Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

Dubu ni mkubwa kuliko hata Tiger na Simba mkuu, na ukiwa 18 yake huko kichakani, haswa wale 'Grizzly Bears' basi wewe 95% chances, utaenda kwa baba, hiyo 5% chance ni zare la mentali! 🤣 🤣 🤣
✌️
Haya madubu si ndo yale matipwatipwa haya? Pia huishi kwenye baridi huko? Yanaweza kashkash haya kweli?
 
Sijapata mda wa kusoma comments zote ila naomba nichangie.

Chatu wa Africa (python sebae) hufika urefu wa mita tatu hadi nne akiwa porini. Wale wanaofugwa au kuhifadhiwa kwenye zoo wanaweza kufika mita 5 hadi 6. Wanyama wote aina ya paka wana reflexes za hali ya juu (uwezo wa kuruka ghafla itokeapo hatari). Hili hapa linafanya iwe vigumu kwa chatu kumnasa mnyama kama huyo. Pili, wana kucha kali sana ambazo hata wakinaswa watazitumia kumwuumiza chatu. nimeona kwenye documentaries chatu akimla mtoto wa chui ila chui anamshambulia chatu kwa kucha kali kichwani hadi chatu anamtapika mtoto na kusepa haraka. Of course keshakufa. Pia nimeona chui wakifanikiwa kuwaua chatu (ila sio chatu waliokomaa) kwa kuwapiga kucha kichwani. Chatu wa bara Africa hawana uzoefu wa kuua binadamu. Ila nakumbuka mwaka 2009 huko pwani ya Kenya, chatu alifanikiwa kumnasa mwanamme mzima na kupanda mtini naye ila jamaa alipata msaada akaokolewa soma hapa Kenyan man bites python in struggle to survive
Finally chatu wa bara Asia (reticulated python) ni habari nyingine. Hawa hufika 6 metres na wanawala sana binadamu kwenye mashamba ya mpunga na forests za kule india na indonesia. soma hapa How a giant python swallowed an Indonesian woman

Chatu akimla fisi
 
mwanangu naogopa sana nyoka....hyo ya chatu kukuangalia usoni nime imagine mpaka nikasisimka.....


niliendaga field tabora..nilipata story huo mkoa una nyoka za kila aina then nilikua chaka huko aisee niliishi kwa tabu sana


[emoji2][emoji2][emoji2]kalumbu dar hakuna nyoka aisee....hapa ubungo survey nyoka anatoka wapi


Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tabora kweli kuna nyoka hatari sana aise
 
Wanaliwa vizuri tu usibishe video zipo nyingi tu YouTube zinaonyesha hayo Mambo ... Huyo chui unaye muongelea Kuna Wakati huwa Wana naswa makofi kinoma noma na kundi la nyani Maisha ya mbugani Ni zaidi ya tuyajuavyo ..

Nilishangaa Sana juzi nilipoona kundi la nyani liki wakimbiza chui waliokuwa wame mkamata swala na kutaka kumla Yaani lile kundi la nyani lilifanya harakati za kumkomboa swala aliye kamatwa na chui na wakafanikiwa chui wakakimbia na swala akawa amepona
😀😀😀

So nyani huwa hawafurahii vifo vya wanyama wanyonge.
 
😀😀😀

So nyani huwa hawafurahii vifo vya wanyama wanyonge.
Nyani kikundi cha wavuta bangi tu jamaa ni oyaa oyaaa wakianzisha yoooh mmoja wotee sehemu wakiwa wengi hata Chui akiwa anapita wanamuanzishia noma.

Kuna clip niliona wamemuanzishia noma Chatu alikamata nyani sijui wanamfuata wanavutavuta...ila nyani hawa sio kama unaowajua wana mijino mikubwa mikali.
 
Tumia meno usife kizembe
Umenikumbusha kuna jamaa alinaswa na chatu akawa hana silaha yoyote, jamaa aliamua kama noma na iwe noma [emoji16][emoji16][emoji16] wakati chatu anajizungusha kwenye mwili wake jamaa alimng'ata nakutoka na nyama kilo mbili mbili. Chatu likamuachia likakimbilia maporini kwa speed ga 4g. Mda mchache baadae yule chatu alirudi pale kwa kasi sana lakini jamaa alikuwa ashasogea eneo lingine.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Dubu ni mkubwa kuliko hata Tiger na Simba mkuu, na ukiwa 18 yake huko kichakani, haswa wale 'Grizzly Bears' basi wewe 95% chances, utaenda kwa baba, hiyo 5% chance ni zare la mentali! 🤣 🤣 🤣
✌️
Yale yanapatikana sana huko mbele tu
 
Umenikumbusha kuna jamaa alinaswa na chatu akawa hana silaha yoyote, jamaa aliamua kama noma na iwe noma [emoji16][emoji16][emoji16] wakati chatu anajizungusha kwenye mwili wake jamaa alimng'ata nakutoka na nyama kilo mbili mbili. Chatu likamuachia likakimbilia maporini kwa speed ga 4g. Mda mchache baadae yule chatu alirudi pale kwa kasi sana lakini jamaa alikuwa ashasogea eneo lingine.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
2722461_images2018.jpg
 
Kuna clip niliiona ya mapigano baina ya Lion na Tiger, mkono uliopigwa hapo.... Ni balaa mpaka wote wakawa hoi mwishowe Lion alijikongoja na kukimbia.. Si mchezo Aisee.
kwenye kundi la mapaka, tiger ni habari nyingine linapokuja swala nguvu na pumzi.
 
ila mi naona kuuwa hawa cheetah ni rahisi maana Wana tabia ya kuwinda kwa kunyemelea na akikukaribia ndo anajitokeza ili ukimbie anakujaza hofu kabla ya kukushambulia ila akitokea ukatulia na yeye anabak anazubaa anapata hofu anaona huy jamaa anajiamin nn? Yan hivyo hivyo hata akiwa anawinda, swala au mtoto wa nyumbu akifika karibu na nyumbu kama nyumbu katulia na yeye chui anazubaa
Chui? Sio kwa chui asee.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kuna clip hii niliwahi kuiangalia kitambo sana, ila kiukweli Tiger ni most aggressive, licha ya kuwa Tiger alikuwa ni mdogo kiumri kwa Lion.
*Lion alikiona cha moto
*Lion alijeruhiwa sana
*Lion alikimbia pambano.

*Tiger kwa vile alikuwa ni mdogo hivyo alikuwa anaishiwa nguvu.

kwenye kundi la mapaka makubwa Simba ni mchumba kwa Tiger
 
Back
Top Bottom