Sawa sawa, na kwanini unazaliwa katika familia duni bila ridhaa yako? Au tuseme kwa nini hayo mazingira, watu, au malezi yawe tailored vyema kwa wengine vyema na kwa wengine vizuri.Sijasoma maelezo yote, lakini hakuna mtu aliyepangiwa hatima.
Njia unazopitia, sehemu ulikozaliwa au kulia, familia uliyozaliwa, na mpambano ndivyo vitu vitakavyofanya uinuke au ubaki palepale.
Nadhani ni nature tu. Binadamu wawili (wa kiume na wa like) wakingonoka, bila kujalisha sehemu basi mimba hutungwa na mtoto akizaliwa.Sawa sawa, na kwanini unazaliwa katika familia duni bila ridhaa yako? Au tuseme kwa nini hayo mazingira, watu, au malezi yawe tailored vyema kwa wengine vyema na kwa wengine vizuri.
Au nikuulize kwa nini tunasema wewe una bahati ya kuzaliwa sehemu fulani na mwingine awe na bahati mbaya?
Bila shaka point yako inamashiko pia
Sawa mkuuNadhani ni nature tu. Binadamu wawili (wa kiume na wa like) wakingonoka, bila kujalisha sehemu basi mimba hutungwa na mtoto akizaliwa.
Watu wote ni sawa tu tofauti tunaiona leo kwa sababu sehemu zingine zimeendelea kuli zingine ( mfano mijini na vijijini). Leo hii mtu anatamani angezaliwa sehemu fulani au katika familia fulani kwa sababu ya tofauti hizo, lakini hapo mwanzo kabla ya hizi tofauti kijitokeza huwezi kukuta mambo haya.
Kama ni mzazi utaelewa, unaanza kuona hatma ya wanao tangia wakiwa watoto. Kama hujawahi kung'amua hilo anza kuwachunguzaKatika kukuwa nilikuwa naskia huyu kijana, au huyu mtoto lazima aje aibadilishe hii familia, au huyu mtoto atakuja kuukomboa huu ukoo kutoka umaskini.
Ufalme ukianguka unaanguka kweli unabakia historia tena mbaya au tajiri akifirisika watu wanabaki wanamshangaa. Wewe unashangaa dola ya Misri soma dola ya Ugiriki ndio utabakia kinywa waziunaambiwa ancient Egypt kule ndo ilikuwa matajiri wa ulimwengu. Walikuwa na majumba ya gold, zile pyramids zilikuwa na na wafalme ngozi nyeusi, na kulikuwa na watu wenye uelewa Mpana sana wa kifikra na kisayansi mpaka kuacha alama na lugha za kipekee ambazo zinazidi kupotezwa na kuficha na hao hao wazungu
Ndo maana tunapaswa kuwasiliza sana wazazi ni kama Mungu wetu wa pili... Japo pia yapaswa kuwa na discernment maana kuna muda wazazi wanaweza kugeuka kuwa mwiba nankimdumaza mtoto kufikia malengo...Kama ni mzazi utaelewa, unaanza kuona hatma ya wanao tangia wakiwa watoto. Kama hujawahi kung'amua hilo anza kuwachunguza
Hata siku soma kiundani zaidi, ila naambiwa ancient civilizations zilikuwepo na zikapita na nyingine kuibuka...Ufalme ukianguka unaanguka kweli unabakia historia tena mbaya au tajiri akifirisika watu wanabaki wanamshangaa. Wewe unashangaa dola ya Misri soma dola ya Ugiriki ndio utabakia kinywa wazi
Hili jambo halina jibu la mkato, kwani mtazamo wake unategemea imani ya kidini, falsafa, na mtazamo wa mtu binafsi kuhusu maisha.
Nadhani tafsiri ya nitabariki kazi ya mikono yako ndo hii.Kwa ujumla, watu wengi hupata suluhu katikati kwa kuamini kuwa Mungu anatoa uwezo na fursa, lakini mwanadamu ana wajibu wa kuchagua na kufanya kazi kwa bidii ili kutengeneza mwisho mwema wa maisha yake.
Hakika mkuu, Nashukuru kwa kuliweka hili jambo wazi.Hili jambo halina jibu la mkato, kwani mtazamo wake unategemea imani ya kidini, falsafa, na mtazamo wa mtu binafsi kuhusu maisha.
Upande mmoja wa kiroho na kidini unaamini kuwa hatima ipo na imepangwa kikamilifu na Mungu kabla hata mwanadamu hajazaliwa, huku kukiwa na dhana ya "wasaidizi wa hatima" wanaotumwa kuongoza njia ya mtu.
Kwa upande mwingine, wanafalsafa na wataalamu wa maendeleo binafsi wanasisitiza kuwa hatima haipo kama maandishi yaliyofungwa, bali ni matokeo ya ndoto, maamuzi, na nidhamu ya mtu mwenyewe, ambapo tabia mbaya zinaweza hata kuiharibu.
Hatimaye, mifumo ya unajimu na namba za kuzaliwa huona hatima kama mtiririko wa nishati na karma unaoamua changamoto za maisha.
Kwa ujumla, watu wengi hupata suluhu katikati kwa kuamini kuwa Mungu anatoa uwezo na fursa, lakini mwanadamu ana wajibu wa kuchagua na kufanya kazi kwa bidii ili kutengeneza mwisho mwema wa maisha yake.
Hakika, maana sio coincident unaona hili jambo likijirudia throughout scriptures and ancient texts.Upande mmoja wa kiroho na kidini unaamini kuwa hatima ipo na imepangwa kikamilifu na Mungu kabla hata mwanadamu hajazaliwa, huku kukiwa na dhana ya "wasaidizi wa hatima" wanaotumwa kuongoza njia ya mtu.
Baada ya kufatilia kwa chache kuhusu astrology na numerology nilijikuta tu, naanza kuona link isiyo kwepeka kuhusiana na mambo haya... It is all aligning na maisha yangu, majina na tarehe za kuzaliwa.Kwa upande mwingine, wanafalsafa na wataalamu wa maendeleo binafsi wanasisitiza kuwa hatima haipo kama maandishi yaliyofungwa, bali ni matokeo ya ndoto, maamuzi, na nidhamu ya mtu mwenyewe, ambapo tabia mbaya zinaweza hata kuiharibu.
Nakubalina nawe ya kuwa watu husubiri uwafikie mwisho wa safari ndo waanze kuona hiki kitu.Kwa ujumla, watu wengi hupata suluhu katikati kwa kuamini kuwa Mungu anatoa uwezo na fursa, lakini mwanadamu ana wajibu wa kuchagua na kufanya kazi kwa bidii ili kutengeneza mwisho mwema wa maisha yake.
Mkuu Degu,@de Gunner,destiny ipo,hupangwa na Mungu,kila kiumbe ile siku anakuwa conceived,anakuwa ameishapangiwa destiny yake,ndio maana kwenye kila familia kunatokea mtoto mmoja anakuwa the choosen one,anaibeba hatma ya familia hiyo
Mkuu umeongea ukweli mkubwa sana.Mkuu Degu,@de Gunner,destiny ipo,hupangwa na Mungu,kila kiumbe ile siku anakuwa conceived,anakuwa ameishapangiwa destiny yake,ndio maana kwenye kila familia kunatokea mtoto mmoja anakuwa the choosen one,anaibeba hatma ya familia hiyo
Mara nyingi the chosen one huwa ni first born boy,lakini sometimes huwa ni mtoto mwingine yeyote hata mtoto wa kike.
Hata hiki kinachoendea nchini kwetu,kama the chosen one ndiye huyu anayekuwa persecuted,then Yeye huweza kulifanya lile jiwe lililokataliwa na waashi,kuwa jiwe kuu la pembeni!.
P
True.The link btween destiny and jitihada is directly proportional
Kuna ukweli. Imagine uhusiano wa malengo ya Makamo wa raisi mpya miezi sita nyuma na mipango yake leo. Ni destiny au kazi kwa bidii ndo imemfikisha hapa?Mkuu Degu,@de Gunner,destiny ipo,hupangwa na Mungu,kila kiumbe ile siku anakuwa conceived,anakuwa ameishapangiwa destiny yake,ndio maana kwenye kila familia kunatokea mtoto mmoja anakuwa the choosen one,anaibeba hatma ya familia hiyo
Mara nyingi the chosen one huwa ni first born boy,lakini sometimes huwa ni mtoto mwingine yeyote hata mtoto wa kike.
Hata hiki kinachoendea nchini kwetu,kama the chosen one ndiye huyu anayekuwa persecuted,then Yeye huweza kulifanya lile jiwe lililokataliwa na waashi,kuwa jiwe kuu la pembeni!.
P
Bahati ni random chance, Haina maana yoyote kuuliza kwa nini mtu kuzaliwa sehemu fulani, familia fulani au na wazazi fulani.Sawa sawa, na kwanini unazaliwa katika familia duni bila ridhaa yako? Au tuseme kwa nini hayo mazingira, watu, au malezi yawe tailored vyema kwa wengine vyema na kwa wengine vizuri.
Au nikuulize kwa nini tunasema wewe una bahati ya kuzaliwa sehemu fulani na mwingine awe na bahati mbaya?
Bila shaka point yako inamashiko pia