Quruxbadan
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 232
- 80
- Thread starter
- #21
kwa maendeleo sio nzuri punguza au acha kabisa!!!!
Maybe, lkn mazoea hujenga tabia asee
kwa maendeleo sio nzuri punguza au acha kabisa!!!!
...aise ntafurahi...japo na mi ntachangia lakini at least inakuwa sio km wanawake wengine wanafanya km wanatukomoa hivi...nt
Habarini zenu wana MMU
Hope muwazima na weekend inawaendea poa!
Actually kilichonisukuma kuweka huu uzi ni mawazo nliokua nao,
Hope mtanisaidia kwa hili.
Mimi nna tabia moja ambayo sielewi kama ni nzuri au mbaya, na itanicost vp
Hua nikitoka out na marafiki especially wa kiume hua mimi nalipa bili, yani ndo nilivyo, no matter if ni rafiki tu ama ndugu as am currenly not dating, lazma nilipe mimi, nisipofanya hvyo sitojiskia vizuri na roho yangu haitakua na amani au labda tulipe nusu kwa nusu.
Niwaulize nyie wanaume how do u fill when a woman pays the bill. Je mnahisi ni poa tu au mnahisi as if amekudharau kiaina flani
Je hii tabia niiache au vp??
I dnt want to disrespect any1!
...Nakucheki nakuona kama...mwanamke wa kizamani..mchunaji...hutaki kufanya kazi unategemea mwanaume akupe hela....nakuona kama unapenda maisha rahisi...upo tayari hata kutoa k kwa ajili ya hela...hii nimekusoma kupitia post zako badilika..!!kwa maendeleo sio nzuri punguza au acha kabisa!!!!
Habarini zenu wana MMU
Hope muwazima na weekend inawaendea poa!
Actually kilichonisukuma kuweka huu uzi ni mawazo nliokua nao,
Hope mtanisaidia kwa hili.
Mimi nna tabia moja ambayo sielewi kama ni nzuri au mbaya, na itanicost vp
Hua nikitoka out na marafiki especially wa kiume hua mimi nalipa bili, yani ndo nilivyo, no matter if ni rafiki tu ama ndugu as am currenly not dating, lazma nilipe mimi, nisipofanya hvyo sitojiskia vizuri na roho yangu haitakua na amani au labda tulipe nusu kwa nusu.
Niwaulize nyie wanaume how do u fill when a woman pays the bill. Je mnahisi ni poa tu au mnahisi as if amekudharau kiaina flani
Je hii tabia niiache au vp??
I dnt want to disrespect any1!
Kumbe wanaume wanapenda mteremko eeeee
Doesn't matter utajiri wako, 50 50 jitahidi sana, u respect they respect,
...Nakucheki nakuona kama...mwanamke wa kizamani..mchunaji...hutaki kufanya kazi unategemea mwanaume akupe hela....nakuona kama unapenda maisha rahisi...upo tayari hata kutoa k kwa ajili ya hela...hii nimekusoma kupitia post zako badilika..!!
Tabia yako wala sio mbaya hata kidogo,na kwa kweli wewe unafaa kuwa mke.Unajua mke na mume ni mwili mmoja,sasa iweje mume atoe peke yake tu ingali wewe una uwezo pia?Mwanaume yeyote atayekwambia kuwa ni tabia mbaya na anakukatalia kata kuchangia basi jua huyo hata atakapokuoa basi anaweza kukuzuia pia husifanye kazi ili uwe mama wa nyumbani.Wanaume ni kweli tunapenda kuonekana tunatimiza wajibu kwa kufanya kila kitu,lkn ukweli ni kuwa hatupendi wake magolikipa.Lakini angalizo,husitoe hela kwa majigambo na kumfanya mwanaume ajione kama umemuona hawezi kulipia.Mwanaume yuko radhi hata kwenda kuiba lakini asidharaulike mbele ya mkewe!
...aise ntafurahi...japo na mi ntachangia lakini at least inakuwa sio km wanawake wengine wanafanya km wanatukomoa hivi...nt
Ze Man ndiye mlipaji kwetu aibu Madame kulipa centi!!