Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 35,826
- 47,147
....🙄🙄🙄....kabisa mkuu, tena hapo ushukuru siku hiyo wasiwe wameongeza na uchungu wa maisha, watakusema sana mpaka ukonde ndo mana unaona yule gavana anaongezeka matako maana anasemwa kila muda anatupiwa laana
Dah!.. mkuu umewaza nini mpaka ukaandika haya....🙄🙄🙄.
Ila kusema kweli tabia za Watz ni pasua kichwa.
