Je, huu ni ukweli uliofichwa kwa miaka mingi?

Tngekuwa immortals yangetokea maafa makubwa kuliko haya ya sasa
Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na nwenye uwezo wote angeshindwa kuzuia hayo maafa yasitokee?

Mbona hizo reasoning zote za kutetea uwepo wa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote zinazidi kuonesha hayupo?
 
Poa maalim nasubiri nondo zako huku kwa upande wa Quran takatifu ukipata nafasi panapo majaliwa upite humu.
Mheshimiwa Zitto,nimepitia hili bandiko kuhusu Qabil( Kane) nimeona mawazo ya wachangiaji mbalimbali kutoka vyanzo mbalimbali lakini mada husika nikiileta kwenye vyanzo vya maarifa ya Kiislam Qabil( Kane) huyu ni uzao kabisa wa Adam a.s.

Katika uislam mtoto wa kwanza kuzaliwa kwa Adam a.s alikuwa ni Qabil alikuwa ni pacha wa Qalimah ambaye huyu ni mwanamke. Akafuata Habil( Abel) naye alikuwa na pacha wake wa kike. Utata ulikuja kwa Qabil alikuwa na maradhi katika moyo wake, maradhi ya wivu na huo ndiyo mtihani uliyomshinda. Hii ilitokana na kipindi hicho kuoana kwa tumbo moja iliruhusiwa ila kwa waliozaliwa tofauti, yaani mapacha tofauti. Kisa ni kirefu lakini baadae Qabil ndiye aliyemuua ndugu yake Habil na baada ya kufanya hivyo akakimbilia kusikojulikana.
 
Mheshimiwa Zitto,nimepitia hili bandiko kuhusu Qabil( Kane) nimeona mawazo ya wachangiaji mbalimbali kutoka vyanzo mbalimbali lakini mada husika nikiileta kwenye vyanzo vya maarifa ya Kiislam Qabil( Kane) huyu ni uzao kabisa wa Adam a.s.

Katika uislam mtoto wa kwanza kuzaliwa kwa Adam a.s alikuwa ni Qabil alikuwa ni pacha wa Qalimah ambaye huyu ni mwanamke. Akafuata Habil( Abel) naye alikuwa na pacha wake wa kike. Utata ulikuja kwa Qabil alikuwa na maradhi katika moyo wake, maradhi ya wivu na huo ndiyo mtihani uliyomshinda. Hii ilitokana na kipindi hicho kuoana kwa tumbo moja iliruhusiwa ila kwa waliozaliwa tofauti, yaani mapacha tofauti. Kisa ni kirefu lakini baadae Qabil ndiye aliyemuua ndugu yake Habil na baada ya kufanya hivyo akakimbilia kusikojulikana.
Duh nashukuru mkuu angalau watu wamepata mwanga kidogo maana kulikuwa na sintofahamu kwa baadhi ya watu humu kwamba watoto wa Adam walioa akina nani ila naona Quran imeondoa huo utata kwa kutaja hao mabinti.

Shukrani maalim
 
Imeniuma Sana kila nkikujbu simu inastack afu inaleta error basi ntareply next time
umechambua vizuri Sana but ukija kwenye uhalisia wenyew kuna mambo mengi sana yamefichwa hasa kwenye biblia takatifu,nchi kama ulaya huko wameamua kuachana kabsa na mambo ya dini hasa dini zenye kutumia biblia kama chanzo cha kujua ukweli...tumebaki sisi Africa kutumia biblia kama reference ya chimbuko la uhai wa human race katika ulimwengu huu...kama ni hivyo kwanini sasa nchi zilizoendelea zimeachana na habari kama hizo za kutumia bible kama reference point ya kukuonesha original ya mwanadamu?? do you think kuna uhalisia hapo,?? kama maandiko menyewe kuyaelewa mpaka uconnect dot flan ndo unaanza kupata ukweli..!! kwanini kama ni uhalisia usiwekwe na mwandishi mmoja ila et ukweli mpaka uanze kugess maandiko ya flani na flani ndo unapata connection..dont we see that we are wrong from point of contradiction...?? unajua kuna point mimi najaribu kujiuliza kwanini mzungu kaachana na mambo ya bible kwenye kutafuta reality that put human being into existance ila kajikita zaidi na evolution ya cosmos ilivyotokea..?? binafsi swala la biblia kama reference ya kunifanya nidig where I evolved nishaanza kuiacha kabsaa make kuna nadhalia nyingi sana zinaelezea jinsi bible ilivyokuja kuvurugwa na mrumi na kupelekea kufanya inversion na edition tofauti za kurasa ,kitu kilichopelekea watu kutokuielewa vizuri bible kwa undani zaidi...kuna documentary moja nimeisoma inagusia jinsi vatcan alivyokuja kuedit baadhi ya verses katika bible na kufanya msomaji kupata difficultness namna ya kuelewa the real chronological order ya bible ilivyokuwa...inasemekana kuwa, the real original bible was written in ascending order of knowlege yani imeanza kuelezea namna how the universe arose,na how cretures got into existance and finally how human races got to evolve in this world( universe) ,lakini kutokana na hao mageniuz wa dunia ambao hawakutaka kuuruhusu msahafu huo kusomwa na kila mtu ndo wakaugawanya into different categories na kuchanganya chapters kias kwamba ukisoma mstari wa matayo pekee huwezi kuuelewa mpaka ukajazilizie kwa marko ndo unaanza kupata picha na badae uende matendo ya mitume mpaka waefeso ndo upate half of its reality and robo ya ukweli (truth),,hatuoni kuwa ukweli kuwa bible was real put under several manipulations and editions za kufa mtu ndo mana tunakesha kuujua ukweli...nanukuu maneno ya papo John Paul the second anasema" The bible under its verses has a meaning inside " ndo mana kumepelekea waumiza vichwa nchi za wenzetu kushitukia mchezo huo make unashangaaa watu wanaumiza vichwa miaka nenda rudi lakini hakuna mtu anayeweza kuconnect dots kwenye bible na kucome up na general consensus juu ya uhalisia wa kilichoandikwa kwenye bible...ila inawezekana kabsaa ni kweli the reality was put through the bible but manipurated to loose its truth to the people but for the sake of few ones to understand how nature is.....lakini ndo tuseme kuwa bible iwe ngumu kueleweka kiasi hicho kuzidi syllubus ya masomo ya engenering na medicine ambayo ni magumu lakini watu wanasoma wanaelewa na wanaput into practise na kuelewa mfumo mzima wa mambo yaliyoelezewa kwenye mitaala hiyo lakini kwanini bible imekuwa kitendawili kuelewa ukweli wa mambo ndani yake.?? kwanini bible imechanganya zaidi!?? inanifanya nianze kuamini documentary inayosema kuwa ni kweli the bible was written explaining everything what happened since bustan ya eden mpaka anguko la dhambi but it was reversed and edited and some points were hidden to make a meaning got lost ....Naumiza kichwa sana juu ya tafsiri ya maneno yaliyomo ndani ya biblia ya sasa inapojaribu kuelezea jinsi uzao uliopo ulipotoka lakini stili inafell kuelezea how different races zilivyokuja kutokea au ndo kusema kwamba shetani aligawanya hizi race katika hali tofauti tofaut kulingana na pendekezo lake...?? ngumu kumeza hii ...sometimes if you stick yourself to get the meaning from the bible you will finally land into errors when comes a matter to understand how the reality is.....ila kuna principle ambayo binafsi naiamini na inasema kuwa ," aliyekuzidi kukutangulia pia ,tukiangalia watu waliokuletea bible ndo kwanza waiweka mbali na upeo wa macho yao and they are busy to open another window to know the reality ,why are we still finding the unknown inside the edited writtings...?? do you think kwamba tutaweza kuupata ukweli namna uzao huu ulipotoka kupitia maneno yalioandikwa ndani ya biblia ya leo..?? najaribu kujiuliza kwa kichwa tu....mwisho nahitimisha kwa kusema kuwa " inasemekana lakini eti kuna kiwango ambacho ukifikia hasa katika mambo ya dini unapewa some real documentary ya mshahafu mzima unavyoelezea how descendant of human race came to arise ...na miongoni mwa watu waliosoma baadhi ya mtiririko huo ni Leonardo DA VINCI na ISAAC NEWTON as one of the former seminarians walioaminika na kuambiwa watunze siri hiyo ,mtu mwingine aliyesoma mtiriko huo ni bwana mdogo Raphael aliyekuwa geniuz wa kudraw huko Basilia,Roma....haya maneno niliambiwa na jamaaa mmoja yupo mwaka wa 6 upadri na alinidokezea sana kwa hiyo ilikuwa ni katika kujaribu kuelezea how the truth is inside the current bible...
 
For atheist
IMG_20180808_210754_227.JPG
 
Ila Biblia inamtambua Seth pekee kama mtoto wa kwanza wa Adam..... Ila seth ni mtoto wa 3 wa Hawa!!! Ikimaanisha abel na cain hawakuwa watoto wa Adam labda kama una chanzo tofauti unaweza kutuelimisha zaidi
Tayari umejichanganya mkuu uzi umeshaharibika
 
Tayari umejichanganya mkuu uzi umeshaharibika
Nimejichanganya wapi mkuu?? Nimekuwekea tafsiri ya Biblia ya NJT inayotumika dunia nzima pia inaonyesha Adam akikiri kuwa amepata mtoto kwa Hawa kupitia MALAIKA wa BWANA na nimeshakupa mstari unaoonyesha KUMJUA Hawa haina maana ya kumlala sijui kama umesoma uzi wote au umeanzia hapa tu
 
Nimeshauchambua huu mstari mkuu mbona unaturudisha nyuma?? Nyenda kwenye post #1 nimedecode huu mstari kuonyesha ulikuwa na maana nyingine kabisa kiebrania sasa badala ya kucopy biblia iliyotafsiriwa kwanini usilete hata Biblia ya kiebrania ndio tuujadili hapa kama nilivyofanya??

Kuhusu Cain kutokuwa mtoto nimeweka supporting verses ikiwemo agano jipya kutomtambua kama bloodline ya Adam na pia nimeweka tafsiri inayoonyesha Cain alitokana na malaika sio Adam sasa why unaquote hii biblia kwanini usiquote New Jerusalem Translation Bible inayosema hayo niliyoandika humu??

Soma upya uzi ndio uje na critique sio screenshot za biblia iliyotafsiriwa kutoka lugha ya 4
 
Hiyo maana umeitoa wapi na kwanini umeamini katika maan hiyo hasi zaidi kuliko hii pia hebu fafanua hapo Adam akamjua Hawa ndo wakampata Kaini maana yake ni nini mkuu
 
Naye alimlala Hawa so akawa ameonja tunda!!
Mkuu siyo kweli unadanganya! Kinacho semwa nikitu cha kula siyo ngono. Mwanamke alipoona ya kuwa ule mti wafaa kwa chakula, wapendeza macho, nao ni mti wa kutamanika kwa maarifa, basi alitwaa katika matunda yake akala, akampa na mumewe, naye akala.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom