Je, Dkt. Kigwangalla amekata tamaa?

Je, Dkt. Kigwangalla amekata tamaa?

Waziri kasema haogopi kutumbuliwa kwani kwanza AMECHOKA KUWATUMIKIA wasio na shukrani.
Mteuzi anasubiri nini kwa mtumishi ambaye ameshachoka kuwatumikia watu wasio na shukrani?
Maana wasio na shukrani ni wengi hivyo wanasababisha maumivu kwa wenye shukrani kwa Kigwangwala maana kachoka kuwatumikiaView attachment 1412289

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mtu mzima kama wewe unafanya mis reporting , kwenye jibu lake amemtaja aliye kuwa ana mjibu "kama wewe"
 
Huyu sijui ni PhD holder or dakitari mtabibu maana arguments zake nyingi hazitofautiani sana na wale wenzangu na mimi waliosoma shule za private miaka ile kabla ya 1990. Watanzania zaidi ya Mil.50 hawawezi wote wasione uzalendo, utumishi na kujitoa kwako, so your position as minister no need to make such argument...Mzee wangu alinishauri kwamba siku zote Kunyamaza kuna faida.
 
"Dini" maana yake nini?
Acha kujidharaurisha. Hakuna mtu aliyepata cheo kwa sababu eti ni muislamu, dini Tz haina nafasi bi dada. Uwe mwerevu. Tunafahamu mnafundishwa kuanzia utoto kumchukia asiye muislamu, mnafundishwa namna ya kumtambua na kumchukia Moses, John etc, ila huo ni ujinga mlipandikizwa ambapo mpaka leo baadhi yenu mmeubeba. Na tunafahamu huo ujinga bado mnaendelea nao na kuna yule naibu waziri kafungua shule dodoma ili apandikize chuki kwa watoto waichukie jamii nyigine. In short wewe ni mjinga na mpumbavu wa kiwango kikubwa sana maana unadhani uislamu ndiyo wenye haki ya kutawala, na ulifurahi sana Zitto (muislamu mwenzio) alipoonesha mama Samia (Muislamu-ingawa yeye siyo mdini ka wewe) anaweza kuwa rais. Bi dada nikupe tu taarifa Tz haina udini maana system
yetu hairuhusu, na hakuna anayepewa cheo kwa sababu ya dini.
 
Umewahi kuwa hata msaidizi wa mjumbe (balozi) wa nyumba kumi?
Sio nimewahi bali nina cheo zaidi ya hicho, mwambie ustadhi mwenzio sio kila jambo ni la kujibu public, mengine ajibie kwenye kamati husika huko. Na aache show off za kiduanzi.
 
Tatizo lao moja kuanzia kwa boss wao wa juu kabisa mpaka mwenyekiti wa mtaa.

Linapokuja swala la decision making asilimia kubwa ya viongozi wanatumia ‘administrative decision model’ yaani bossy anajua anachofanya, aitaji consultation ya wataalamu wala kuangalia alternative decision ata pale ambapo sio mtaalamu wa icho kitu anachotolea maamuzi.

Ndio hayo kwenda kutumia mabillioni ya mapato wakati mafanikio hata kama yapo hujui unayoyaonyesha vipi na wala uwezi justify kama njia zako zimeleta maximum return.

Kwanini asubiri kutumbuliwa kama kweli kachoka si astaafu tu kwa ridhaa yake, chezea uwaziri wewe nchi za kiafrica.
 
Tubadili mfumo wetu wa Elimu yaani maneno ya dr hayana tofauti na Mimi niliyesoma memkwa,

Hata mfumo ubadilishwe hata wasome Havard bado Kuna watu watabaki wapumbavu tu. Elimu inatutoa ujinga tu ila haifuti upumbavu
 
hawapi, mkuu kuwaongoza watanzania yataka moyo sana japo viongozi wetu wana mapungufu lakini wananchi wengi ni wapuuzi sana, wakishatoka kuangalia picha za utupu (koneksheni) wanakuja kukupayukia hovyo.
Ulishawasikia wakimpayukia Hussein Mwinyi? Hebu jitafakari kama ulioandika sio upuuzi
 
Unajuwa maana ya Uislam?

Kama wewe huna dini utaingilia vipi "udini" wangu? Pilipili uso ila yakuwashiani? Au umesha ila sasa inakuwasha panapo njia ya haja kubwa?
Amen.

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
 
Mara nyingi sana nimemuona Mhe. Waziri huyu akibishana na watu kwenye mitandao ya twitter, facebook, instagram kuhusu masuala mbalimbali. Kiutaratibu Ukiishateuliwa kama Waziri haijalishi umri, kisomo unatakiwa uwe na weledi, heshima na kuacha mambo ya mabishano kwenye mitandao ya kijamii. Namshauri achukue mifano ya Mawaziri wenzake na hutamkuta hata siku moja Waziri wa Maji, Ujenzi au Elimu akibishana na wenzake kwenye mitandao ya kijamii. Naona kwa mtindo huu ni vyema Mhe. Rais akamchukulia hatua ya kumtumbua.
 
Ujinga wa Kigwangala ni kwenda kujibizana na kina kigogo huko Twitter!

Huu ndio upumbavu wa hali ya juu kabisa. Ndio maan wenzie wameshamjulia wanamchokonoa kisha yeye kwa uzuzu wake anaenda eti kujibu?
Hili tu la kujibishana na kina kigogo kwenye mitandao ya kijamii linapaswa kumtoa madarakani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo Mbowe bado hajasema amechoka ndio maana bado ni mwenyekiti Chadema? Basi Sawa! Na kauli ya Meya Boniphace je?
Bwashee unaelewa maana ya " Kuchoka'?

Au unamjua " mbwa kachoka"?.......huyo kashajiishia hata kubweka hawezi tena.

Kiongozi makini awe wa Dini au Siasa kuwaambia unaowatumikia kuwa UMECHOKA maana yake huna tena sifa za kuwa kiongozi wao.
 
Back
Top Bottom