Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

Nahisi duma ni tiger, na Leopard ni Chui. Na Jaguar ni paka mweusi, na kuna Chita ndio chita
Duma ndo chita(cheetah)
Leopard ni chui
Jaguar ni jamii ya chui wanapatikana america ya kusini ,ni wakubwa kidogo kuliko chui wa mafia,wenyewe hawana madoa
 
Kuna clip hii niliwahi kuiangalia kitambo sana, ila kiukweli Tiger ni most aggressive, licha ya kuwa Tiger alikuwa ni mdogo kiumri kwa Lion.
*Lion alikiona cha moto
*Lion alijeruhiwa sana
*Lion alikimbia pambano.

*Tiger kwa vile alikuwa ni mdogo hivyo alikuwa anaishiwa nguvu.

Huyo simba ni mzee

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Jaquar nae ni balaa mzee anazama kwenye maji anatoka na Caiman mpaka ardhini, Simba kilichofanya awe king of the Jungle ni ule ujasiri katika battle field, lakini kiuharisia hata kwa Tiger simba anateseka sana
Simba sio King of the jungle, Simba ni King of Savanna(bungani).

Simba uwezi mpata porini, yupo mbugani tu.. King of the jungle ni Tiger.. na ata akiletwa bungani bado anauwezo wa kuvunja ufalme wa Simba kwenye eneo lake (Mbugani).
 
Duma ndo chita(cheetah)
Leopard ni chui
Jaguar ni jamii ya chui wanapatikana america ya kusini ,ni wakubwa kidogo kuliko chui wa mafia,wenyewe hawana madoa
Wanayo madoa stay learn.
 
Na hawa wanyama kibaya ni kwamba they smell fear! Yaani wewe ukimuona ukaogopa yeye anasikia ile harufu ya uoga wako na ile harufu inampa taarifa kuwa huyu ni adui hivyo anatakiwa kuattack mara moja!

Ndiyo maana unaambiwa ukikutana nao usiogope ila sasa ndiyo hadi uwe na huo ujasiri wa kutokuogopa! Imagine ndiyo umegongana uso kwa uso na simba tena jike lina njaa kali halafu unaambiwa usiogope!

Ndiyo maana haya mambo ni rahisi kuongea tu theoretically lakini practically ni ngumu! Pale ambapo unajikuta uko peke yako msituni unatazamana na chui huku wale waliokuwa wanakuambia usiogope hawapo!
[emoji47]
 
A python in Indian forest. Image credit: Girish HC/Shutterstock.com
A python in Indian forest. Image credit: Girish HC/Shutterstock.com
Pythons are part of the constrictor family of snakes. This means that they do not use venom to kill their prey, but rather they squeeze their victims with mighty muscles, until their prey drops dead. Pleasant. Then, they chow down.

These snakes can grow to be quite big-up to 30 feet long, weighing up to 200 lbs- and as such, they are some of the largest snakes in the world. Pythons live in a variety of environments including grasslands, woodlands, swamps, rocky outcrops, rain forests, dunes, and shrubs. These constrictors are more likely to be found in Asia, Africa, Oceania, and Australia, but they have also made inroads in the US as one of the most invasive species in the Everglades.

What do they eat? Pythons like to munch on both large and small animals. They normally feed on rodents, birds, lizards, pigs, wallabies, monkeys and even antelopes. But pythons might also attack big cats, including tigers, if the right opportunity presents itself. It could be that a tiger fighting a python in the wild would get away, or win, but it is possible that sometimes the snake can have its way.

​

Ili utumie hiko kiwembe inabidi uwe na mambo yafuatayo
1)Chatu aelewe hitajio lako aache kubana mikono
2)Aache kubana mifuko yako endapo umeweka mfukoni
3)Aache kubana shingo na mapafu ili upate punzi na ufahamu wa kuwaza kiwembe
4)lazima ongee na chatu kwanza kwamba chatu akwambie kesho nakukamata so beba kiwembe
😀 😀 😀
 
[emoji3][emoji3][emoji3]

So nyani huwa hawafurahii vifo vya wanyama wanyonge.
Sio nyani tu karibia wanyama wote wanaokula majani na nyama kiasi Wana hiyo desturi katika hiyo documentary inaonyesha jinsi ambavyo Nyati Wanavyo wapiga Simba pindi wanapomkuta Simba anataka kumla punda milia aliye mkamata au wanampiga Simba anaye taka kumla nyati mwenzao . Hiyo documentary pia inaonyesha jinsi tembo Ngiri wanavyo wapiga Simba pindi wanapokula wanyama Kama swala pundamilia nyumbu au nyati ...

Pia Ina waonyesha Viboko wanavyo wapigaga mamba pindi Mamba hao wanapo wakamata wanyama wanaokula majani Yaani mamba ana chezea kichapo mpaka ana kimbia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] halafu Wana kuwa Wana msukuma yule mnyama aliyetaka kuliwa na mamba kwa kutumia vichwa vyao na kumtoa ndani ya maji in short maisha ya mbugani Yana visa vingi zaidi ya tuyajuavyo
 
Ogopa sana kundi la nyani na mbwa mwitu, ni wanyama ambao wanakuwaga kama wamechanganyikiwa hivi wakiamua kushambulia
Nilikuwa sijui balaa lao ndio nimejionea nikachoka jamaa Wana akili kabisa Kama binaadamu . Kuna clip 1 wamewakimbiza Chui kina noma Chui wakala Kona wote wali wakuta Chui hao Wana taka kumla swala halafu baada ya hao chui kukimbia wakamfuata yule swala wakawa Wana mkagua waone Kama kafa au Bado Swala alikuwa ameumia kidogo tu Basi Waka kusanyika katika lile eneo ikawa wameweka ulinzi pale mpaka yule swala alivyo nyanyuka na kuanza kuondoka ndio na wao wakaondoka lile eneo ...Maisha Yana staajabisha Sana [emoji3]
 
Sio nyani tu karibia wanyama wote wanaokula majani na nyama kiasi Wana hiyo desturi katika hiyo documentary inaonyesha jinsi ambavyo Nyati Wanavyo wapiga Simba pindi wanapomkuta Simba anataka kumla punda milia aliye mkamata au wanampiga Simba anaye taka kumla nyati mwenzao . Hiyo documentary pia inaonyesha jinsi tembo Ngiri wanavyo wapiga Simba pindi wanapokula wanyama Kama swala pundamilia nyumbu au nyati ...

Pia Ina waonyesha Viboko wanavyo wapigaga mamba pindi Mamba hao wanapo wakamata wanyama wanaokula majani Yaani mamba ana chezea kichapo mpaka ana kimbia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] halafu Wana kuwa Wana msukuma yule mnyama aliyetaka kuliwa na mamba kwa kutumia vichwa vyao na kumtoa ndani ya maji in short maisha ya mbugani Yana visa vingi zaidi ya tuyajuavyo
Tabia hii anaongoza kuwa nayo Kiboko ila kiboko naye kama anavuta bangi haeleweki kuna clip alimuokoa swala asiliwe na Wild dogs akamfuata kambana na mdogo kamafirigisafirigisa mpaka kafa
 
Kuna clip hii niliwahi kuiangalia kitambo sana, ila kiukweli Tiger ni most aggressive, licha ya kuwa Tiger alikuwa ni mdogo kiumri kwa Lion.
*Lion alikiona cha moto
*Lion alijeruhiwa sana
*Lion alikimbia pambano.

*Tiger kwa vile alikuwa ni mdogo hivyo alikuwa anaishiwa nguvu.

Itazame tena Chief
Tiger alichoka vibaya sana
Simba akiendelea kusimama wima
 
Back
Top Bottom