...aya..kubishana sana siwezi!!!!! kubadilika not yet,,, but till i reach n' complish dreams
zangu....
kama nakuboa take a chill pill byeeee!!!!!!
Niwaulize nyie wanaume how do u fill when a woman pays the bill. Je mnahisi ni poa tu au mnahisi as if amekudharau kiaina flani
Je hii tabia niiache au vp??
I dnt want to disrespect any1!
...mwanamke wa kisasa mjanja ndo anakua hivyo...hata mwanaume anakuheshimu....
Mwamamme "Yahaya" hata ww Quruxbadan ulipe bills kila mkienda out yy kwake poa tu !Mwanamme rijali kama mm siwezi ruhusu nilipiwe bills na ww au na mwingine yyt zaidi ya mara 2!
Mwanadam ambaye anakubali kulipiwa bills zaidi ya mara moja na mtu ambaye wala sio mpenzi wake wala sio mzazi wake wala sio ndugu yake wa damu mm huwa namchukulia kama hamnazo!
Hata kama ni rafiki yangu wa karibu uki clear bills week hii basi week ijayo nitajitahidi nilipe mm na kama sitakuwa na pesa out siendi!
........acha ukilazaKumbe kumheshimu mwanamke ni mpaka ulipiwe bill mkuu
to me i will respect her and the relationship we have, and to me its a nice thing.Habarini zenu wana MMU
Hope muwazima na weekend inawaendea poa!
Actually kilichonisukuma kuweka huu uzi ni mawazo nliokua nao,
Hope mtanisaidia kwa hili.
Mimi nna tabia moja ambayo sielewi kama ni nzuri au mbaya, na itanicost vp
Hua nikitoka out na marafiki especially wa kiume hua mimi nalipa bili, yani ndo nilivyo, no matter if ni rafiki tu ama ndugu as am currenly not dating, lazma nilipe mimi, nisipofanya hvyo sitojiskia vizuri na roho yangu haitakua na amani au labda tulipe nusu kwa nusu.
Niwaulize nyie wanaume how do u fill when a woman pays the bill. Je mnahisi ni poa tu au mnahisi as if amekudharau kiaina flani
Je hii tabia niiache au vp??
I dnt want to disrespect any1!
Habarini zenu wana MMU

Yah RESPECT
Sipendi kuonekana dependable
Nothing worth more than Dignity