Je, hili limewahi kukutokea?

Je, hili limewahi kukutokea?

Wauweeeehhhhh!! Hadi mtu mzima umekiriiii lol!! Mpe hongera zakeeee Msukumaaa!!
Mapenzi ya utu uzima raha sana BL maana hakuna drama. We acha tu...

Mama E akipita hapa najua ataishia kutabasamu tu na lile tabasamu lake liletalo matumaini mema kama jua mchomozo kwenye nchi iliyogharikishwa! Na jioni lazima niletewe kizawadi. Yaani [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Much congrats msukumaaaa!! Shikilia hapohapooooo👌👌👌
 
Mapenzi ya utu uzima raha sana BL maana hakuna drama. We acha tu...

Mama E akipita hapa najua ataishia kutabasamu tu na lile tabasamu lake liletalo matumaini mema kama jua mchomozo kwenye nchi iliyogharikishwa! Na jioni lazima niletewe kizawadi. Yaani [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Nzuri sana hii, pongezi zenu wewe na mama E...... enjoy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakiii tenaaa😁😁😁😂😂😂😁😂! Hekaheka za mapenzi suziwezagi kabisa mwenziooo😂😂😂🤣🤣🤣!!
So humunnipo kama sipoo walaiii! Una mtu uniunganishie Ndugu 🤔🤔🤔!!😂😁😁😁😁
Hahaha, mkuu tangu ulipoacha kukwoti hutaki tena..hekaheka za humu labda zinataka uwe underground ndio utafaidi...LABDA..mimi haya mambo pia kwangu magumu🤣🤣
 
Sikuhizi Sina mtuuuuuu humuuu Sipendi wala sijawahi pendaaaa mtu humu tenaa mieeee!! 🙇🙇🙇🙇!!
Yan nimekumbuka Coca alisema vibabu vilivyokataa kuzeeka.. hatuvitakii

Nacheka hadi tumbo linauma 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Kweli teinaaa [emoji16][emoji16][emoji16]! Usinambie unajua nampenda nani humu mimii??[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]!
Sinaaaa hataaa sijapenda wala kupendwa mieb!! Nimedodaaa tyuuuu
Antonnia!!!..... antonnia!!.....acha kuficha hisia zako kwa naniliu[emoji1732][emoji1732][emoji1732]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimpendaga kijana anashindaga kuleee JF garage [emoji23][emoji23][emoji23]
Weeuhh alikuwa akinilike nasikia raha… alinikwoti nazimiaa sekunde 3.

Way back.. sahii feeelings zilikwenda na maji ya mvua ya msimu uliopita.

Ila kijana hajui
Sijapenda hapo pa kuzimia sekunde 3 ungefanya hata 10...ulimpenda kweli??[emoji849]
 
Back
Top Bottom