Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,171
Usikonde shostiiiSawa nipo serious
Usikonde shostiiiSawa nipo serious
Ndio kile Kisa Cha yule dada aliyezirai Kisa mpenzi wake ngoja niishie hapaHuyo mwenyewe mapenzi yanampelekesha, hapo katoka hospital alitundikiwa drip kisa stress za mapenzi
Ulikuja kugundua hana gari😁😁😁Niliwah kumpenda mkaka wa kule selfika lkn mambo yalikua sio mambo kila mtu akapita hivi.
Kwamba hamkuonana kabisa? Nimecheka asee!!Maisha ni fumbo ndugu zangu. Mimi niliwahi kumpenda mwananchi mmoja humu humu jf, na ilinoga hasa. Najua hata hapa atakuja kusoma, anyway!
Iliniumiza mno kutengana naye japokuwa haikuwa na jinsi - tofauti ya umri ilikuwa ni kubwa mno. Hilo jambo niligundua mwenyewe bila yeye kunijulisha. Ila usiombe, ni huzuni, tulikuwa tume-share mengi mno. Kama ni Long distance relationship isiyo na upweke wowote ndio ile sasa. Mdau alijua kupenda kwa kalamu, alionekana ni perfect match kama vile kuokota embe chini ya mnazi. Tulizoea kuongea mengi na kukubaliana lakini utata ukaanza pale tulivyoahidiana kukutana live maana tuliishi mikoa tofauti.
Imagine enzi hizo ilikuwa meseji zake nazisubiri huku kimoyo kinapwita! Na nikipokea ujumbe wake napata nguvu ya ajabu kuwajibika kwa ajili ya familia tarajiwa 😇
Alinijulia yule mtu, na alionekana ni 'jiniasi'. Pia kuna stori najua alidanganya na alijua nikijua lazima nitam-mind, ikafika mahali mawasiliano yakaanza kuisha polepole....hebu fikiria miezi minne ya raha za maandishi zikakatika ghafla!
J kokote uliko, maisha hayana fomula. Leo mwenzio nimekukumbuka na kukuenzi kwa maandishi haya.🥰
Acha tu mie hadi tulionana hadi Raha kabisa anajua kitu caring Ile kukataa atakacho basiMaisha ni fumbo ndugu zangu. Mimi niliwahi kumpenda mwananchi mmoja humu humu jf, na ilinoga hasa. Najua hata hapa atakuja kusoma, anyway!
Iliniumiza mno kutengana naye japokuwa haikuwa na jinsi - tofauti ya umri ilikuwa ni kubwa mno. Hilo jambo niligundua mwenyewe bila yeye kunijulisha. Ila usiombe, ni huzuni, tulikuwa tume-share mengi mno. Kama ni Long distance relationship isiyo na upweke wowote ndio ile sasa. Mdau alijua kupenda kwa kalamu, alionekana ni perfect match kama vile kuokota embe chini ya mnazi. Tulizoea kuongea mengi na kukubaliana lakini utata ukaanza pale tulivyoahidiana kukutana live maana tuliishi mikoa tofauti.
Imagine enzi hizo ilikuwa meseji zake nazisubiri huku kimoyo kinapwita! Na nikipokea ujumbe wake napata nguvu ya ajabu kuwajibika kwa ajili ya familia tarajiwa 😇
Alinijulia yule mtu, na alionekana ni 'jiniasi'. Pia kuna stori najua alidanganya na alijua nikijua lazima nitam-mind, ikafika mahali mawasiliano yakaanza kuisha polepole....hebu fikiria miezi minne ya raha za maandishi zikakatika ghafla!
J kokote uliko, maisha hayana fomula. Leo mwenzio nimekukumbuka na kukuenzi kwa maandishi haya.🥰
Ulikuja kugundua hana gari![]()
khaa jaman. Tulishindwana mambo mengine.Kwa mwanamke kuzungumzia Ma-Ex wake huwa kunaumiza wanaume wengi (wanaomtaka, walijaribu hata wanaotegemea kujaribisha bahati yao), ndo maana nikampa warning aishie hapo asije akaumiza hapa JF wanaume karibia wote isipokuwa mizeeJibu swaliiiii !!
🤣🤣🤣 yalopita si ndwele dyadyaaMie mwenyewe yalinishinda Saivi nimetuliza mshono tyu hapa!! in coca's voice bwahahahahahaa.
Dj waleteeeeeeeeeeeeeeeee 💃💃😘
Wanaume mna heka heka sana 😂😂Kwa mwanamke kuzungumzia Ma-Ex wake huwa kunaumiza wanaume wengi (wanaomtaka, walijaribu hata wanaotegemea kujaribisha bahati yao), ndo maana nikampa warning aishie hapo asije akaumiza hapa JF wanaume karibia wote isipokuwa mizee
Moyo wangu unasukuma damu tu si vingineMe phaller ? 🤣😂😂😂
Em tupee kisa chako dada
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huyo wa kunilaza hosp bado hajazaliwaaaHuyo mwenyewe mapenzi yanampelekesha, hapo katoka hospital alitundikiwa drip kisa stress za mapenzi
Nihonge damu na mieMoyo wangu unasukuma damu tu si vingine
Uliwahi mpenda mtyuuuuuu humuu????Kwa mwanamke kuzungumzia Ma-Ex wake huwa kunaumiza wanaume wengi (wanaomtaka, walijaribu hata wanaotegemea kujaribisha bahati yao), ndo maana nikampa warning aishie hapo asije akaumiza hapa JF wanaume karibia wote isipokuwa mizee
Kama una group A+ njoo🤗Nihonge damu na mie
😂😂😂😂 nitumie kwenye kibusKama una group A+ njoo🤗
Sema suu nimtag hapa saivi aje ashuhudie maneno yako🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huyo wa kunilaza hosp bado hajazaliwaaa
Weee😂😂😂😂 nitumie kwenye kibus