Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

Chatu Ni hatari Sana, akikunasa ukaanza kubabaika badala ya kupambana Basi ujue umekwenda na maji.

Pia unashauriwa ukiona anataka kujizungusha mwilini mwako lala chini ili akose namna ya kujiviringisha, roll down then sepa kwa Kasi ya 4G
Hii nakataa chatu hakujingi kwa njia ya kujizungusha kama unazungusha kamba kwenye mti bali anajizungush kwa njia ya kujivuta mwili kama Tape Measure kama unakijua kile kidude cha kupimia cha mafundi hata ukikivuta chote kinarudi kwenye mzingo wake automatic ndivyo chatu huzizingisha akikurukia akakubana mdomo hiyo ndio inakuwa Starting point yake anauvuta mwili wake kukuzunguka the way anazunguka ile action inakufanya mwili wako u roll....hivyo hata ukilala action hii inakuhusu angekuwa anajizungusha kama kamba ungepona.
 
Mna utani na Simba ninyi yaani Simba muda wote anatafuta shari aliwe na chatu..
Simba na Tiger kuuliwa na chatu haiwezekani kamwe hao jamaa ni wendawazimu ufupi wanavuta bangi
.Simba ana hisia Kali sana na huyo chui kutegwa kiboya sio rahisi wale wanyama kwanza wananusa kabla ya mambo mengine na wao wana harufu yao tofauti ambayo viumbe wengine ni rahisi...
 
Simba na Tiger kuuliwa na chatu haiwezekani kamwe hao jamaa ni wendawazimu ufupi wanavuta bangi
Simba wanavuka mto wenye mamba wengi na watata kama huko Zimbabwe mbuga yao moja imezungukwa na maji dume linabaki likiunguruma tuu upande wa kulia kuwakinga watoto wakivushwa na jike Simba wanakula bangi sio kuvuta Mkuu... Kruger's game hapo Simba wanaweza kukaa barabarani masaa mengi hata hawajali huku ninyi mkiwa mmepaki magari mnasubiri watoke na wanatoka muda wanaotaka wao taratibu...
 
Yaap upo sahihi kabisa, yani kumla Simba, chui , tiger , jaguar au hata duma sio kazi rahs Kwa chatu , wale majamaa hawanaga masihara , they fight miserably wanapoona wapo hatarini , in short sio kazi rahs may be abahatishe ambaye sio mzima kiafya , mdogo au ni Mzee Sana , vinginevyo labda amfume amelala but whatever the situation those big cats never accept defeat so easily.....!!!
Sie mapaka sio rahisi, kwanza tuna uwezo wa kusense hatari kwa haraka zaidi tukitumia mapua yetu.. #Jaguar
 
Wewe umepata wapi hii kitu, Tiger wanapatikana India, Srilanka, Russia na sehemu fulani za asia tu na ni mkubwa sawa na simba au hata kumzidi simba (Siberian Tiger), ngozi yake inayomichirizi myeusi na madoa ya njano. Jaguar yeye anapatikana Amerika ya kusini hasa katika misitu ya Amazon yeye anafanana sana na Chui wa huku Afrika na madoa ya ngozi yake yanafanana sana na yale ya chui ila yeye ni mkubwa kidogo kuliko chui na mdogo kuliko Simba na hapendi kukwea mitini kama chui ila ni muogeleaji mzuri na chakula chake kikuu ni mamba (Caiman crocodile) na Wanyama wa mitoni kama Capebara nk, Waweza kusema Chui na Jaguar wanafanana mno kimaumbile kuliko Jaguar na Tiger, kwa taarifa na habari zaidi ya hao wanyama Google.
Na huyu chini?

images (1).jpeg
 
Simba wanavuka mto wenye mamba wengi na watata kama huko Zimbabwe mbuga yao moja imezungukwa na maji duma linabaki likiunguruma tuu kuwakinga watoto wakivushwa na jike Simba wanakula bangi sio kuvuta Mkuu... Kruger's game hapo Simba wanaweza kukaa barabarani masaa mengi hata hawajali wanatoka muda wanaotaka wao taratibu...
Simba wa Zimbabwe nasikia ni wakubwa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom