Quruxbadan
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 232
- 80
- Thread starter
- #41
Tabia yako si mbaya. Lakini ni vyema kuwa mwangalifu kwani wengine huwa wana negative attitude has wakishakufahamu kuwa wewe ni mtoaji, wanaweza kukutumia kama door mat. Mie ni mtoaji mzuri hasa tukiwa kwenye group settings huwa nalipa bili wengine huchukulia advantage, ukishawafahamu watu hao wala haikupi shida. Ni vyema kujifunza hivi vitu vipo....
Yah watu kama hao ni kawaida kukumbana nao, jus kuwazoea tu na kuwachukulia kama walivyo