johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,528
Hahahaaaaa...... Itakuwa pale WAMA!
Hahahaaaaa...... Itakuwa pale WAMA!
Tatizo yule Bwana wa Ikulu mteuzi huwa anayapenda majitu kama haya. Anaweza asichukue hatua yeyote dhidi ya Kigwanga.
Mm najua alikuwa na kampuni ya kununua pambaAah, kumbe huijuwi profession yake.
Wapiga kura wake mnazingua sanaView attachment 1411989
Hii ndio kauli yake baada ya mashambulizi kutoka pande zote baada ya ripoti ya CAG
Kwani yule mcheza ngoma keshazirudisha?
kashikwa na kigogo2014
Yani wewe ni mdini sana, kumbuka hiyo dini ililetwa na wakoloniKumbuka Kigwangwala ni Muislam, mteuzi ni Allah pekee siyo binadam mwenzake.
Besides, Kigwangwala ana profession yake, sijui wewe?
Sio mwanasiasa ukiwa unavuta pumzi!Amesahau kwamba ili uwe mwanasiasa yapasa uwe na ngozi ngumu?
😆😆😆Kigwangala ni bakwata!
Kwani anaeongelewa hapa ni dini gani?
(a) Unaelewa kwamba hapakuwa na bado hakuna lengo la kuihusisha Dini ya Mtume Mohammad ( S. A.W) kwenye majadiliano?Kwani anaeongelewa hapa ni dini gani?
Ohooooo !!!Hicho kiajuza kinapenda sana kuharibu mijadala kwa kuingiza udini wakati kinakula kitimoto na K-Vant kinagonga, kinafiki sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh !Wapiga kura wake mnazingua sana
View attachment 1411989
Hii ndio kauli yake baada ya mashambulizi kutoka pande zote baada ya ripoti ya CAG

achen kumzinguaDuh !
Tatizo lenu ni umbumbumbu wa sheria ya ukaguzi. Audit Query siyo wizi au kosa la jinai ndiyo maana ikaitwa query wala siyo misappropriation au theft/fraud na ndiyo maana wizara na idara zinapewa muda wa kujibu query husika na mara nyingi hizo query hufutwa baada ya kupata majibu toka wizara au idara husika. Wizara au idara ikishindwa kujibu hizo Audit Query ndipo Police/PCCB investigations inakuwa initiated ili kujua ukweli kama kuna kosa la jinai ama la.Tatizo yule Bwana wa Ikulu mteuzi huwa anayapenda majitu kama haya. Anaweza asichukue hatua yeyote dhidi ya Kigwanga.
Asubiri janga la Corona lipite na yeye njeView attachment 1411989
Hii ndio kauli yake baada ya mashambulizi kutoka pande zote baada ya ripoti ya CAG
Kwani neno "Nimechoka" ni lazima litajwe ndipo ionekane hapo hakuna kiongozi tena?Hahahaaaaa....... Uongozi ni jalala bwashee.
Ukiona kiongozi anatamka neno " Nimechoka" ujue hapo hamna kiongozi tena!