Je, huu ni ukweli uliofichwa kwa miaka mingi?

Je, huu ni ukweli uliofichwa kwa miaka mingi?

Acha uongo kosa la adamu na Eva sio ngono
Kwa sababu Mungu alishawaruhusu kitambo tu kuzaliana kabla ya kumpuuza alichowakataza
Tafuta kosa lingine
Mkuu uongo ni upi??? Tunda imeandikwa kwenye zohar na apocalypse of Moses so kwaninu uite ni uongo?? Ina mana wwe ndio unajua sana kuliko Musa aliyeandika???

Hoja kuu hapa ni Cain hyo tunda iwe ngono au isiwe ngono bado nimekuwekea hapo mistari inayosema cain hakuwa mwana wa Adam ni vizuri ujikite kwenye mada kuliko kuita watu waongo wakati hauweki huo ukweli
 
Naongelea dini kubwa kuliko zote duniani yaani Ukristo sisi Africa tumekuwa extremists sana kuliko hata hao wazungu.... Kiasi tunafunga mawazo yetu kwa biblia tu na sio reasoning zozote zile wakati hao wazungu wanastretch akili zao kufikiri hadi nje ya biblia na ndio maana wanafika mbali

Mfano hapa Tanzania kuna makanisa kibao utakuta kuna maombi maalum kwa Israel ila hutawahi kuta kuna maombi maalum kwa Dodoma au singida au zanzibar!! Sasa kama sio extremism ni nini hyo..... Hata makanisani tu wakiambiwa kuwa na viongozi wanawake utasikia wanadema biblia hairuhusu!!! Sijui kuvaa suruali au kudivorce itasikia biblia hairuhusu!!! Ila wazungu unakuta mchungaji ana kanisa kubwa kaachana na mke wake, anavaa bukta na bado mbinguni anaenda sasa sielewi kwanni sisi waafrika tunafunga akili zetu kuwaza nje ya maandiko... Mfano makanisani unakuta watu wanaaminishana kuwa tawala zote za kidunia zimewekwa na Mungu hata ya madikteta ndio maana wanashindwa kuwapinga na kuwakosoa!!! Sasa kwa reasoning hii tutafika kweli

Hapa ndio shida napoiona
Mkuu zitto junior unaposema na mbinguni anaenda hapo patakuwa na ukakasi iwapo hiyo mbingu ni ya huyuhuyu Mungu wa biblia takatifu aliyekataza kuachana. Najua niko nje ya mada kidogo lakini siyo mbaya kuchangia kwa kile nilichokiona hapo.
 
Ndugu yng kitu cha kukusaidia nkwmb ukitaka ukweli halis wa hii story n kujiulza je kweny tukio nani na nan n mhusika?na kt y wahusika yupi amby aneitoa hii story jawab utapata n mungu mwenyew ndy mhuska wakwanz kuileta hii story juu y viumbe vyake lkn tuliobak wote wanaelezea nadharia zao kulingana na namna wanavyoyatafsr maandiko lkn hawana uhakk mweny uhakika na mhuska wa tukio n mungu mwenyew nae tyr alishaelezea hili kulingana na vtabu vyake vtukufu na s kupotoshwa kw kufata vtabu vya kijewish..mana hvy vtabu vnakwmbia ibilis alikuwa malaika wakt wote tunajua ibilis alipatkana dunian na kizaz chake n jinni na aliumbwa kwa moto whle malaika wao waliumbwa kw udongo
Kitabu chenye ukweli ni kipi?? Maana Moslem atasema Quran, Jew atasema Midrash/Tanakh/Torah haya mkristo atasema ni bible which is which mnatuchanganya sana
 
Naona swali halijakamilika.

DNA ni mfano mwingine kwa nini Mungu muumba yote, mjuzibwa yote na mwenye uwezo wote hayupo.

Angekuwepo angeweka habari zake zote kwenye DNA tumjue, tumjue tangubtunazaliwa na tumjue bila yabkuweza kuwa na shakankuhusu uwepo wake.

Ukweli kwamba tunategemea misahafu, yenye utata mwingi, yenye tafsiri nyingi, zinazopingana, nyingine tunaambiwa zimechomekwa baadaye, nyingine tunaambiwa ninallegories etc etc unaonesha kwamba Mungu huyo hayupo.

Angekuwepo angejidhihirisha bila utata kwenye DNA.
Unachokieleza hata hakina maana huko juu umetoka kueleza kwamba tuutafute ukweli na sio kuishia kusema kila kitu Mungu,halafu hapa tena unakuja na hoja ya kwamba kama Mungu angekuwepo kila mtu angezaliwa anajua habari zake.
 
Mkuu zitto junior unaposema na mbinguni anaenda hapo patakuwa na ukakasi iwapo hiyo mbingu ni ya huyuhuyu Mungu wa biblia takatifu aliyekataza kuachana. Najua niko nje ya mada kidogo lakini siyo mbaya kuchangia kwa kile nilichokiona hapo.
Ndio hivyo Mkuu biblia kuna mengi inakataza tu ila kuna jamii zinayafanya na bado wanafika mbinguni maana kuna sheria zingine walipewa watu wa eneo husika na si applicable kwa maeneo yote..... Mfano kufunika nywele,kunyoa,wanawake kukaa kimya kanisani,wachungaji wanaume tu n.k shida ya sisi waafrika tumechukua kama yalivyo badala ya kuangalia reference na relevance ya hadhira iliyolengwa na ndio maana tunapotezana kila cku.

Sasa mkuu nikuulize..... Biblia inaruhusu utumwa yaani sex slaves na wajakazi kuuzwa na kununuliwa je nikifanya sex slavery ntakuwa na dhambi au lah?? Embu nisaidie hapo kwanza ndio utaelewa nachotaka kusema.
 
Sijui nani alisababisha watu wadhani tunda ni ngono... Hapo kwanza.
Mkuu hoja kuu hapa ni Cain je ni mtoto wa lucifer ama lah....

Kuhusu tunda ni BTW tu na imeelezwa kwenye zohar na apocalypse of moses ambacho kiliandikwa na Seth baadae kutafsiriwa na mfalme suleiman ndio nadharia hii imetolewa huko unless huviamini hivi vitabu vya kiyahudi ila sijafaham kwanni wakristo wengi wanaamini biblia ndio sahihi na vingine ni uongo.... Sijawahi fahamu wakati waandishi ni walewale

Labda unisaidie
 
Mwanzo 4:16:Kisha Kaini akaondoka mbele ya Mwenyezi-Mungu, akawa anaishi katika nchi ya Nodi, upande wa mashariki wa Edeni. 17 Kaini akamjua mkewe, naye akapata mimba, akamzaa Henoki.
Hapa tunaoneshwa kulikuwa na mji mbele ya Edeni.Ukifikiri kwa haraka haraka kama mimi ni kuwa mpaka muda ule Kaini anamuua nduguye kulikuwa na watu wanne tu duniani.Yaani Hawa,Adam,Kaini na Abel..baada ya kifo cha Abel walibaki watu watatu tu.Na ikumbukwe ukisoma kimtililiko Kaini alifukuzwa mbele ya Uso wa Bwana na kwa wazazi pia.
Matatizo mengi hukwepwa hapa,Mke wa Kaini alitokea wapi?Na alizaliwa na nani?Ndio maana ukirejea nyuma kuna wenzangu waliotangulia ukisoma Mwanzo Sura ya 1:20-31 na Sura ya 2:1-25..je biblia inajieleza kinyume nyume.Utaona Siku ya Sita nini kilifanyika.Na baadae utaona siku ya saba Mungu alipumzika,lakini hapa Sura ya pili inaeleza tena nini Mungu alifanya.
Kuna shida nyingi sana katika Uandaaji wa hivi vitabu,kama mnakumbuka kuna Biblia flani unapooenda nunua unaambiwa hii si nzuri sana.Versions za biblia,tukipata muda wajuvi watuelezee.
Mleta mada umeleta kitu ambacho ni fikirishi kama utakuwa unapenda kusoma na ku judge kwa akili za vitabu na ufahamu wa kawaida tu.Shida ni moja tayari tumekua kwenye mazingira amabyo hayaruhusu ku judge kabisa.Ndio maana hata wenzetu mpaka sasa wanatuachia maswali kwa nini Moshi huenda kwa Pope Mweupe tu?Je Mungu haoni uwepo wa Mtu Mweusi?Kwanini tuende Macca Madina tu Kwamba kule ndio kuna Uwepo kushinda pahala pengine?Ina maana Mungu wa wote anafanya Selection kwa Makundi flani tu sasa kuna haja gani ya sisi kumlilia kila siku ikiwa tayari kuna watu ni chosen?
Kuna mtu mmoja tuliwahi bishana sana,nakumbuka ilikuwa miaka kama 8 nyuma,Tarehe 31 kuingia mwaka mpya,aliniambia niape na kama nitavuka basi.Niliapa na Mpaka sasa nipo naandika uzi.Haya haya mambo.Tumepewa maarifa,saa nyingine si mbaya tuvuke kuona je hili ni sawa au ni kwa sababu tu?Binafsi nimesoma hicho kitabu kama taaluma.Kwa madhehebu ya Ukristo ...ukisoma una stress zako za maisha.Kamwe hutoelewa hii dunia ilivyo.Ukisoma una maumivu yako ya kuachwa,huna pesa,umeibiwa basi utaona jinsi kilivyo.
Ilimu iliyopo mfano kwa Upande wa Kitabu takatifu Quran ni pana sanaa...sasa shida si kitabu shida ni watumiaji na wanaotafsiri.Hapo ndipo fujo ya dunia inapoanzia.
 
Nathibitisha yupo kwa jinsi kwanza nilivyoumbwa mimi na viumbe wengine pili hajawahi na naamini hatowahi atokee atakaethibitisha kwamba siye Mungu aliuumba huu ulimwengu wewe mwenyewe ukiwepo ktk walioshindwa!

Ingekuwa Mungu kakuumba usingekuwa na haja ya kunya wewe.

Kama unakunya tu huo ni uthibitisho tosha kwamba Mungu hajakuumba.

Mungu na utakatifu wake wote na ukamilifu wake wote asingetuumba tunahitaji kunyakunya kila siku.

Unaelewa kunya ni alamaya inefficiency in the system?

Sasa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote imekuwaje kaumba system inefficient?
 
Kwani nani kasema utumie maelezo tu?

Hata kama unaweza kuweka picha inaruhusiwa, itapendeza zaidi.
Ndiyo maana nikakuuliza unaweza kuthibitisha uwepo wa kitu kwa maelezo tu? hata nikiweka picha halafu nikakwambia huyu kwenye hii picha ndiyo mungu ndio nitakuwa nimethibitisha?

Kwa sababu isije ikawa unaimba tu "uthibitisho,uthibitisho"
 
Unachokieleza hata hakina maana huko juu umetoka kueleza kwamba tuutafute ukweli na sio kuishia kusema kila kitu Mungu,halafu hapa tena unakuja na hoja ya kwamba kama Mungu angekuwepo kila mtu angezaliwa anajua habari zake.
Unafahamu "immanent critique" ni kitu gani wewe?
 
Ndiyo maana nikakuuliza unaweza kuthibitisha uwepo wa kitu kwa maelezo tu? hata nikiweka picha halafu nikakwambia huyu kwenye hii picha ndiyo mungu ndio nitakuwa nimethibitisha?

Kwa sababu isije ikawa unaimba tu "uthibitisho,uthibitisho"
Nimekwambia utoe uthibitisho ulio logically consistent.

Unaweza ukawa si wa maelezo, ukawa ni wa hesabu za Roger Penrose vile vile.

Sijakupangia namna, mradi unaweza kuwa logically consistent na haupoself contradicting.

Hujathibitisha.
 
Ingekuwa Mungu kakuumba usingekuwa na haja ya kunya wewe.

Kama unakunya tu huo ni uthibitisho tosha kwamba Mungu hajakuumba.

Mungu na utakatifu wake wote na ukamilifu wake wote asingetuumba tunahitaji kunyakunya kila siku.

Unaelewa kunya ni alamaya inefficiency in the system?

Sasa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote imekuwaje kaumba system inefficient?
Aisee naona nikuache tu maana huna hoja.so wewe huoni jinsi binadam tulivyoumbwa na mengi mazuri,tunaweza kucheka,kusema,kutembea kutambua mema na mabaya wewe umeona tu mapungufu kwanini "tunaenda choo"?

Nathubutu kusema wewe ni hasara ya dunia hamna namna,nikusema ulitaka tuumbwe kama robots eti?mkuu hivi unatumia kichwa kweli kufikiri!?
 
Ndiyo mkuu mtu anayeenda mbinguni unamuona hta kabla hajafa na kuna mmoja mpaka wine alikuwa anakunywa kabisa na mikutano yake Roho mtakatifu anashuka mkuu nikagundua haya mambo ya imani sio kukariri vifungu vya biblia bali nikwenda mbele kabisa.... Hata wachungaji wanawake huku bongo hawataki kisa tu bible ilikataza but huko nje wazungu wameweka na wanasogeza gombo si kidogo kina joyce meyer n.k sasa unajiuliza kivp wao waliowaza nje ya bible wanatuzidi kiroho sio tuliokariri bible!!!

Na hiyo amri inayosema mwanamke asivae mavazi ya kiume unaweza tuelezea wapi biblia inasema mavazi ya kiume ni yapi na ya kike ni yapi?? Je yale madira waliokuwa wakivaa kina Yesu ni mavazi ya kike au kiume??
Mkuu tynaweza tukajikuta tunatoka nje ya mada. Kuna andiko linamtaja Deborah nabii mke. Maana yake kama kulikuwa na nabii mwanamke ktk zama za biblia basi kipindi hiki ni zaidi sana kuona wachungaji wanawake. Wasiofundisha hivi wanaenda kinyume kabisaa na biblia.
Kuhusu mavazi ya kiume na ya kike, biblia inasema kuwa Asili zetu zinatuongoza yaani naumbile ya Asili. Hapa inapotaja Asili inamaanisha vile kitu iinavyotakiwa kiwe, mfano mwanamke akivaa suruali yenye zipu hapo mbele maana yake ni nini basi n hana uume. Au mwaname anawezaje kuvaa sidiria ? Kumbuka hata akivaa lakini Asili yake hakuumbwa na matiti ingawa yanaweza kutokea kwa njia zisizo za ki Asili. Sawasawa na mwanamke kwa Asili atabeba ujauzito, mwanamume akiubeba hiyo haiwezi kuwa asili yake abadan.
 
Mimi naona kama hadithi tu ambapo kila jamii ina hadithi zake za kiimani. Mfano kule kwetu kulikuwa na hadithi kuwa tembo ni binadamu aliyebadilika.
Kama wakoloni au waarabu wasingekuja Afrika na tukaachwa hadi kugundua maandishi tungeweza kuwa na dini nyingi tu na vitabu tukaviita vitakatifu.
 
Back
Top Bottom