Je, hili limewahi kukutokea?

Je, hili limewahi kukutokea?

Umewahi mpenda mtu humu Jamii Forums ukaona huyu kakupenda kweli na ukampenda kweli halafu mlipoachana ikakuuma roho? Mimi ndiyo.

Niliwahi kumpenda mwanaume humu na hakuniacha, ila nilishindwa masharti, ila waleo namkumbuka sana. Ila yeye ndiyo basi tena, hajali tena, kipindi cha 2019 nilipofungua Unique Flower.

Je, wewe iliwahi kukutokea hali hii?
Imeisha hiyo...
 
Nakumbuka mwaka 2016 kuna mdau mmoja wa JF nilikuwa napenda sana uchangiaji wake kiasi cha kumfuata privately. Tukawa tunachat dhamira ikiwa ni kuja kutongozana hii yote kwa taswira tu niliomjengea kichwani mwangu kama pisikali fulani maana hatukuwa tumeshea picha. Ila kwa story zake alikuwa ni corporate lady umri wa makamo. Na michango yake yote ilikuwa anatoa kama binti.

Siku moja kulikuwa na tafrija Bank ya Diamond Trust wateja walialikwa tawi la Masaki. Kuna msela tulikuwa sehemu moja tunapiga stori kama wawakilishi wa kampuni zetu za ajira. Ikiwa tunachezea simu zetu huku tukiongea ghafla akanionyesha article JF huku akisema subiri a log in ili acomment. Si ndio kuona yule demu wangu wa inbox ndio msela kupitia log in details maana hakuficha.

Sikusema chochote ila baada ya hapo nilimblock kabisa. ID yake nikiangalia sasa hivi ilikuwa active mara ya mwisho 2018.
Nimetaja jina la eneo tulikokutana ili mwamba kama yupo humu kwa ID nyingine ajue kuwa nilimshtukia kuwa ni dume na hata mpaka leo sijui alikuwa na nia gani. Maana wasifu wake wa kazi aliotumia nikiwa na chat nae unashabihiana na ule wa uhalisia katika udume wake na hili nilijua tulipokuwa tunapiga story bank.
Toka siku hiyo nachukulia ma member wote humu kuwa ni madume kama mimi tu.
 
Nilimpendaga kijana anashindaga kuleee JF garage 😂😂😂
Weeuhh alikuwa akinilike nasikia raha… alinikwoti nazimiaa sekunde 3.

Way back.. sahii feeelings zilikwenda na maji ya mvua ya msimu uliopita.

Ila kijana hajui
Aisee
 
Nakumbuka mwaka 2016 kuna mdau mmoja wa JF nilikuwa napenda sana uchangiaji wake kiasi cha kumfuata privately. Tukawa tunachat hivyo hivyo dhamira ikiwa ni kuja kutongozana hii yote kwa taswira tu niliomjengea kichwani mwangu kama pisikali fulani maana hatukuwa tumeshea picha. Ila kwa story zake alikuwa ni corporate lady umri wa makamo. Na michango yake yote ilikuwa anatoa kama binti.

Siku moja kulikuwa na tafrija Bank ya Diamond Trust wateja walialikwa tawi la Masaki. Kuna msela tulikuwa sehemu moja tunapiga stori kama wawakilishi wa kazi zetu. Ikiwa tunachezea simu zetu huku tukiongea ghafla akanionyesha article JF huku akisema subiri a log in ili acomment. Si ndio kuona yule demu wangu wa inbox ndio msela kupitia log in details maana hakuficha.

Sikusema chochote ila baada ya hapo nilimblock kabisa. ID yake nikiangalia sasa hivi ilikuwa active mara ya mwisho 2018.
Nimetaja jina la eneo tulikokutana ili mwamba kama yupo humu kwa ID nyingine ajue kuwa nilimshtukia kuwa na dume na hata mpaka leo sijui alikuwa na nia gani. Maana wasifu wake wa kazi aliotumia nikiwa na chat nae unashabihiana na ule wa uhalisia katika udume wake na hili nilijua tulipokuwa tunapiga story bank.
Dj waleteeeeeeeeeeeeeeeee🗣️🗣️🗣️
 
Kuna mtu mwingine alisemaga alimuona mtu hapa ndani ana ID ya kiume, ila kwenye daladala alikuwa wa Kike 😂😂

Back
Top Bottom