Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,352
- Thread starter
- #81
Ila unaweza kuta we ni X wangu kwenye ID yako nyingine 🤣🤣🤣🤸🤸Hakika, wala sina mpango wa kufahamiana na yeyote. Nadunda na ID yangu ya kitambo.
Nenda JF GArage mkuu utanishukuru baadae😂Ngoja niweke kambi hapa huenda nikaona jina langu natafutwa.
Yakawaje jamani 🤣🤣🤣Niliwah kumpenda mkaka wa kule selfika lkn mambo yalikua sio mambo kila mtu akapita hivi.
Ndio wapi huko Mkuu? hebu nitoe ushamba.Nenda JF GArage mkuu utanishukuru baadae😂
Weekend njoo gran melia utatukuta..au chagua ww locationNjoo nae![]()
Sina ID ingine, mimi nadunda na hii hii.Ila unaweza kuta we ni X wangu kwenye ID yako nyingine 🤣🤣🤣🤸🤸
Gran Melia ndio wapi mkuu?Weekend njoo gran melia utatukuta..au chagua ww location
Shida inaanza nilimuelewa kuliko alivyonielewa akawa ananiletea sana pozi nikaona isiwe kesi ikawa boy byeeee.Yakawaje jamani![]()
Hutaki waliowowaaa![]()

🤪🤪 Kwenye jina lake kuna alphabet ya 5 eeehShida inaanza nilimuelewa kuliko alivyonielewa akawa ananiletea sana pozi nikaona isiwe kesi ikawa boy byeeee.
Waliowowa hapana nan anataka kufichwa kama picchu, hao sitaki labda nisijue![]()
Ni sehemu wanauza mbege huku kibosho juu..tumia google map itakuelekeza vzurGran Melia ndio wapi mkuu?


Sijawahi fika hayo maeneo mkuu 🙌Ni sehemu wanauza mbege huku kibosho juu..tumia google map itakuelekeza vzur![]()






Utangulizi kwaNzaNdio wapi huko Mkuu? hebu nitoe ushamba.
Nilimpendaga kijana anashindaga kuleee JF garage 😂😂😂
Weeuhh alikuwa akinilike nasikia raha… alinikwoti nazimiaa sekunde 3.
Way back.. sahii feeelings zilikwenda na maji ya mvua ya msimu uliopita.
Ila kijana hajui
baada kusoma hizi comments nenda kwenye list ya forums za JF utaionaJf garage ndio nilikuwa namuona sana bana🤣🤣🤸
Nimegundia kitu ila Ntaanza kushinda huko😂Jf garage ndio nilikuwa namuona sana bana🤣🤣🤸
Sio huyo bwanaKwenye jina lake kuna alphabet ya 5 eeeh
Ungeacha akuelewe sana yeye, hao watu tukianza kuwaelewa sie wanaanza na mashauzi.
![]()
😂😂😂Ila unaye mpenda mtu humu ni Sophie na even salt hao ukiwasikia na Kelsea wewe unaweweseka