Quruxbadan
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 232
- 80
- Thread starter
- #61
Kwa mm mwanasaikolojia nishakusoma,una infiority complex,nitafute nikutibie,pole sana
Do I thnk am inferior ar that they are, changanua mwanasaikolojia
Kwa mm mwanasaikolojia nishakusoma,una infiority complex,nitafute nikutibie,pole sana
Na wewe hiko ndio nini sasa?!
kutia ni moyo c utajir!!
.........fikiria nlilokuambia....lol!!!!!! unanifatilia????! mie na uzamani wangu vinakuhusu nini???!
leo niko kwenye mood nzuri sana otherwise....... haaaaaaaaa!!!!
kama mie wa kizamani, mechunaji,, sifanyi kazi na mama ako je??????
kwa kunifatilia huko nimegundua huna kazi.... haaaaa!!!!!
as long as yangu yako kwenye mstari povu litakutoka saaana tu!!!"
What??! Did I reaLly type that lool
umelogwa haki ya mungu tena...
nilipe ???mmmh
.........fikiria nlilokuambia....
mi mzima best, naona tunapishana kwenye nyuzi nyuzi teh teh.. daah hii thread imeninipa kutabasamu aisee..
....maneno mengi ya nini....if its not worth it acha....ila jitahidi ubadilike...fungua website utoe ushauri lkn kwangu unajisumbua.......
hiyo tabia ya kufutilia usiyemjua ni bora uache maana siku nikijionyesh a kwako utatoa jasho la aibu!!!!!!!
...mwanamke wa kisasa mjanja ndo anakua hivyo...hata mwanaume anakuheshimu....Napenda kuchangia bili pia. Unless otherwise.
....maneno mengi ya nini....if its not worth it acha....ila jitahidi ubadilike...