Je, Dkt. Kigwangalla amekata tamaa?

Je, Dkt. Kigwangalla amekata tamaa?

hawapi, mkuu kuwaongoza watanzania yataka moyo sana japo viongozi wetu wana mapungufu lakini wananchi wengi ni wapuuzi sana, wakishatoka kuangalia picha za utupu (koneksheni) wanakuja kukupayukia hovyo.
Usichukue mshahara wao uone Kama Kuna mtu atakufata nyumbani kwako kukupayukia, shida zako ndo zinakufanya unganganie hiyo nafasi mjinga wewe
 
Naona unafikiri ki academically sana! I have no time ya kubishana mkuu!
Hujajibu swali langu nilipokuuuluza kuwa nipe nukuu ya niliposema Kigwanga kaiba?

Ila wewe una ufahamu kidogo na ndiyo unautumia. Kumbuka kuwa ufahamu kidogo ni sumu kuliko kutofahamu kabisa.
 
Hujajibu swali langu nilipokuuuluza kuwa nipe nukuu ya niliposema Kigwanga kaiba?

Ila wewe una ufahamu kidogo na ndiyo unautumia. Kumbuka kuwa ufahamu kidogo ni sumu kuliko kutofahamu kabisa.
Sawa mimi nina ufahamu kidogo ila wewe kidogo zaidi!! Umerizika sasa?
 
hawapi, mkuu kuwaongoza watanzania yataka moyo sana japo viongozi wetu wana mapungufu lakini wananchi wengi ni wapuuzi sana, wakishatoka kuangalia picha za utupu (koneksheni) wanakuja kukupayukia hovyo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nmecheka kisenge man! "Koneksheni"
 
Tatizo lenu ni umbumbumbu wa sheria ya ukaguzi. Audit Query siyo wizi au kosa la jinai ndiyo maana ikaitwa query wala siyo misappropriation au theft/fraud na ndiyo maana wizara na idara zinapewa muda wa kujibu query husika na mara nyingi hizo query hufutwa baada ya kupata majibu toka wizara au idara husika. Wizara au idara ikishindwa kujibu hizo Audit Query ndipo Police/PCCB investigations inakuwa initiated ili kujua ukweli kama kuna kosa la jinai ama la.

CAG Audit anaangali kama taratibu za uhasibu zimefuatwa wakati wa malipo husika wakati Police na PCCB investigators wanachunguza kujua kama kuna kosa la jinai limetendeka kwa kuangalia vipendele vya kosa la jinai kama vimetendwa na watuhumiwa.

Hivyo Audit Query ya CAG haina maana kuwa pesa zimeibiwa au kosa la jinai limetendeka. Na ripoti yake siyo conclusive evidence kwa kosa la jinai.

Tatizo la JF ya sasa haina Great Thinkers (GT) kwa kuwa wengi wa GT wameachana nayo tukabaki sisi washabiki wa siasa tu.
Vipi ile 1.8 T imeshatolewa majibu au majibu yake ilikuwa ni Assad kungolewa,mjuzi tujuze please
 
Hizo ni siasa tu. Walianza na elimu ya Kigwa ambayo haina shaka. Kila wakati anatafutwa pa kunyongewa.
 
Vipi ile 1.8 T imeshatolewa majibu au majibu yake ilikuwa ni Assad kungolewa,mjuzi tujuze please
Kamuulize Assad mwenyewe ndiye anajua. Alijifanya puyuyu kamwonyesha upuyuyu wake sasa kila siku anatembelea mashamba yake na ameanza kuwa mfanyabiashara uzeeni.
 
Naona unafikiri ki academically sana! I have no time ya kubishana mkuu!
Kigwanga hizo Tsh 2.58 bil alitakiwa kuziombea IDHINI ya Bunge kuzitumia kupitia SHERIA ya MAREKEBISHO ya MATUMIZI ya Wizara yake. Na huko bungeni CCM ina majority, wangempitishia tu na kumuachia azitumie atakavyo. Kigwanga hata hilo HAJUI? Kwa kweli HAELEWI Governance at ALL! Soma maana ya WIZI kwenye Penal Code.
 
Nakubaliana na wewe 100%. Sisi wananchi pia tuna nongwa. Hatuna jema. Kutwa kulalama as bitches. Uongozi una changamoto zake. Lakini watu wanajua umepata hiyo nafasi kula bata sijui. Hata ungepewa wewe nafasi hiyo you can't fulfill everyone needs. Tuache nongwa.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Ukikubali kuajiriwa lazima ukubari masharti na mazingira ya mwajiri wako,ukishindwa piga kazi chini,kwani lazima ufanye kazi hapo? Shida ni njaa zenu si watanzania
 
Kumbuka Kigwangwala ni Muislam, mteuzi ni Allah pekee siyo binadam mwenzake.

Besides, Kigwangwala ana profession yake, sijui wewe?
Huu utumwa wa mazoea watu kuitwa hassan,ally,muddy, asha,chiku,Sofia, faiza nk kuhisi ni watu wa dini ya kiislam umepitwa na wakati
NB ukija hapa zenji na maeneo mwngi ya pwani A/mashariki watu jinsi hiyo nao makafiri tuu, hata HK vivyo hivyo jina lisiwadanganye hata hiyo elimu ya MD in elimu kama zilivyo zingine atumvuliwe tuu maana anatumalizia nguruwe pori wetu.
 
Back
Top Bottom