Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,042
- 134,328
aliambiwa na wadau humu
Kigwangala ni bakwata!Uislam hauujuwi wala Kigwangwala haumjui, huna haki ya kuongelea kitu usichokifahamu.
Kigwangwala si msimamizi wa fedha za wizara.sasa kwani Allah hataki utawala bora, usimamizi na matumizi bora ya fedha za umma na kodi za waislamu na wasio waislamu? je mtu akishindwa kusimamia eneo lake la kazi ambalo alipewa na Allah, Allah huchukua hatua gani? Kigwangwala toka amemaliza MD amepractice udaktari kwa miaka mingapi? je ni daktari specialist wa nini?
Taasisi ya Saleh Masasi!Hata akiwa bakita, tatizo nini?
Anagonga kama kawa!
Unangoja nini haumshtaki? Au hauelewi vituo vya polisi vilipo?Pumbafu kwa uislam ni wizi?
Naona Una mawazo ya kibiblia maana kwa mujibu wa Biblia shetani kilimkumba hata "Mungu" Yesu Kwa siku 40! Jinsi mnavyomuheshimu sikushangai maana ni biblia inasema, soma..
https://www.jamiiforums.com/threads/biblia-inasema-shetani-ni-mungu-wa-dunia.1687189/
Nape huyu aliyeenda ikulu akatembezwa kwa miguu kutoka Getini mpk ikulu huku anasema mh. Rais wewe ni baba yangu nisamehe tu baba sijui nini.Kufa na tai shingoni Bashite sijui ana nini duh! akitaka uondoke unaondoka kweli
Ila nimependa ujasiri wake Mwanaume unatakiwa kufa kiume kama walivyo ondoka CAG, Mafuru, na Nape.
sio unaondoka kizembe kama wakina Mwigulu na Lugola.
Atumbuliwe tu atamuandamaje meya wetu wa Iringa na chatu wakeUkiwa matured aikusumbui,kazi huwa ngumu kama utaamua kupambana na watu kuliko maendeleo
sasa kwani Allah hataki utawala bora, usimamizi na matumizi bora ya fedha za umma na kodi za waislamu na wasio waislamu? je mtu akishindwa kusimamia eneo lake la kazi ambalo alipewa na Allah, Allah huchukua hatua gani? Kigwangwala toka amemaliza MD amepractice udaktari kwa miaka mingapi? je ni daktari specialist wa nini?
ushaanza kuingiza udini.we vipi
View attachment 1411989
Hii ndio kauli yake baada ya mashambulizi kutoka pande zote baada ya ripoti ya CAG
Nasikia jamaa alimtoa kafara hadi mtu wake wa karibuKesha enda kibla huyo. Labda aite wale waganga wake wafanye tambiko lingine
Kwa sasa watu washachoka kunyenyekea maana washatengeneza za kutoshaHapa " msongo wa mawazo" unahusika!
Alikuwa anamjibu nani kwa lugha hii isiyo ya kiuongozi na iliyopungukiwa shukrani na adabu kwa mteuzi!
Hiyo profession yake ashaitumia wapiKumbuka Kigwangwala ni Muislam, mteuzi ni Allah pekee siyo binadam mwenzake.
Besides, Kigwangwala ana profession yake, sijui wewe?
Hapa alivuka mpaka wa Serengeti akaingia Masai Mara au? Maana anavo burutwa kama askari wa Kenya wamemkabidhi kawa polisi wa Tz, jamaa naona keshamtwisha gongo mguuni hapo.
Hajakata tamaaView attachment 1411989
Hii ndio kauli yake baada ya mashambulizi kutoka pande zote baada ya ripoti ya CAG
View attachment 1411989
Hii ndio kauli yake baada ya mashambulizi kutoka pande zote baada ya ripoti ya CAG
Bwashee nguvu ya mamba iko kwenye maji huyo akishaachia uwaziri atakuwa kama Ngeleja atakachomzidi ni mavazi tu vipedo na makobasi!Kwa sasa watu washachoka kunyenyekea maana washatengeneza za kutosha
In God we Trust