only impiricism one cannot meet reality anywhere, maana reality hujifunua kwa yasiyo onekana, ila kuna kanuni ya kufanya yasiyo onekana yaonekane, hizo kanuni zimo ndani ya biblia, ni kitabu cha ajabu. Ndo maana hao wagunduzi na magenius uwajuao lazima walikuwa connected na church under biblical doctrines, kumbuka, Kekule, Newton, Da Vinci, Galileo n.k, ingekuwa ni kito cha mang'amung'amu, hawa akili zao zisingekuwa complex hivo.
Mungu, kwa ukuu wake, haiwezekani akaelezewa katika kitabu simple which is so linear. Hao wazungu uwasemao, wana siri kubwa sana ndani ya mabo haya, kubwa mno, ndo maana unashangaa, aweza kuwa si kitu katika mabo ya dini, laini kila jambo ukimgusa, likifikia hatari ya mwisho, anaamini Mungu, nguvu zisizothibitika kisayansi, utasikia, oooh my God, wala si kupandikizwa, maana unaweza kuta ni kizazi cha tatu hawana dini katika mtiririko wa familia yao, lakini hii inaonekana wazi namna gani wameendelea kupeana maarifa juu ya umuhimi wa aitwaye Mungu na ukumbuke kwao, hiyo wameijulia toka bible, ndo maana wazungu wanatwala nature, huwezi kutawala nature yenye vitu vinayoonekana na visivyo onekana bila kuwa na muungano wa nguvu isiyo onekana. Tena inaonyesha wazungu wameujua na kuuamini utendaji wa Mungu kwa kiwango cha juu mno, tazama mechi ya mpira wa miguu, inaendelea na sasa wamefikia penati ambazo kimsingi huwa hazitabiriki, hvo siri yake haijulikani, inafanana na jambo lisiloonekana, wewe mwafrika unashangilia na unaomba au kwa Mungu, au fikra tuu au mizimu ili mshinde, wazungu, utaona sala zinavotembea uwanjani, za wazi kama ishara ya msalaba na nyingine zisizowazi, sisemi lazima washinde la hasha, ila nakufunulia TUMAINI LA WAZUNGU LA KIWANGU CHA JUU, cha ajabu huyo anayemuomba Mungu, ukimuuliza kanisani alienda lini, anaweza kukwambia, miaka 8 iliyopita. mkuu, kuna jambo kwenye bible, tena zuri na kubwa, ila si kama hi waluwalu tunayofundishwa fundishwa na wachungaji wetu wa sasa.
Ni sawa kabisa,point yangu ni kama ya mtoa mada,ukisoma Mwanzo nne inaanza kueleza vyema kuhusu uzao wa Adamu"4:1Adamu akamjua Hawa Mkewe; naye akapata mimba akamzaa Kaini,akasema ,Nimepata mtoto Mwanaume kwa Bwana.2:Akaongeza akaamzaa ndugu yake,Habili.Habili alikuwa mchunga Kondoo na Kaini alikuwa mkulima wa ardhi.3:Ikawa hatima ya Kaini akaleta mazao ya ardhi sadaka kwa BWANA 4:Habili naye akaleta wazao wa kwanza wa wanyama wake na sehemu zilizonona za wanyama.BWANA akamtabali Habili na Sadaka yake.5:Bali Kaini hakumtabali,wala sadaka yake.Kaini akagadhabika sana ,uso wake ukakunjamana.........."Adamu alizaa watoto 40 kila uzao jike na dune, sasa Walipokuwa wajubwa Cain hakuwa mwelewa, hadi abili alipokuwa na kutaka kuoa, Abili/Abel akamwambia Cain muoe dadangu na Mi nimuoe wako, Cain akakataa kwa sababu dadake/pacha wa Cain alikuwa mzuri wa sura na umbo kuliko Abili sasa Cain akasema oa dadako na Mi nioe dadangu, Abel akamwelewesha Cain akakataa, wakapeleka kesi kwa babao, baba akasema Abel uko sahihi, Cain akahisi kaonewa, Adam akasema tumuombe Mungu atujibu nani yupo sahihi wakafanya sala wakatoa na sadaka kwa makubaliano, itakayochukuliwa ndiye yuko sahihi, sadaka ya Abel ikapokelewa ya Cain ikabaki ndipo Cain akachukia akapata hasira kisha shetani akapata nafasi ya kumjaza ukatili Cain mbinu na namna ya kumuua ndugu yake, hakuna aliyetoa sadaka nzuri kuliko mwenzake hii ni swaga ya walioleta biblia lengo lao limekaa kimaslahi, kwahyo Hapo ndipo Cain alipofukuzwa na akaondoka na dadake wakaenda kufanya yao na kuanza kuzaana, tuelewane kabisa Shetani hana uwezo wa kuzaa na binadamu hii ni kwa jinsi ya uumbwaji kati yetu na yeye,.. Maswali mengine nitajibu kesho
Hata kisichojiinga haina maana ndio ukweli.Nikwambie mara ngapi?
Toa uthibitisho usiojipinga.
Ukitoa habari za Biblia au Quran kwa mfano, vitabu hivyo vinajipinga, hivyo kitu kuwa kwenye Biblia au Quran tu haimaanishi ni ukweli.
Kuthibitisha ni nini kwa mujibu wako?Hata kisichojiinga haina maana ndio ukweli.
Tatizo wewe unaimba tu uthibitisho na kujitamba hakuna anayeweza kuthibitisha ila unaonekana hata wewe mwenyewe hujui hata huyo Mungu anaweza kuthibitishwa vp? kuna muda umesema hata kama nina uthibitisho wa picha,nikakwambia nikikuonesha picha na kukwambia huyu ndio Mungu ndio nitakuwa nimethibitisha? haujajibu.
Mkuu Zitto, habari za masiku. Kuna mahala nipo na % za chaji kwenye simu zimebaki chache. Nyuzi nyengine nimechangia kwa kuibia ibia. Nakuahidi inshaallah nitarudi.
Poa maalim nasubiri nondo zako huku kwa upande wa Quran takatifu ukipata nafasi panapo majaliwa upite humu.Mkuu Zitto, habari za masiku. Kuna mahala nipo na % za chaji kwenye simu zimebaki chache. Nyuzi nyengine nimechangia kwa kuibia ibia. Nakuahidi inshaallah nitarudi.
Tngekuwa immortals yangetokea maafa makubwa kuliko haya ya sasaKama watu tungekuwa tumeumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, tusingeumwa na kufa.
Badalayake, tunaumwa magonjwa mengina kufa.
Ushahidikwamba hatujaumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.
Tena vitoto vingine vinaumwa na kufariki kabla ya kutimiza siku tano.
Mungu gani huyoanaruhusu vitoto vife hivyo?