KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,174
Haya, hapa utamlaumu kwa lipi? Kwa kuileta COVID-19?Ila kusema na ule ukweli covid19 imeikumba wizara yake hard
Anajua mzigo wa lawama ulioambatana na matumbuzi uko njiani
Acha akili zituingie vichwani kama tunataka kujifunza kutokana na makosa.
Nchi kama Tanzania kutegemea pato la utalii kuwa ndio namba moja ni ujuha wa hali ya juu kabisa.

