Je, Dkt. Kigwangalla amekata tamaa?

Je, Dkt. Kigwangalla amekata tamaa?

Atumbuliwe tu atamuandamaje meya wetu wa Iringa na chatu wake
Tunandai twiga wetu aliyemgonga twiga ana thamani kuliko chatu,hapa uhujumu uchumi unamuhusu kwann akimbie speed mbugani?Ingekuwa mtu wa chadema mfano mbowe ndie amegonga twiga uhujumu uchumi usingemuacha sema tu mambo ya dabo std.
 
Mzee wa nje ya box jana kabanwa twitani hadi wananzengo wa ccm wameshindwa kumtetea, yaani hiyo kauli ya wasio na shukrani imekuja baada ya kuona anapambana peke yake haoni like hata ya naibu waziri wala katibu mkuu wake. Nguvu ya umma achana nayo.
Umewahi kuwa hata msaidizi wa mjumbe (balozi) wa nyumba kumi?
 
Alichonishangaza kupandwa na jazba huko Twitter na kuanza kutoa maelezo mengi Kama vile Kuna kamati inamuhoji.
 
Kigwanga hizo Tsh 2.58 bil alitakiwa kuziombea IDHINI ya Bunge kuzitumia kupitia SHERIA ya MAREKEBISHO ya MATUMIZI ya Wizara yake. Na huko bungeni CCM ina majority, wangempitishia tu na kumuachia azitumie atakavyo. Kigwanga hata hilo HAJUI? Kwa kweli HAELEWI Governance at ALL! Soma maana ya WIZI kwenye Penal Code.
Nani aliyempa?
 
Hahahaaaaa....... Uongozi ni jalala bwashee.

Ukiona kiongozi anatamka neno " Nimechoka" ujue hapo hamna kiongozi tena!
Kwahiyo Mbowe bado hajasema amechoka ndio maana bado ni mwenyekiti Chadema? Basi Sawa! Na kauli ya Meya Boniphace je?
 
Sioni hatua yeyote ya kuchukua kwa sasa kwa sababu waziri hajakutwa na hatia yeyote.alichopaswa kufanya HK ni kukaa kimya.sasa wakina kigogo wamemjaza upepo nae kajaa mazima.
Tatizo yule Bwana wa Ikulu mteuzi huwa anayapenda majitu kama haya. Anaweza asichukue hatua yeyote dhidi ya Kigwanga.
 
Ila kusema na ule ukweli covid19 imeikumba wizara yake hard
Anajua mzigo wa lawama ulioambatana na matumbuzi uko njiani
Hapana bwana COVID ni Force Majeure,Mheshimiwa hawezi kuwajibikwa hilo suala hata kama mbuga hazina mtalii hata mmoja.Kipindi hiki alitakiwa kujiunga kwenye timu ya WM kupambana na hiki kirusi.
 
Hahahaaaaa....... Uongozi ni jalala bwashee.

Ukiona kiongozi anatamka neno " Nimechoka" ujue hapo hamna kiongozi tena!
Hivi unapoandika kila wakati "bwashee" unaamnisha "Bashe" au "Bwana Shemeji". Na ikiwa ni ndivyo huwa una maana gani kuwaita watu wote humu "Bashe" au "Bwana Shemeji"? Swali la ufahamu tu hebu tujibu tukuelewe
 
Waziri kasema haogopi kutumbuliwa kwani kwanza AMECHOKA KUWATUMIKIA wasio na shukrani.

Mteuzi anasubiri nini kwa mtumishi ambaye ameshachoka kuwatumikia watu wasio na shukrani?

Maana wasio na shukrani ni wengi hivyo wanasababisha maumivu kwa wenye shukrani kwa Kigwangwala maana kachoka kuwatumikia
Screenshot_20200408-084104.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sioni hatua yeyote ya kuchukua kwa sasa kwa sababu waziri hajakutwa na hatia yeyote.alichopaswa kufanya HK ni kukaa kimya.sasa wakina kigogo wamemjaza upepo nae kajaa mazima.
Yap hapo ndiyo immaturity ya Waziri Kigwanga inaonekana wazi. Kwenye football inaitwa anacheza na jukwaa.
 
Back
Top Bottom