Je, hii ni sawa?


Mkuu wangu nimeongea kiutani sikua serious na pia mimi sina maisha magumu kama unavyosema. Na kumbuka ni hulka yetu wanaume kamili kuwaza chini inapotokea una ham, au vip siku njema huko uliko.
 
Halafu kwanza sio kila mwanamke lazima aolewe,pambana na maisha wewe kama wewe ,ikitokea mungu akakupatia mume shukuru,chukua hatua.ulipofikia hapo naunga mkono hoja ya wewe kuondoka hapo nyumbani.

Kila mwanamke akiolewa nyumba ndogo tutatoa wap
 
Mkuu wangu nimeongea kiutani sikua serious na pia mimi sina maisha magumu kama unavyosema. Na kumbuka ni hulka yetu wanaume kamili kuwaza chini inapotokea una ham, au vip siku njema huko uliko.
Sawa mkuu mengine ni nyongeza tu lakini hoja ilikuwa ni umuhimu wa mchango wako jukwaani asante na siku njema kwako pia
 
Atleast nimepata anaeelekeana na mawazo yangu asante kwakuchangia kuhusu hao wadada ntazingatia
Ukiwa unataka ushauri hakikisha auna mawazo yako binafsi na km Unamawazo yako binafsi yafanyie kazi ayo ayo maana wew unakua tayar na mapendekezo yako ivyo ata ukishauriwa nikazi bure nakushaur usitafte kushauriwa na unamapendekezo yako utapotea
 
Wewe kuna kitu hauko sawa ndo maana wazazi wako hawataki uhame. Labda tukuulize, huo uhuru unaotaka ni uhuru gani? Nini unakosa by the way.
Au unafata mkumbo kuona mabint wengine wamepanga nawe ukapange unahisi kuna kitu umepungukiwa?

Wewe hauko sawa somewhere ndio maana hata uzi huu umeuweka MMU.
 

Asante kwa ushauri nimekwelewa
 

Sawa ninekuelewa mkuu ingawa sivyo ninavyofikiria
 

Asante
 
Hata me nimesoma majibu yake hapa naona hajafata ushaur ila amekuja kututarifu kuwa anapanga
Aisee usisahau kunambia umehamia wap niwe nakuja kupaki Bm yangu hapo

Umekuza mambo mkuu siko huko
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…