Je, Dkt. Kigwangalla amekata tamaa?

Je, Dkt. Kigwangalla amekata tamaa?

Kufa na tai shingoni Bashite sijui ana nini duh! akitaka uondoke unaondoka kweli.

Ila nimependa ujasiri wake Mwanaume unatakiwa kufa kiume kama walivyo ondoka CAG, Mafuru, na Nape.

sio unaondoka kizembe kama wakina Mwigulu na Lugola.
 
Unamaanisha wakimaliza kuangalia picha za pilau na akili zao zinapinduka hivyo hivyo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
kabisa mkuu, tena hapo ushukuru siku hiyo wasiwe wameongeza na uchungu wa maisha, watakusema sana mpaka ukonde ndo mana unaona yule gavana anaongezeka matako maana anasemwa kila muda anatupiwa laana
 
Kumbuka Kigwangwala ni Muislam, mteuzi ni Allah pekee siyo binadam mwenzake.

Besides, Kigwangwala ana profession yake, sijui wewe?
sasa kwani Allah hataki utawala bora, usimamizi na matumizi bora ya fedha za umma na kodi za waislamu na wasio waislamu?

je mtu akishindwa kusimamia eneo lake la kazi ambalo alipewa na Allah, Allah huchukua hatua gani? Kigwangwala toka amemaliza MD amepractice udaktari kwa miaka mingapi? je ni daktari specialist wa nini?
 
Arudishe tu 2.5 b zetu hatuna shida naye

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wameanza kufukua makaburi _joy__joy__joy_ kosa la  @hamisi_kigwangalla amewaambia wa ( 62...jpg
 
View attachment 1411989

Hii ndio kauli yake baada ya mashambulizi kutoka pande zote baada ya ripoti ya CAG
Hi mbona kama kauli ya kutia huruma?

Kwa hiyo wote wanaojitoa katika utimishi wao wakienda nje ya utaratibu eti kwa sababu ya kututumikia sisi tusio na shukran hii nchi itakuwaje?

Waziri mwenye hadhi ya udokta kweli haya ni maneno ya kuwajibu wananchi kweli?

Du!!! Kweli awamu ya 5 mmepoteza dira kiasi cha kutaka kuhalalisha na kulazimisha maendeleo nje ya utaratibu.

Kwa staili hii ni ngumu sana kuifikia nchi ya ahadi ase!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
Fikra zako kwenye ulaji Tu.

Waziri wa Tanzania analipwa shilllingi ngapi?
 
Back
Top Bottom