To be honest, kutumia fedha ambayo haijaidhinishwa na Bunge ni grave financial deviation and misconduct. Kama Bunge halitamchukulia hatua then ile kauli ya Prof Mussa Assad itajidhihiri tena kuwa "Bunge ni Dhaifu"
Zile institutions zilizo chini ya Wizara ya Utalii yaani TANAPA, NCAA, TAWICO, zimekuwa zikilazimishwa kutoa fedha ambazo Wizara haina kasma.
Kwa ajili ya kumuwezesha Kigwanga ku- hang out na akina MwanaFA au Shilole au Steve Nyerere. Yawezekana hizo institutions zimekuwa fed up na Kigwanga na ndiyo zimetoa data kwa CAG ili kumtuliza Waziri kwenye huo ukamuaji.
Kigwanga kwa kweli alikuwa hajawiva kuwa Waziri kamili kwa Wizara nyeti kama hiyo aliyonayo.